dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kumi bora ya maeneo yaliyowahi kuogopeka Dar kwa uhalifu, uhuni na tabia za kishenzi

    1. Manzese enzi hizo ikijulikana kama mji wa Soweto, tabia zote za kishenzi za wizi, uporaji na umalaya katika maeneo ya uwanja wa fisi, rambo bar n.k. 2. Tandale iliogopeka kwa tabia za ukabaji, uporaji lakini pia ushenzi. 3. Mwananyamala kisiwani kwa kopa. 4. Mburahati madoto hadi festini...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu anajua viwanda vinavotoa ajira kwa Dar na Pwani?

    Jamani kama mnavojua vijana wengi hawana ajira. Kwahiyo mwenye kujua kiwanda kinachotoa ajira kwa Dar na Pwani naombeni msaada
  3. M

    JamiiForums Tanzania Muuza Kangala nimesafiri mpaka Dar kushuhudia mtananange kati ya Simba na Yanga. Nazuiwa kuingia na bastola wakati Dar sio mahala salama kabisa

    Dar es salaam sio mahala salama. Unaweza kukabwa na vibaka hata ukiwa Lupaso aka Kwa Mkap (RIP) . Unasafairi na silaha ya kujihami maana hata ndani ya uwanja wa mkapa sio salama kabisa. Tujihami bana sisi wa mikoani.
  4. JamiiForums Tanzania RC wa Dar Makala na Mbunge wa Kawe kinachoendelea Kituo Tanganyika Packers Kawe kitafanya nikose Uvumilivu nanyi

    Haiingii Akilini yaani Wafanyabiashara Ndogo Ndogo Kituoni Tanganyika Packers Kawe wanahamishwa kutoka eneo wasilotakiwa na kwenda kupelekwa tena eneo wasilotakiwa. Hivi nyie NHC pamoja na RC wa Dar (mwana Wenge BCBG na Simba SC Mwenzangu Amos Makala ) na Poti wangu wa Kanda ya Ziwa Mbunge...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ajali ni nyingi kati ya Dar to Morogoro na hadi Dodoma

    Mara nyingi nasafiri kwa njia hii na hukutana ajali si chini ya mbili. Athari za ajali zinafahamika; ulemavu, kupoteza maisha na mali. Njia hii imekuwa ndogo na msongamano ni mkubwa. Kama serikali iliweza kutoa ruzuku ya bil 100 kila mwezi, kwanini isitenge bil 30 tu kila mwezi kwa njia hii
  6. JamiiForums Tanzania Kongole Precision air kwa kuongeza idadi ya safari kati ya Dar es salaam kwenda Hahaya- Anjouan

    Shirika la Ndege la Precision Air nchini Tanzania limeongeza idadi ya safari zake kati ya Dar es Salaam kwenda Hahaya-Anjouan Comoro hadi mara 3 kwa wiki ikiwa ni wito uliotolewa na Balozi wa Comoros nchini Tanzania kufuatia uwepo wa fursa mbalimbali za utali, kilimo na Afya baina ya Tanzania na...
  7. JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara ahukumiwa kunyongwa Dar, alimuua mdai wake aliyempa hela amuagizie Fuso

    Mfanyabiashara Hemed Ally amehukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kumuua kwa kukusudia Farihani Maluni. Habari inaeleza Farihani alimpa milioni 30 Hemed amuagizie lori aina ya fuso na baada ya muda mrefu kupita bila ya lori kufika na mdai kulidai, Ally alimuita Farihani...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo Utaratibu wa vituo vya Mabasi kutoka Dar

    Kutokana na Kukua kwa Jiji la Dar. Ni muhimu kwa Serikali kufikiria namna ya kuwa na Stendi za kisasa za kwenda Mikoani katika Kila Manispaa ya Mkoa wa DSM. Kama tulivyo na Ofisi za Ki-Mkoa za DAWASA, JESHI LA POLISI, TANESCO, TRA nk. Ni wakati sasa kuwa na stendi ya Mikoani katika...
  9. JamiiForums Tanzania Walimu 14 Dar es Salaam wanashikiliwa kwa kukiuka sheria katika mitihani ya Darasa la 7

