dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. Zanzibar kwenda Dar ndio safari fupi zaidi ya Ndege , kwa dakika 16 tu

    Heppi Iddi. Yaani mpaka sasa sijapata mualiko popote pamoja na kukariri aya za Koran wiki nzima. Mpaka mchepuko wangu haujanialika. Anyways. Ukiachana na hayo safari toka Zanzibar kwenda Dar ndio inatambulika kama fupi zaidi kwa ndege ambapo abiria anaweza kufanya booking moja kwa moja. Kwa...
  2. Hivi kwanini Kibaha isiwe Dar es Salaam?

    Huwa najiuliza, viongozi wa hii nchi wana akili timamu kweli? Yaani wanajua kabisa raia wao wengi hawana elimu na wamejirundika Dar es Salaam kwa ajili ya jina. Kwanini wasiifanye wilaya ya Kibaha kuwa ndani ya Dar es Salaam sababu ilishawahi kuwa ndani ya dar es salaam ili watu wasambae kujenga...
  3. Kama una matairi mabovu kabisa nanunua. Tupo dar mabibo mzambarauni karibu na chuo cha usafirishaji NIT. Piga namba hiyo tufanye biashara. 0715 494920

    Ndio, itakuwa na maana sana kama utakuwa nayo mengi, idadi yoyote nachukua. Yakuwa makubwa makubwa ndio hayahitaji zaidi.
  4. PreGE2025 Wananchi wa Mtaa wa Mji Mpya, Saranga jijini Dar es Salaam wachangishana pesa na kujenga kipande cha barabara kwa kiwango cha zege

    Wananchi wa Mtaa wa Mji Mpya eneo la kwa Mzungu kata ya Saranga jijini Dar es Salaam wameonesha kwa vitendo umoja wao kwa kuchangishana pesa na kujenga kipande cha barabara kwa kiwango cha zege ili kupunguza adha waliyokua wakiipata kutokana na ubovu wa njia hiyo hasa kipindi cha mvua. Barabara...
  5. Serikali yafungua rasmi Mnada mwenge Dar es salaam

    Serikali kupitia Mkuu wa Wilaya wa Kinondoni Saad Mtambule amefungua rasmi Mnada ambao ni jukwaa linalowapa nafasi Wajasiriamali kuweza kuwafikia Watanzania kwa urahisi. Huna NIDA? Cheti cha Kuzaliwa? Una Shida na Tanesco? DAWASA? BRELA? Unataka kuonana na Mkuu wa Wilaya? Shida ya Ardhi au...
  6. Vijana wa kisasa wa Kiafrika!

    Katika jamii ya sasa, vijana wengi wanakosa mwelekeo na thamani, na hili linaweza kuathiri jamii nzima. Kama kizazi hiki hakitapewa uangalizi na mwongozo, tunaweza kujikuta na kizazi kilichopoteza mwelekeo, hata kabla ya kufika kaburini. Vijana wanavua ndoto kwa kubeti, wakitegemea bahati...
  7. Zaidi ya Wananchi 100 wa Mitamba - Kibaha waliobomolewa makazi yao wafika Mahakamani Kuu (Dar) kusikiliza hatma ya kesi

    Zaidi ya wananchi 100 kwa niaba ya wenzao kutoka Wilaya ya Kibaha Mkoani Pwani wamefika katika viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Aridhi wakiambata na Wakili pamoja na baadhi ya viongozi wao kusikiliza shauri lao, ambapo wananchi takribani 3000 wanadai kuchukuliwa ardhi yao na...
  8. Tangazo la Mshindi Redio Tanzania Dar es Salaam

    Wimbo Mshindi sabuni mpya yenye nguvu, yenye kutakasa kuliko zote, Mshindiii yeee eeeeeh, mshindiii yeee eeeeeh, mshindi. Maneno ya yule jamaa mwisho wa tangazo "Mshindi ni sabuni mpya na yenye nguvu, nguvu tele ni sabuni mwanaaana kwa mikono yako, hakuna sabuni inayoshinda mshindi." Mshindiiii
  9. Tangazo la Sabuni ya Komoa: Redio Tanzania Dar es Salaam

    Nipeni nguo nifue (komoaa), sabuni ya komoa (komoaa) Nipeni maji nioge (komoaa), sabuni ya komoa (komoaa) Inanukia vizuri (komoaa), inapovu jingi sana (komoaa) Haichubui mikono, (komoaa) kiboko ya nyingine (komoaa) Aeee eee (komoaa), aaa eee eee, (komoaa) aaa eee eee (komoaa) (Tilititititi...
  10. KERO Serikali iamue moja; nauli ya Mwendokasi iwe Tsh. 700 kamili au 800

    Kumekuwepo na usumbufu mkubwa sana kwa abiria wanautumia huduma za mabasi ya mwendokasi. Abiria anapokata tiketi anaambiwa hakuna chenji asubiri mpaka itakapopatikana, hii ni sawa kweli? Huduma ya namna hii? Kama hawana uwezo wa kuwa na hizo chenji za Tshs 50 waondoe hiyo Tshs 50. Najiuliza...
  11. R

    Kama tumeshindwa mwendokasi, unadhani ni baada ya miaka mingapi Dar Es Salaam itakuwa na metro kama hii ya Tokyo?

