dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Samia anazindua Nyenzo za Utekelezaji wa Dira 2050 | Ikulu Dar | 03 Agosti, 2026

    https://www.youtube.com/live/Motr1Qogzvc?si=0zWibpltOzbHFz0w
  2. JamiiForums Tanzania Katika sehemu wanaoongoza kwa ku judge ni mikoani sio kwa Dar.

    Hii nafasi ya ku judge mikoani inaongoza sana.Ndio maana ngumu kutoboa au kufanikiwa kwa asilimia fulani. Mikoani mtu anaweza kujionesha yeye ni nafasi gani,wewe utakuwa hivi au wakupangie hivi. Ndio maana asilimia kubwa ya watumishi wa mikoani wamechoka sana. Kwa wananchi wa mikoani hapo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kufikia 2050 majiji yatayokuwa yamejengwa zaidi kwa mapato ya mikoa mingine, mikopo na misaada ya nje ni Dar Es Salaam, Dodoma na Arusha

    Dar Es Salaam - Ni jiji lenye ofisi nyingi za uongozi wa kitaifa na East Africa commercial city Dodoma - Ni jiji linalowekewa bajet kubwa sana ili kuhamishia ofisi za serikali huko Arusha - Ni jiji linaloendelea kupata back up ya miradi kwa kuwa na hadhi ya umoja wa Afrika Mashariki na...
  4. JamiiForums Tanzania Natoka zangu Tabora Urambo, nikiwa Sina nauli ya kutosha kufika home Dar

    Maisha ni maudhi tu Hapo natokea huko chimbo kabsa nimepiga mkono ki gari , wamenambia nauli elf 5 mpaka hapo town yanayopatikana magari ya kuja Dar, poa nikakwea nikalipa paap nikafika hapo yanapopatikana magari Picha linaanza magari yanatokea kigoma na noma zaidi yanakuwa yamejaa , kumbuka...
  5. JamiiForums Tanzania Dhahabu yafumuka Dar, Vijana wahini maduara.. Katoro msije

    Unahama Dar Uwende wapi? Dhahabu imetufuata yenyewe... Uzuri tuna nyenzo za kisasa. Hakuna kutumia Mundu ukija Chanika
  6. JamiiForums Tanzania Karibu Elite Home tuition dar es salaam

    Unatafuta mwalimu bora wa kumsaidia mtoto wako kufanya vizuri shuleni? Elite Home Tuition tunaleta walimu wenye uzoefu nyumbani kwako kwa muda unaokufaa. Huduma zetu zinapatikana kwa: Pre-School, Primary na Secondary Mitaala ya Tanzania na Cambridge Masomo yote ya Sayansi, Sanaa na Biashara...
  7. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Watoto 160 wamezaliwa kwa upandikizaji mimba

    DAR ES SALAAM; KITUO cha kupandikiza mimba cha Kairuki Green IVF (KGIVF) cha Dar es Salaam kimefikisha watoto 160 tangu kuanzishwa kwake miaka mitatu iliyopita. Hayo yalisemwa mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi wa kituo hicho, Dk Clementina Kairuki wakati akizungumzia...
  8. A

    JamiiForums Tanzania EWE MKAZI WA KATORO Je, unajua sasa unaweza kusajili kampuni yako rasmi (BRELA) ndani ya siku 5 tu bila kusafiri Kwenda Dar es Salaam?

    Huhitaji tena: (i). Kupoteza siku nzima foleni (ii). Kutumia gharama za usafiri kwenda Dar es Salaam au Mwanza (iii). Kuchanganyikiwa na taratibu ngumu za makaratasi Sisi tunakusaidia hatua zote, kuanzia jina la kampuni, hati za usajili, TIN, hadi cheti chako rasmi cha BRELA vyote vikifanyika...
  9. JamiiForums Tanzania Gari yangu haijawahi kutoka Dodoma, ila ina deni linaloonesha ilikamatwa Dar

    Askari wa Usalama Barabarani waache kubambika madeni kwenye magari ya watu, gari yangu ilikatiwa deni ambalo siyo langu, ilionekana ilikamatwa kwa Mwingira Dar es Salaam wakati gari haijawahi kutoka nje ya mkoa ninao ishi ambao ni Dodoma. Nimefuatilia na ikajulikana traffic aliyefanya hilo kosa...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi kuna mkoa unakosa maadili kama Dar?

