daraja

Daraja Academy is a secondary school for Kenyan girls located outside of Nanyuki, Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Msimu huu Manchester united inaenda kushuka daraja

    Nimeangalia mwenendo wa hii timu msimu huu kwa jinsi inavyocheza jana ilipokea kichapo Cha Gori 2 bila kutoka Kwa new castle ikiwa nyumbani kwake old Trafford uwanja unaovuja na kufuga panya nimethibitisha Sasa hivi hii timu imebaki na mashabiki wazee ambao waliishuhudia ikibeba makombe Kwa...
  2. Mdakuzi

    JamiiForums Tanzania Man United kupigania kutoshuka daraja

    Man United: Kipigo, Matumaini Yanayoyeyuka, na Mvumo wa Mashaka Usiku wa Desemba 30, 2024, Old Trafford, uwanja uliojaa kumbukumbu za ushindi wa kihistoria ukageuka kuwa kaburi la matumaini ya mashabiki wa Manchester United. Sauti za shangwe zilizokuwa zinaashiria imani ya mashabiki...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Udogo wa daraja la mto mzinga ambalo ni kiunganishi muhimu kwa wilaya ya temeke na mkuranga, vipi mamlaka zetu hazioni?

    Wakuu leo nadhani ni siku yangu nyingine kutumia gharama kubwa kutoka mbagala rangi tatu hadi mzinga. Kiukweli kuna namna naona serikali inachukulia poa hili jambo. Ni serikali ambayo imesupport wilaya ya mkuranga kuwa na viwanda vingi bila kurekebisha miundo mbinu. Ni ombi langu hili...
  4. 888I

    JamiiForums Tanzania Daraja la Langai, Simanjiro: Mkandarasi amesimama ujenzi, Wakazi Walia hatari ya maisha

    Wakazi wa Langai wapo katika hali ya wasiwasi kutokana na kusimama kwa ujenzi wa daraja ambalo lilitarajiwa kuwa kiunganishi muhimu cha usafiri na usalama wa wakazi wa eneo hilo. Mwananchi mmoja ameibua hofu kubwa baada ya mtu kusombwa na maji kwenye daraja hilo, ambalo ujenzi wake...
  5. M

    JamiiForums Tanzania KERO Maisha ya Wakazi wa Njelela na Ngaranga (Njombe) yapo hatarini wanapotaka kuvuka kwenda upande wa pili, hatuna daraja

    Maisha yetu sisi Wakazi wa Vijiji vya Njelela na Ngaranga vilivyopo Kata ya Mundindi, Wilaya Ludewa Mkoani Njombe yapo hatarini kutokana na Mto Ruhuhu kukosa sehemu ya kuvukia. Inapotokea tunataka kuvuka kwenda kwenye vijiji vya jirani au kama kuna mtu anakuja huku kwetu ni lazima wanaofanya...
  6. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Pep Guardiola: Jose Mourinho anatamani Man City ishushwe daraja

    Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola amesema anaamini Jose Mourinho ambaye kwa sasa ni Kocha wa Fenerbahçe anaitakia mbaya City na ikiwezekana ishushwe daraja Awali, Guardiola alinukuliwa akisema yeye alibeba mataji sita ya Premier League tofauti na Mourinho aliyebeba matatu, kauli ambayo...
  7. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Usilivunje daraja ambalo unaweza kujikuta unalivuka mara kwa mara

    Hakika Maisha yana mambo mengi ya kushangaza na kustaajabisha sana,kuna mambo ambayo huenda hukuyategemea ukakuta yanatokea katika namna ambayo hukutarajia kabisa Unapovuka daraja na kwenda upande wa pili basi usilivunje hilo daraja kwakuwa tu umevuka upande wa pili,huenda kuna siku ukahitaji...
  8. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Yanga ilikosa Ubingwa wa Ligi Kuu mwaka 1988 ili tu amsaidie Simba isishuke daraja!

    Dar es Salaam, 1988 ▶️Waziri Mkuu na Makamu wa kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Joseph Sinde Warioba akimkabidhi tuzo ya Mchezaji bora chipukizi Ligi Kuu mwaka 1988, kiungo wa Yanga, Athumani Abdallah China. ▶️Katika msimu huo, Coastal Union ya Tanga iliibuka bingwa baada ya...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Simba fans ni kichekesho kumponda Kocha Saed wa Yanga wakati Fadlu wenu aliishusha timu yake daraja Afrika Kusini

    Ni vichekesho kwa mbumbumbu eti wanaiponda cv ya kocha mpya wa yanga wakati ajawai kushusha timu daraja kama ilivyo kwa kocha wao fadlu ambae aliishusha Martizburg na akatimuliwa! Kama cv zinakufanya kazi basi Simba wasingemchukua fadlu kwakuwa cv yake ilikuwa ni ya ovyo! Unapochukua kocha...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge yawataka Watumiaji wa Daraja la Nyerere, Kigamboni Kulipia Bando