    Kama tunashindwa mwendo kasi, je hapa tutafika kweli milele na milele amina? Tokyo Metro Hii iko chini ya ardhi.......
  12. MSAADA WA KUPATA NYUMBA YA KUPANGA ZA NHC DAR ES SALAAM

    Habari wanajamii forum, Naomba msaada wa kusaidiwa kupata nyumba ya kupanga za NHC Dar es salaam eneo laweza kuwa Ubungo Shekilango au eneo lolote ambalo litanirahishia kufika hospitali ya muhimbili kwa urahisi kwani kwa sasa nauguza Mgonjwa ambaye anilazimu kumpeleka kwenye session muhimbili...
  13. MSAADA WA KUPATA NYUMBA YA KUPANGA NHC DAR ES SALAAM

    Habari wanajamii forum, Naomba msaada wa kusaidiwa kupata nyumba ya kupanga za NHC Dar es salaam eneo laweza kuwa Ubungo Shekilango au eneo lolote ambalo litanirahishia kufika hospitali ya muhimbili kwa urahisi kwani kwa sasa nauguza Mgonjwa ambaye anilazimu kumpeleka kwenye session muhimbili...
  14. Serikali ya Rais Samia nunua magari haraka kusaidia wanafunzi jiji la dar es salaa

    Hivi hii kalaa ya watoto kuamka ndani saa9 na kurudi nyumbani saa 4 usiku serikali haioni aibu? Katika majiji yote makubwa hasa Dar, Mwanza, Arusha na Mbeya watoto wanateseka Sana! Watoto wananyanyaswa San Watoto wa kike kushikwa shikwa kwenye magari ya umma, kudharirishwa, kunyanyaswa na...
  15. Picha: Kamanda wa Polisi Dar, SACP Jumanne Muliro aandaa Iftar kujenga umoja na mshikamano

    Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Jumanne Muliro, ameandaa hafla ya Iftar nyumbani kwake Kimara, Dar es Salaam, Machi 22, 2025, kwa lengo la kuimarisha mshikamano ndani na nje ya jeshi la polisi.
  16. PreGE2025 Mratibu wa Uandikishaji Dar: Wakala wa Chama kazi yake ni kutazama sio kunakili majina ya wanaojiandikisha kwenye Daftari la Wapiga Kura

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuandika hoja yenye kichwa cha habari “Wakala wa CCM anayeandikisha majina kwenye kituo cha kupiga kura anapeleka wapi majina hayo? Ndio utaratibu wa Tume?” na kufafanua jinsi Wakala wa chama alivyokuwa akichukua majina ya wanaojiandikisha, ufafanuzi...
  17. Kuishi Dar es Salaam uwe na akili ya kutafuta pesa

    Nimefanya utafiti wangu kila kona ya Dar es salaam nimeona wazawa wengi wa hili jini wote ni mabandidu wasio na huruma na hawaogopi lolote juu ya swala la pesa, watu wakilala wakiamka wanawaza pesa. Kila kitu ni pesa, ukimsimamisha mwanamke njiani ukimuona namba badae ataanza kukuelezea shida...
  18. Kuna watu Waongo, halafu kuna Prof. Kitila, "Madumu ya Maji yamepotea Dar, ashukuriwe Rais". Dar ipi hiyo???

    "Kwa miaka mingi sana Jimbo la Kibamba lililopo wilaya ya Ubungo limekuwa na shida kubwa ya maji katika mkoa wa Dar es Salaam, hata hivyo mama (Rais Samia Suluhu Hassan) ulisikia kilio cha wananchi wa jimbo hili kilichopazwa kwa niaba yao na Mbunge wao Mheshimiwa Issa Mtemvu, hatimaye serikali...
  19. HOTEL LOCKING SYSTEM INSTALLERS IN DAR ES SALAAM AND MWANZA(SMART LOCK HOTEL)-0746373222.

    HLS ( HOTEL LOCKING SYSTEM). Hii ni system inayotumika katika vyumba vya hoteli na lodge. Ni maalum kwa ajili ya milango inayofunguka Kwa kadi. System hii inakupa option ya ku-create kadi ya kufungua Mlango iweze kutumika ktk muda ambao mteja amelipia chumba, mfano mteja kalipia chumba siku...
  20. Panya wa Kichina wamevamia Dar es Salaam. Hawali sumu yao pia wanajua mtego. Serikali itusaidie

    Kuna panya wamevamia Jiji la Dar Es Salaam. Hawa panya hata uwatege kwa sumu ya panya hawali. Wanajua mitego yote ya panya. Na ukimfuata bila tahadhari anakurukia kukung'ata. Huwezi kuwanasa labda uwapige na nyundo au fimbo. Inadaiwa ni panya wa Kichina na Wametoka China. Wanapiga kelele...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…