dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kumetolewa tahadhari ya El Niño ila hakuna elimu yoyote inatolewa kwa Wananchi, kwanini?

    Kutokana na tahadhari ya wataalamu wa hali ya hewa kuhusu uwezekano wa mvua kubwa za El Niño mwaka huu, tunaomba Serikali na mamlaka husika kuongeza juhudi za kutoa elimu na tahadhari kwa wananchi ili waweze kujiandaa mapema. Pia, kuna wasiwasi kuhusu hali ya miundombinu ya mifereji ya maji...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Stendi ya Segerea - Dar kimeo sana, miundombinu mibovu, mvua ikinyesha ndio balaa kabisa

    Miundombinu ya Kituo cha Segerea ni mibaya, kwa ufupi imeharibika, hii si mara ya kwanza Wadau tunawasilisha kero hiyo hapa JF lakini nadhani watakuwa wanachukulia poa na kuona wao haiwahusu kwa kuwa tunaoteseka ni sisi wa kipato cha chini tunaotumia daladala, wao wanatumia magari ya bei kubwa...
  3. JamiiForums Tanzania Je Dar es salam ni jiji lenye fursa nyingi?

    Dar es Salaam ina vyanzo vya mapato ambavyo bado havijaguswa. Tatizo si ukosefu wa fedha, bali ukosefu wa ubunifu. Kila mwaka tunazungumzia namna ya kuongeza mapato ya halmashauri na kuboresha huduma za wananchi. Mara nyingi mjadala huishia kwenye kuongeza ushuru au kodi. Lakini je, tumeshawahi...
  4. JamiiForums Tanzania Sheikh Walid aondolewa nafasi ya Sheikh wa Mkoa wa Dar kwa kukiuka misingi

    Baraza la Ulamaa BAKWATA limeazimia kumsimamisha Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam Walid Omar Kawambwa kutokana na mienendeo inayokiuka misingi ya kiungozi ya Kibaraza. Soma: PreGE2025 - Rais Samia ameahidi kujenga Msikiti wa Kisasa Vigwaza/Migude wenye hadhi ya Rais. Sheikh Walid ampigia debe...
  5. JamiiForums Tanzania Dotto Magari: Hakuna tajiri anaeishi porini,matajiri wanaishi mijini kama Dar.

    “Hakuna tajiri anakaa porini mi navyojua mtu akiwa na hela anatoka porini anakuja mjini uanza maisha mapya, hao sijui matajiri wa Nyamongo sijui Mwanza, Geita mnatuchosha, kwanini mnapenda kujisifia matajiri wako huko?" "Kuna tajiri sasa huko Geita? Huko kuna watu wa kushinda kwenye mashimo...
  6. JamiiForums Tanzania Fast food kwa wafanyakazi wa maofisini Dar es salaam, Karibuni sana

    Kichwa cha habari chahusika, Habari za kazi ndugu zangu, tunaitambulisha kampuni yetu ya usambazaji wa chakura maofisini kwa jiji la Dar es salaam, wadau wa JF- msije kupata shida kwenda kula katika vibanda umiza sisi tupo kwa ajili yenu. UBORA KATIKA KAZI: 1. Chakula kinaandaliwa na ma chef...
  7. JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi atembelea Banda la GF katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametembelea banda la kampuni ya GF katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba), wakati wa hafla rasmi ya kufunga msimu wa maonesho ya mwaka 2026. Katika ziara hiyo ya heshima...
  8. JamiiForums Tanzania Maisha ya machimboni ni ghali sana nashangaa dogo unatoka mikoa kanda ya ziwa unakimbilia Dar

    Kule wachimbaji kuchakaza milion 30 kwa siku ni kugusa tu Maisha ya machimboni ni ghali sana nashangaa dogo unatoka mikoa kanda ya ziwa unakimbilia dar kuchoma mahindi barabarani au kuuza supu za pweza huku unaacha madini utakuwa na akili kweli? 😂 Mwisho, Geita ngwengwe ipo tumia kinga mtu wangu
  9. JamiiForums Tanzania Padri Dkt Vicent Mpwaji Ateuliwa Kuwa Askofu Msaidizi Jimbo Kuu La Dar Es Salaam

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Baba Mtakatifu Leo XIV amemteua Mheshimiwa Padre Vincent Lawrence Mpwaji wa Jimbo kuu la Dar es Salaam, kuwa Askofu Msaidizi wa Jimbo kuu la Dar es Salaam, leo Julai 11, 2026. Mhashamu Askofu mteule Padre Vincent Lawrence Mpwaji alizaliwa Juni 05 mwaka 1978 Jimbo...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini watu wengi wa Dar wana umbo la mviringo?

