Wacha tuendelee kufuturisha :BBRUHH:
-------
Daraja la Kibaoni Muongozo limekatika kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha na kukata mawasiliano
Mamia ya wananchi waliokwama katika eneo hilo, wamelazimika kutumia ngazi huku wengine wakihatarisha maisha yao kwa kuruka kwenye daraja jipya...
Wahandisi wetu wawekeww sheria ya kunyongwa hadi kufa. Wanahujumu Nchi na wanakosa uzalendo.
Mfano: Kutoka mikumi kwenda Wilayani Kilosa Mhenda dalaja limevunjika. Hili daraja halijamaliza miaka miwili toka lijengwe.
Habari wana JF,
Kuna jambo watu wengi hawalielewi kuhusu biashara - mafanikio ya kweli huanza rohoni kabla hayajaonekana kwenye akaunti ya benki.
Watu wengi wanapomwona mfanyabiashara aliyefanikiwa, wanaona majengo, magari, ofisi na mtiririko wa pesa. Lakini hawaoni maombi ya usiku, wasiwasi...
Kuna daraja lipo Kibaha Mji, Kata ya Pangani, Mtaa wa Lumumba (liko karibu na Daraja la Jeshi) liliharibika wakati wa mvua ya Mwaka juzi (2024) ile kubwa lakini mpaka leo halijatengenezwa tunapata shida sana tunazunguka mbali tunaomba msaada mamlaka zinazohusika zifanya jambo.
Ujumbe wa wataalam kutoka TANROADS Makao Makuu kupitia Kitengo cha Ushauri wa Kihandisi (TECU), kwa kushirikiana na TANROADS Mkoa wa Mbeya, umefanya ziara ya ukaguzi wa ujenzi wa Daraja la Sungwe lililopo katika barabara ya TANZAM mkoani Mbeya na kuridhishwa na hatua iliyofikiwa katika...
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba ametoa siku saba kwa Mameneja wa TANROADS na TARURA wa Mkoa wa Lindi wakae na kutafuta suluhisho la ujenzi wa daraja katika eneo la Congo kwenye barabara inayoenda Masasi kutokea Nachingwea.
Ametoa agizo hilo jana (Jumapili, Desemba 21, 2025) wakati akizungumza...
Nimefika mwanza siku ya NNE sioni taa za daraja la furahisha je zilikufa na Magufuli?
Je kigamboni Bado zinawaka?
Hata kama hampendi magu tunzeni vitu vyake viwe kama alivyovijnga
Wakuu.
Wengi mtasupport ili, madereva ndio wanaotangazwa sana katika Ajira Portal.
Sizisemi kada nyingine, lakini mfano hapo cheki wana nafasi 40 zimetangazwa, na kila nafasi unakuta zina post 5 kuzidi.
Kwahiyo 40x5 inamaanisha kuna madereva 200 wanahitajika ndani ya hizi week mbili...
Wametumia miaka mitatu na nusu tu kujenga na kumaliza kabisa daraja lote, kwa mwendo huu ndio maana Wachina wameridhika na utawala wa uimla wa Wakomunisti maana ni kama wanawatendea raia wao miujiza katika maendeleo.
Daraja la Ngara.
Hili daraja limejengwa na wakala wa barabara za mijini na vijijini TARURA na limegharimu kiasi cha shilingi milioni 763 kupitia mpango wa serikali wa kupunguza vikwazo unofadhiliwa na Benki ya Dunia.
Nimejaribu kuangalia kasoro kadhaa ambazo zajionyesha wazi katika daraja hilo...
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kulalamikia eneo la Mtemi Beda, Wilaya ya Mpanda akieleza limekuwa kero kero ya muda mrefu kutokana na changamoto ya ubovu wa Barabara ya Mtaa wa Misukumilo kwenda Kitongoji cha Milala Shongo Kijiji cha Milala, ufafanuzi umetolewa sababu ya kukwama kwa mradi huo...
Ujenzi ulioendeshwa kwa kasi na udhamini wa Rais. Ujenzi ulianza Desemba 2019 na ulifikia asilimia 85 ifikapo Machi 2024.
Katika kipindi cha uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, mradi ulikua kwa kasi. Alikuta ukiwa umefikia asilimia 25 tu.
Umefikia ukamilifu asilimia 100 ifikapo Juni 2025.
2...
Kuelekea Msimu wa 2025/26 utabiri wangu unaweza kuwa hivi
List yangu…
1. Man U
2. Liverpool
3. Man City
Itakayoshuka daraja Arsenal
Listi yangu ya Bongo
1. Simba
2. Yanga
3. Azam FC
Itakayoshuka daraja Singida
Serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) imepanga kufunga kamera maalum za usalama (CCTV) katika Daraja la J.P. Magufuli linalounganisha Kigongo na Busisi, mkoani Mwanza, ili kuhakikisha daraja hilo linalindwa ipasavyo na kudumu kwa muda mrefu kwa manufaa ya taifa.
Hayo...
Baada ya sakata la tour guide kuwaruhusu watalii kushuka kwenye magari kutazama kivuko cha nyumbu ni kinyume na taratibu za uhifadhi pamoja na uongozaji wa watalii lakini ucheleweshaji wa kujenga kivuko hicho Ili kiruhusu watalii kuvuka upande wa pili wa mto Ili kuona vizuri uvukaji wa wanyama...
Amelaaniwa yule amtumainiaye binadamu,
PM Kassim Majaliwa Alikuwa akinyanyua simu kwa wafadhili na wadhamini ndani ya 24 hrs akaunti ya Namungo inajaa.ole wako ukatae,utaonekana mpinga maendeleo
Ligi kuu kuiendesha ni gharamasana kuilisha mijibaba zaidi ya 30,yenye familia,mingine inaenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.