dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania KERO Kero ya ubovu wa barabara ya Majohe, Dar es Salaam

    Habari za weekend wakuu, Tusaidiane kufikisha Hii taarifa ya adha inayowakumba wakazi wa Majohe kwa muda mrefu sana kuhusiana na ubovu wa barabara kuanzia shule ya sekondary Halisi mpaka kituo cha kwa mjeshi. Barabara hii ni mbovu mno kupelekea vyombo mbali mbali vya usafiri ikiwemo usafiri wa...
  2. JamiiForums Tanzania Kero ya ubovu wa barabara ya Majohe Dar es salaam

    Habari za weekend wakuu, Tusaidiane kufikisha Hii taarifa ya adha inayowakumba wakazi wa majohe kwa mda mrefu sana kuhusiana na ubovu wa barabara kuanzia shule ya sekondary Halisi mpaka kituo cha kwa mjeshi Barabara hii ni mbovu mno kupelekea vyombo mbali mbali vya usafir ikiwemo usafir wa umma...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Shughuli Gani inaweza nipa faida ya 10Pct net profit Kila mwezi kwa mtahi WA million 20 hapa Dar au kwingineko?

    Wadau naomba mawazo,,ni shughuli Gani naweza kuwekeza 20 million ikawa inanipa faida ya 2million kwa hapa Dar au kwingineko? Ushauri ndugu kwa usoefu wenu
  4. JamiiForums Tanzania Ramadhani in Dar es Salaam, Once Upon a Time

    Makala hii nimeiandika miaka michache nyuma kwa ajili ya gazeti moja Ulaya na ndiyo sababu iko kwa Kiingereza. RAMADHANI IN DAR ES SALAAM THROUGHOUT THE YEARS Observation of the holy month of Ramadhan in actual fact begins when the moon is sighted at the end of Shaaban. Soon after Magrib...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Bombardier yaranda randa anga ya Dar es Salaam

    Kuna Ndege ya ATCL Bombardier inazunguka sana kwenye anga ya Dar bila kutua, nimejaribu kuhesahabu kama mizunguko mitatu au minne. Je inashida yoyote au kuna iliyoomba emergency landing? Wajuvi wa hili tafadhali
  6. JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya maeneo mengi Dar es Salaam yananuka

    Bonjour Aisee ndugu zangu siwafichi, asilimia 90 ya maeneo mengi ya Dar es salaam yananuka sana , na hii imesabishwa Kwa poor management ya mitaro inayo pitisha maji machafu, haswa kipindi hiki cha mvua watu wanafungulia chemba alooo ni hatari sana , alafu kila kona ya mtaa unao pita, kuzagaa...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali izifunge na kuzihamisha Shule za Sekondari Mkongo na Utete za Rufiji kwenda Dar

    Kufuatia Mafuriko ya Rufiji , kutokana na uzembe wa serikali na kukurupuka baada ya Envirment impact Assessment kuonyesha lile bwawa likijengwa litakuwa na uharibifu wa eco system na jamii sasa mafuroko makubwa yaja. Majumba yamefunikwa, mashamba yamefunikwa na sasa huenda shule hizo...
  8. JamiiForums Tanzania Migomigo na Lango la Jiji ni wapi hapo Dar es Salaam?

    Kwa wale ambao Dar ni kwao nadhani watakuwa wanapajua migomigo me napasikiaga tu katika nyimbo za wasanii ila sijawahi kupajua naishia kuhisi labda ni maeneo ya Magomeni. Na sehemu nyingine nataman kuijua maarufu kama lango la jiji ipo njia gani hiyo Lango la Jiji?
  9. JamiiForums Tanzania Ukimuomba au ukimdai hela mtu wa Dar es Salaam utaambulia sound

    Hakwambii kama hana au atakutafutia kesho anaanza kukupanga Mara ooh subiri kidogo kipengele hapa usafiri Mara blah blah kibao yaani lazima akuingize viswahili acheni ujanja ujanja watu wa dar sio unamuaminisha mtu asubiri ukipigiwa simu inazingua acheni kudanganya danganya wakuu.
  10. P

    JamiiForums Tanzania Tuliozaliwa Dar na kukulia Dar, mara ya kwanza kwenda kijijini ilikuaje?

    Wakuu, Tumesikia na tunaendelea kusikia story nyingi vituko na mikasa inayosimuliwa na watu wanaokuwa wamefika Dar kwa mara ya kwanza, jinsi jiji lilivyowakaribisha na kupata ile maana halisi ya msemo "Mjini shule". Sasa tusikie kwa upande wa Dar na experience zao walivyofika kijijini kwa mara...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Mara ya kwanza kuja mjini (Dar) jiji lilikukaribisha kwa style gani ukikumbuka kwa jinsi ulivyokuwa mshamba unakufa mbavu?