    Watu wa Dar waume kwa wanawake ni kama watu wa familia moja. Walio wengi wanaumbo mviringo kama kiazi ulaya! Ningumu kujua kama mtu wa Dar anakwenda au anarudi, ngumu kujua mgongo ni upi na tumbo na kifua ni vipi .Miili Yao imeunganika kama matikiti maji. Shida ni nini hapo Daslamu?
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kelele za mitambo ya kiwanda cha Kerai Construction Ltd- Mbezi Jogoo (Dar) zinatutesa wakazi wa karibu

    Wakazi wa Mbezi Juu, Mtaa wa Jogoo, Jijini Dar es Salaam tunaathiriwa na kelele zinazotokana na kiwanda cha zege cha Kerai Construction Ltd, ambacho kinajihusisha na uzalishaji wa bidhaa za ujenzi. Kiwanda hicho, ambacho kipo karibu na maeneo ya makazi, kimekuwa kero kubwa kwa wakazi wa maeneo...
  12. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Hivi haya masharti ya Bodi ya Ithibati ni kwa Media za Dar na zile kubwa pekee?

    Baadhi ya mikoa naona kama bado usimamizi upo chini kumekuwepo na baadhi ya Vyombo vya Habari vinavyoajiri watu wasio na sifa husika kwa kuwa tu wanajua watawalipa kiasi kidogo cha fedha. Wale wenye sifa stahiki inaonekana kama watakuwa na gharama kubwa, na kwa kuwa Wazee wa JAB wenyewe ni kama...
  13. JamiiForums Tanzania Chumba kimoja Dar chapangishwa kwa watu 30 bila wao kujijua mwenye nyumba atokomea kusikojulikana

    Hali ya taharuki imetawala katika Mtaa wa Mabibo Sahara Jijini Dar es salaam baada ya Watu zaidi ya 30 wakidai kupangishwa chumba kimoja na Mtu anayetajwa kuwa Mmiliki wa nyumba, ambaye kwa sasa anadaiwa kutoweka na hajulikani alipo. Camera za AyoTV zimefika eneo la tukio na kuzungumza na...
  14. JamiiForums Tanzania Chumba Masta na Sebule ipo Dar, Mbezi Beach

    CHUMBA MASTA NA SEBULE Location - Mbezibeach, Umbali wa Kutembea Kodi - Tshs 170,000/= Umeme wake, ndani ya fensi, Maji ndani. Piga - 0716442950
  15. R

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi na Polisi wametanda kila kona Dar

    Vyombo vya ulinzi na usalama vikiendelea na doria kuhakikisha usalama Sikukuu ya Sabasaba Julai 7, 2026 mkoani Dar es Salaam kufuatia Maandamano yaliyopangwa kufanyika leo
  16. JamiiForums Tanzania Show room uchwara zaficha magari Dar

    Zile showroom uchwara jijini zimeficha magari yao zile open space zote leo zipo wazi kama uwanja wa mpira. Tuolinde amani kwa wivu mkubwa.
  17. JamiiForums Tanzania Wasafirishaji wa Dar es Salaam wakataa kutumiwa kufanya maandamano ya kiharifu

    Kanusho bodaboda,bajaj na daladala hawaja tangaza kuuunga maandamano aidha wanawasihi wananchi kuyapinga kqa kuwa wao bila watu kwenda kutafuta hawapati chochote kitu
  18. JamiiForums Tanzania Wapi nitapata hivi vifaa vya ujenzi hapa Dar es Salaam?

    Nahitaji haya mabati kwa ajili ya kuextend chumba cha ofisi nje ya jengo kubwa. Au kama kuna mtu anajua material ambazo ni za uzito mwepezi na hazipenyezi maji wala kuoza anisaidie.
  19. JamiiForums Tanzania DAR: Wizara ya Ardhi yatoa Hati zaidi ya 470, Waziri Dkt Akwilapo ahimiza ufanisi, Haki na weledi katika utoaji wa huduma

    Zaidi ya wananchi 470 wamepatiwa Hatimiliki katika banda la Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wakati wa Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba), yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Akizungumza leo, Julai 5, 2026...
  20. JamiiForums Tanzania Wazazi mabinti zenu waliokuja kutafuta maisha Dar hela wanazowatumia wanazipata kwa tabu

    Nimeona hiki kitu leo nikizungumzie kwa sababu kinaniumiza sana. Mimi sehemu ninayo ishi kuna mabinti watano wame panga chumba kimoja, hawa mabinti umri wao ni kuanzia miaka 19 mpaka 25. Kilicho fanya niandike huu ujumbe ni kuwa, hawa mabinti wakiwa wana wasiliana na ndugu zao mkoani wana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…