    *Yasema matumizi ya bando ni nafuu na yanaondoa usumbufu *Yaipongeza NSSF kwa kuweka mifumo katika Daraja hilo Na MWANDISHI WETU, Dar es Salaam. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii, imeridhishwa na utaratibu wa manunuzi ya bando la tozo kwa matumizi ya Daraja la Nyerere...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania NECTA 2024: Ufaulu wa Wanafunzi wa Kike wa Darasa la 7 washuka, Wavulana wafanya vizuri, Shule 12,838 zimepata Daraja C

    Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza Matokeo ya Mtihani wa Darasa la 7 uliofanyika Septemba 2024 yanayoonesha Ufaulu wa Wasichana umeshuka kwa 0.53% kulinganisha na ufaulu wa 80.58% wa mwaka 2023 huku ufaulu wa Wavulana ukipanda kwa 81.85% kutoka 80.59% ya mwaka 2023. Jumla ya...
  12. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Daraja la Jangwani litajengwa kwa billion 300 au billion 97?

    Achana na kile kituko cha jana kwenye utambulisho wa mkandarasi wa kichina kupitia kampuni iitwayo CCC.. KItuko chenyewe ni kitu kipya nilichokisikia kwa mara ya kwanza pochi la mama/ pochi la mama limefunguka Tafsiri yake ilikuwa ni rahisi sana.. Kwamba hiyo ni pesa ya mtu binafsi toka kwenye...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yasaini mkataba ujenzi Daraja la Jangwani, Sh Bilioni 97.1 kutumika

    Serikali imesaini mkataba wa ujenzi wa Daraja la Jangwani lenye urefu wa mita 390 na barabara za maungio zenye urefu wa mita 700 katika barabara ya Fire - Ubungo kwa gharama ya Shilingi Bilioni 97.1 ambapo kazi ya ujenzi itatekelezwa kwa miezi 24. Mkataba huo umesainiwa leo Oktoba 22, 2024...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Yasaini Mkataba Ujenzi Daraja la Jangwani, Bilioni 97.1 Kutumika

    SERIKALI YASAINI MKATABA UJENZI DARAJA LA JANGWANI, BILIONI 97.1 KUTUMIKA Serikali imesaini mkataba wa ujenzi wa Daraja la Jangwani lenye urefu wa mita 390 na barabara za maungio zenye urefu wa mita 700 katika barabara ya Fire - Ubungo kwa gharama ya Shilingi Bilioni 97.1 ambapo kazi ya ujenzi...
  15. Equation x

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mshangazi anataka kunitumia kama daraja

    Habari wakuu Kuna dada mmoja nilisoma naye zamani, miaka mingi kidogo iliyopita. Katika mazingira ya shule tulikuwa tukionyeshana hisia kwa mbali ingawa mpaka tunamaliza hatujawahi kuwa wapenzi. Baada ya kuhitimu kila mmoja aliendelea na maisha yake, yeye aliolewa na bwana x, aliyekuwa...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Akagua Ujenzi wa Daraja la J.P Magufuli, Wafikia Asilimia 93

    RAIS SAMIA AKAGUA UJENZI WA DARAJA LA J.P MAGUFULI, WAFIKIA ASILIMIA 93 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amekagua ujenzi wa Daraja la J.P Magufuli (Kigongo - Busisi) lenye urefu wa kilometa 3 na barabara unganishi zenye urefu wa kilometa 1.66...
  17. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Daraja la Magufuli limekamilika. Je, Makamanda wa CHADEMA watalitumia?

    Walidai ni megastructures zisizo na faida. ==== Tanzania has completed the construction of the Magufuli Bridge on L. Victoria, Mwanza.The 3.2 Km bridge becomes the longest in East Africa costing $300 million.The bridge has reduced travel time to 4 minutes from 2 hours.
  18. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa soka tujifunze kuheshimu juhudi na uwekezaji wa vilabu vidogo, sasa hivi NBCPL sio lelemama. Muwe na adabu

    Timu dhaifu za mikoani msimu huu ni zile zinazocheza kimazoea mfano Namungo, coastal na Kagera Sugar. Timu kama Mashujaa Fc Pamba Prison Jkt Singida black stars Fountain gate Tabora Fc Hizi timu kwa sasa kwa observations zangu baada ya kucheza mechi kadhaa zimeingia kwenye mfuno mapema...
  19. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Serikali inatarajiwa kuanza ujenzi Daraja la Mkili na Mitomoni Mkoani Ruvuma

    Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) ipo katika hatua ya kumtafuta Mkandarasi kwa ajili ya kuanza utekelezaji wa ujenzi wa madaraja mawili ambayo ni Daraja la Mkili lenye urefu wa mita 20 pamoja na Daraja la Mitomoni lenye urefu wa mita 80 ambalo litaunganisha Wilaya ya Nyasa...
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Kuanza Ujenzi wa Daraja la Mkili na Mitomoni Mkoani Ruvuma - Waziri Bashungwa

    Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) ipo katika hatua ya kumtafuta Mkandarasi kwa ajili ya kuanza utekelezaji wa ujenzi wa madaraja mawili ambayo ni Daraja la Mkili lenye urefu wa mita 20 pamoja na Daraja la Mitomoni lenye urefu wa mita 80 ambalo litaunganisha Wilaya ya Nyasa...
Back
Top Bottom