dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania TUCTA yapinga kufukuzwa kazi kwa aliyekuwa meneja wa TRC kanda ya Dar es Salaam

    Baada ya aliyekuwa Meneja wa Kanda wa Shirika la Reli Tanzania, Jonas Afumwisye, kuthibitisha kupokea barua ya kufutwa kazi, Rais wa Chama cha Wafanyakazi nchini amesema wanapinga hatua hiyo kwa kuwa alitimiza haki yake ya kutoa maoni. Meneja huyo anadai, kusimamishwa kazi kutokana na kupinga...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Tatizo kubwa la ajali za barabarani zinazohusisha pikipiki(boda) katika jiji la Dar es Salaam

    Andiko langu linahusu tatizo sugu la ajali za barabarani zinazohusisha pikipiki (boda) katika jiji la Dar es salaam linavyoleta madhala makubwa kwa jamii. Dar es salaam ni jiji kubwa linaloongoza kwa kua na watu wengi shughuli nyingi za kimaendeleo, kibiashara na hufanyika nyakati zote usiku...
  3. Y

    JamiiForums Tanzania SoC02 Uuzaji na usambazaji wa samaki kwa njia aplikesheni maalumu ya samaki kiganjani mwako katika jiji la Dar es Salaam

    Utangulizi na kauli kuhusu tatizo Biashara ya samaki ni biashara inayokua kwa kasi sana hapa kwetu nchini Tanzania. Na hii ni kwa sababu ya uhitaji mkubwa sana wa samaki kama kitoweo chenye gharama nafuu na chanzo cha protini miongoni watu walio wengi, hasa wale wa hali ya chini na chanzo cha...
  4. JamiiForums Tanzania Natafuta Marine board used Dar es salaam

    Habari wadau, Nipo maeneo ya Goba, ziwe zimetumika mara moja tu. ziwe kwenye hali nzuri. tuchekiane inbox.
  5. JamiiForums Tanzania Askofu Mkuu Katoliki Dar es Salaam amtimua nchini Padri wa Nigeria

    Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Jude Thaddaeus Ruwa’ichi amemwamuru Padri Christopher Fosudo, ambaye ni raia wa Nigeria, kuondoka mara moja jimboni mwake na kurejea nchini kwao. Padri Fosudo alikuwa paroko msaidizi, Parokia ya Watakatifu Mashahidi wa Uganda, Magomeni Dar es...
  6. JamiiForums Tanzania Msako wa mifuko ya Plastiki kuanza upya Dar es salaam

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla ametangaza operesheni ya kukamata mifuko ya plastic iliyokatazwa huku akiwataka wananchi kujiepusha na matumizi ya mifuko hiyo. RC Makalla ametangaza operesheni hiyo leo Ijumaa Augusti 19, 2022 wakati wa kikao kazi na wazalishaji wa mifuko mbadala...
  7. JamiiForums Tanzania Yaliyonishangaza Dar es Salaam!

    Habarini za jioni wadau! Nilitoka kwenye jiji hili la Dar Es Salaam takribani miaka 15 iliyopita. Nimewasili hapa takribani kama wiki moja iliyopita na sasa ninaleta kwenu wadau uzoefu wangu mpya katika jiji hili kubwa kabisa nchini na lenye umaarufu Afrika nzima. Dar Es Salaam kuna...
  8. JamiiForums Tanzania Msoto wa maisha Dar es Salaam ulivyonifanya nitamani kuwa mwizi na mhujumu uchumi

    Hivi ni visa vya kweli vinavyotokea ili tujifunze graduate na wapambanaji wengine someni hapa. Hakuna cha nitaendelea nitafupisha zaidi iwe fupi. Ni Mimi pastor prakatatumba abaabaabaabaa etumba etumba. Ndugu zangu kwanza nikiri jiji la Dar es Salaam watu wanapambana saaana tena saana, kuna...
  9. JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara anayeuza vifaa vya magari vya wizi Ilala akamatwa, Polisi wasema msako unaendelea

    Jeshi la Polisi limemkamata Gamariel Swai (43) mfanyabiashara na mkazi wa Mbezi kwa tuhuma za kuuza spea za magari zilizoibwa kwenye magari ya watu mbalimbali. Duka lake lipo Mtaa wa Songea, Ilala. Awali, Jeshi la Polisi tarehe 23 Julai 2022 lilipokea taarifa ya wizi wa vifaa vya gari huko...
  10. JamiiForums Tanzania Mamlaka za Jiji la Dar zitafute ufumbuzi wa tatizo la ardhi ya mazishi ya ndugu wanaotutoka