    Salaam Wakuu, natumai kaubaridi mwororo kawapapasa vyema huko mliko, twende kwenye mada. Sehemu yoyote mjini inachukuliwa kama sehemu ya kutolea ushamba, kutokana na kupiga hatua kwenye mambo mengi na muingiliano mkubwa na watu kutoka sehemu mbalimbali ulimwenguni. Naona ndio hata mababu zetu...
  12. JamiiForums Tanzania Car4Sale Nissan Patrol inauzwa Milioni 45 tu. Ipo Dar

    1. Hali ya Gari: Gari halina shida yoyote, ila halijatembea kwa muda. Ni Nissan Patrol 2. Gari lilipo: Gari lipo Goba Mkoani Dar es Salaam 3. Bei ya Gari: Ni Tsh milioni 45 5. Mawasiliano: Piga simu au tuma Meseji kwenda: 0713208669
  13. JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa TPA na DP World kuongeza shehena na kuleta ufanisi Bandari ya Dar

    Serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imejipanga kushirikiana na Kampujni ya DP World ili kuongeza ufanisi wa huduma za kibandari na kuwezesha ongezeko la Meli na Shehena katika Bandari ya Dar es Salaam Akizungumza katika Kikao cha Wadau wa Bandari na Sekta ya Uchukuzi...
  14. JamiiForums Tanzania Dar: RC Chalamila apokea msaada toka DP World Foundation kwa ajili ya wenye uhitaji mfungo wa Ramadhani

    Mheshimiwa Albert Chalamila ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam amepokea msaada wa vitu mbalimbali kutoka taasisi ya DP World Foundation na kukabidhi msaada huo kwa watu wenye uhitaji katika kipindi hiki cha mfungo wa mwezi wa Ramadhan. Msaada huo unaokadiriwa kuwa na thamani ya shilingi za...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Makonda umekichemsha sana, wapo waliokuwa wamelala

    https://www.youtube.com/watch?v=g_Vx3fF69f0 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi Wateule katika ukumbi wa Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 04 Aprili, 2024. RAIS SAMIA: MAWAZIRI MKAJIBU HOJA ZA CAG Siku chache baada ya Mdhibiti na...
  16. JamiiForums Tanzania Nani aje, Kuna hela za Bure hapa, mademu wakali wa dar

    Nanianichanganye nimfue? Nimkamie? Nimkande.?
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Tsh. Trilioni 10.69 zimetumika kujenga Reli ya SGR Dar mpaka Moro

    Serikali imeendelea kutoa fedha za utekelezaji wa ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango cha Kimataifa (SGR) wa kilomita 1,219, kwa kutoa jumla ya Sh10.69 trilioni na kwa ujenzi wa kipande cha Dar es Salaam – Morogoro. Soma pia: Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake...
  18. JamiiForums Tanzania Radi iliyopiga juzi Dar imeacha hasara ya kutosha

    Juzi jumamosi mida ya asubuhi mvua ilinyesha Dar na around saa tatu hivi ikapiga radi moja kubwa sana kwa wanaokaa pande za goba, mbezi,tegeta A, Msumi, Makabe etc. wataelewa ninachosema. Radi ambayo ilipelekea umeme kukatika kwa dakika chache tu ila tayari ilikua imeshafanya uharibifu kwenye...
  19. JamiiForums Tanzania Je, ni sheria kila mkazi wa Dar kulipa hela ya taka?

    Wakuu salamu, Naomba kujuzwa, hivi ni sheria kuwa kila mkazi wa dar kulipa hela ya taka kwenye eneo lake la biashara hata kama biashara yako haizalishi taka? Kumekuwa na tendency ya wakusanya taka kutoza hela kwa kila mwananchi hata kama kwa mwezi huo hawakuzoa taka kwenye eneo lake. Je, ni...
  20. JamiiForums Tanzania Gari nzuri na dereva kutoka Dar mpaka ifakara

    Habari Tarehe 4 April Nina safari ya kwenda Ifakara na mgeni wangu. Tunaenda ifakara,kutembelea baadhi ya project tunalala na kesho yake kurudi. Nahitaji usafiri 4 wheel,dereva mzoefu na bei ya kwenda na kurudi jumla. Tutakua watatu au wawili. Mwenye kuweza nicheki Dm au comment nikucheki.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…