    Nimezunguka Tanzania nzima sijawahi kuona mwanamke na mwanaume wasiojuana wakibebwa mshikaki na bodaboda. Hiki kitu unakikuta Dar pekee. Nikiwa nimesimama, nikaona boda anapiga debe Ubungooo...Ubungooo huku akiwa amepakia abiria wa kike. Nikaamini kabisa labda anatafutwa abiria mwingine wa...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi wachaga kwa nini mkifiwa Dar hamweki matarumbeta

    HABARINI WACHAGA WOTE JAMVINI NIMEPATA KUHUDHURIA MISIBA KADHAA YA WACHAGA IKISAFIRISHWA KWENDA MOSHI SWALILANGU KUU JAMANI MBONA TUKIWA DAR HAMUWAWEKEI MAREHEMU MATARUMBETAA TUKIFIKA PALE HIMO AMA NJIA PANDA TUNAPOKELEWA NA MATARUMBETA KAMA YOTE??WHY??? HAMWONI HAMUWATENDEI HAKI...
  12. JamiiForums Tanzania Dar ukubwa unapimwa kwa muonekano ukiwa na umbo kubwa au sura ya Mujuni (baadae mpoki) shikamoo kama zote

    Unakuta mkubwa anamuamkia mdogo kisa muonekano hasa hao mabinti wa siku hizi sijui wanakula nini unakuta kazaliwa 2000 ila umbo kama mbuyu kajenga hadi kibanda Kwa wanaume ukiwa dar unatakiwa uwe na sura soft kama ya haszu la si hivyo utaogelea shikamoo za watu wa miaka 70 hukoo.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Sheikh Walid- aliekuwa Sheikh wa Dar

    Barua ya wazi kwa Sheikh Walid Assalaamu Alaikum Warahmatullahi Wabarakaatuh, Sheikh Walid, kwanza napenda kukufikishia pole zangu za dhati kwa mitihani na changamoto ambazo umekutana nazo katika kipindi hiki. Tunamuomba Mwenyezi Mungu akupe subira, nguvu na hekima katika kukabiliana na kila...
  14. JamiiForums Tanzania Wavulana wa Dar Es Salaam wanasikitisha sana. Hasa ambao wamekulia Kinondoni, Ilala na Magomeni

    Usije ukawa na mtoto ukakaa naye maeneo haya.... Huwa hawakui, hawawi wanaume. Mi hata nikipata rafiki akiwa amekulia hayo maeneo huwa namwona kuwa bado hajawa mwanaume kamili Sisi wanaume wa mikoani tunawadhatau sana watu wa Daa ambao wanajiita wanaume mfano huyu Tid nasikia bado anafugwa...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Hivi Mgambo wa jiji hapa Dar ususani Ilala wana nguvu kuliko Waziri Mkuu?

    Wananchi tunahitaji ufafanuzi kuhusu nguvu na utendaji wa Mgambo wa Jiji, hususan katika eneo la Kariakoo, wakidai kuwa kumekuwa na ukamataji wa mali za wananchi unaosababisha kero kubwa. Baadhi ya waendesha pikipiki wanakamatwa bila kupewa nafasi ya kujieleza au kusikilizwa, huku pikipiki...
  16. JamiiForums Tanzania Motel Agip Dar Inaoza!

    Motel Agip iliyopo Posta jijini Dar es Salaam ilifungwa rasmi tarehe 18 Desemba 1998 kutokana na mgogoro mkubwa wa kimkataba wa upangaji na ukodishaji kati ya uongozi wa hoteli hiyo na mmiliki wa jengo, kampuni ya mafuta ya Agip Tanzania Limited. Hoteli hiyo yenye vyumba 57 ilikuwa kitovu kikuu...
  17. JamiiForums Tanzania Mlioko Dar naombeni muongozo. Maisha yakoje huko?

    Habari za jion wakuu Kwanza kabisa Mimi ni mkazi wa mafinga ila kwa sasa Niko kwenye gar naelekea dar ila sjawai fika kabla i Hii ndo mara yangu ya kwanza kuenda Dar kwa hiyo naombeni mwongozo
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Dar: Mgambo wa Jiji walikamata Spika zetu, wakasema tunalipe Faini Sh 200,000 kisha tulipe Sh 50,000 kila siku kama tunataka kuzitumia

    Mimi ni mfanyabiashara wa simu na vifaa vyake katika maeneo ya Machinga na Karume, Dar es Salaam, Tarehe 25 Juni 2026, siku ya Alhamisi, mgambo wa Jiji walifika ghafla katika maduka yetu na kuondoa spika zetu za kutangazia biashara. Hawakunipa maelezo ya kutosha wala hawakutoa hati yoyote ya...
  19. JamiiForums Tanzania Mabilionea wa Dar wawajibu mabilionea wa katoro kwa mbwembwe.

    Baada ya bilionea mstaarabu wa Katoro Kahama Sylvester Buyamba na wenzake kuvunja Internet kwenye send off ya kufukuru na kutetemesha mitandao ya kijamii Africa mashariki, kati, kusini hadi magharibi huko, nakuwashikisha adabu mabilionea uchwara wa Dar nao eti wamewajibu kwa style ya ajabu na...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kumetolewa tahadhari ya El Niño ila hakuna elimu yoyote inatolewa kwa Wananchi, kwanini?

    Kutokana na tahadhari ya wataalamu wa hali ya hewa kuhusu uwezekano wa mvua kubwa za El Niño mwaka huu, tunaomba Serikali na mamlaka husika kuongeza juhudi za kutoa elimu na tahadhari kwa wananchi ili waweze kujiandaa mapema. Pia, kuna wasiwasi kuhusu hali ya miundombinu ya mifereji ya maji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…