    Nimeshiriki mazishi kadhaa katika sehemu mbalimbali za Jiji la Dsm, na kujionea jambo ambalo hakuna mamlaka inayolizungumzia wala kulitafutia ufumbuzi wa kudumu. Jambo nililoliona kuwa na changamoto kubwa ni ufinyu wa maeneo ya kuzika wapendwa wetu, nilichosikitishwa nacho zaidi ni pale baadhi...
  11. B

    JamiiForums Tanzania DarMpya Online Tv yawa Zamampya Tv

    Kwa wale wafuatiliaji wa mambo, siku kadhaa zilizopita chaneli ya DAR MPYA ilipata misukosuko kidgo na TCRA baada ya kuchapisha maudhui yaliyoonesha baadhi ya watu "waliodaiwa" kupangwa ili kufanya propaganda kuhusiana na suala zima la Ngorongoro. Pamoja na misukosuko hiyo, mapema mwezi wa...
  12. JamiiForums Tanzania Kunani Bandari ya Dar es Salaam? Hakuna Meli hata moja

    Wakuu, nini kinaendelea Bandarini hapa Dar hakuna Meli, inayopakia wala kupakua. Gati zote ziko wazi!! Nini kinaendelea?
  13. JamiiForums Tanzania Natafuta Daktari wa kukodi. Kuna kazi ya kutahiri watu wawili wakubwa

    Natafuta Daktari wa kumkodi kuna watu wawili wa Miaka 18 wanahitaji kutahiriwa. Aje na offer kila momja atagharimu bei gani. Nipo Dar es Salaam
  14. JamiiForums Tanzania Namna ya kuweza kuishi DAR; Ishi kibepari

    NAMNA YA KUWEZA KUISHI DAR! ISHI KIBEPARI Anaandika Robert Heriel Ni ndoto ya Vijana wengi hapa nchini kuja mjini hasa Dar es salaam. Hilo sio ajabu kwani hata katika mataifa mengine hiyo ni kawaida. Kwa Kenya Vijana wengi hutamani Nairobi, Nigeria ni Lagos na Abuja, Misri ni Cairo, na majiji...
  15. JamiiForums Tanzania TANZIA Dar: Pacha Rehema aliyebaki baada ya kutenganishwa naye afariki dunia

    Mtoto Rehema ambaye ni pacha aliyekuwa amesalia baada ya mwenzake waliyetenganishwa kufariki dunia, naye ameaga Dunia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), jana Agosti 11, 2022. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma wa MNH, Aminiel Aligaesha amesema: "Ni kweli amefariki jana saa tano...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuanzisha mnada Dar es Salaaam

    Wana ndugu naombeni kujua utaratibu wa kuanzisha Mnada. Nina mpango wa kufanya mchakato wa kuanzisha mnada mtaani kwetu (kwenye kata yetu) sababu hatuna utaratibu huo kwa sasa 1. Ningependa kujua utaratibu upoje katika kuanzisha, kwenye ngazi ya serikali 2. Ni nani wanaisimamia au wahusika...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nipo Dar es salaam

    Mimi ni mhitimu wa shahada ya kwanza katika mambo ya ugavi. Nimekuja kwenu kuomba kama kuna yeyote anaweza kunisaidia kazi ili niweze kujikimu maana kila leo ni afadhali ya jana. Kazi yoyote halali nitaipokea.
  18. JamiiForums Tanzania Msanii wa Nigeria, Kizz Daniel akamatwa na Polisi Jijini Dar

    Baada ya kushindwa kutoa burudani usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Next Door Arena msanii huyo kutoka Nigeria amekamatwa na Polisi. ========= Baada ya kushindwa kutoa burudani usiku wa kuamkia leo Agosti 8, 2022 katika Ukumbi wa Next Door Arena, msanii Kizz Daniel kutoka Nigeria...
  19. JamiiForums Tanzania Nyumba za kulala wageni Dar imekuwa kero sana, wahusika fuatilieni hili ni hatari

    Wadau hili suala limekuwa kero sana na imekuwa kasumba kwamba unapoenda kutafuta chumba unaulizwa kwanza kama unalala au ni fasta. Sasa ukisema unalala unaambiwa hatupangishi vyumba vya kulala mpaka Saa nne usiku. Kwa maana hiyo Sasa hivi gesti zimebadilisha matumizi badala ya nyumba za...
  20. JamiiForums Tanzania Dar: Wakazi wa Nyumba za NSSF Kigamboni, watolewa kwa Mabavu

    Salaam Wakuu, Wakazi 23 wa NSSF wametolewa vyombo vyao nje Mtaa changanyikeni kata ya Toangoma. Inasemekana hakuna removal order na kuna kesi mahakamani Watu wameharibiwa vitu vyao na wengine kuumizwa. Zoezi limefanywa na YONO Auction Mart Je, itaratibu upoje kama kesi ipo mahakamani?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…