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia Walimu 14 kwa tuhuma za kukiuka sheria, kanuni na taratibu mbalimbali za mitihani ya darasa la saba iliyofanyika Oktoba 5-6, 2022. Uchunguzi wa suala hili unaendelea na taarifa zitatolewa na mamlaka zinazohusika na masuala ya elimu...
  10. JamiiForums Tanzania Australia's Got Talent 2022 The Amazing Ramadhani Brothers from Dar es salaam Tanzania

    Golden Buzzer!! Summary Ibrahim and Fadhil stun the Australia's got Talent with heart- stopping stunts. Both Ibrahim and Fadhili made both the judges and the show participants feel the tension through their outstanding acrobatics. Unravelling their journey with The Beat, the two detailed...
  11. JamiiForums Tanzania Unayehoji kwanini Msudani Kafuzu kwa Kukufunga Goli Moja, Wewe Sare yako ya Dar imekuvusha Makundi CAFCL?

    Kikubwa kinachotakiwa katika Mechi za Kufuzu kutinga Makundi ya CAFCL siyo idadi ya Magoli au Umechezaji bali ni Mikakati na Mipango ya Kukupeleka huko hivyo hata kama Umefuzu kwa Goli Moja tu au Umecheza vibaya wala haijalishi ila muhimu ni Kutinga Makundi huku ukiwaacha Wengine waje...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam-based multimillionaire Hans Macha gains $1.5 million from stake in CRDB Bank

    Hans Macha. Tanzania’s leading banking group, CRDB Bank Plc, has returned impressive gains to shareholders and proved to be one of the best performing stocks on the Dar es Salaam Stock Exchange. Among these fortunate shareholders are the renowned Rajabali brothers and Hans Macha, a reclusive...
  13. JamiiForums Tanzania Zile timu ambazo tulikuwa tunazipokea zikija Dar sasa ni wakati wa kurudisha ukarimu wetu kwao

    Hii timu yetu imepitia kipindi cha hovyo sana miaka ya hivi karibuni. Kila nikikumbuka naona kama kuna laana fulani iliachwa kwetu. Nawaza tunaenda Sudan, ni akina nani watatupokea kule kama ambavyo sisi tuliwapokea wao? Ili Taifa liendelee linahitaji kuondokana na maadui watatu. 1. Upumbavu 2...
  14. JamiiForums Tanzania Uhuni: Korosho sasa kusafirishwa kwa malori kwenda bandari ya Dar es Salaam

    Wakazi wa Mtwara wamepigwa pigo takatifu baada ya kupata taarifa kuwa sasa ni rasmi Korosho hazita pitia bandari ya Mtwara. Utaratibu wa usafiri utakuwa hivi: 1. Mkulima atavuna korosho na kuzipeleka ghalani kungoja wanunuzi ambao hupatikana kwa njia ya mnada. 2. Baada ya Korosho kununuliwa...
  15. JamiiForums Tanzania Polisi yawakamata Panya Road 14 Unguja, 6 kati yao wametokea Dar es Salaam

    Vijana I4 kati yao 6 wakitokea Dar es Salaam wanaodaiwa kujihusisha na uhalifu kwa kutumia silaha za jadi maarufu kwa jina la Panya Road wamefikishwa Mahakamani wakituhumiwa kupora na kujeruhi watu kadhaa Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibu, ACP Richard...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuongoza mjadala wa kitaifa wa Nishati Safi ya Kupikia Nov 1-2, 2022

    Wizara ya Nishati imetangaza kuandaa kongamano la nishati safi ya kupikia yaani ‘Clean Cooking Conference’ ili kuchunguza vikwazo vinavyodumaza matumizi ya nishati za kisasa za kupikia. Kongamano hilo linalenga kupendekeza mikakati ya kufanikisha upatikanaji wa nishati safi, za bei nafuu na...
  17. JamiiForums Tanzania Mazungumzo ya Rais Samia na Rais Ruto, Ikulu Dar es Salaam Oktoba 10, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ampokea na kufanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Kenya William Somoei Ruto Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 10 Oktoba, 2022. Mambo yaliyojadiliwa ni pamoja na; Rais Samia Suluhu Hassan Kukuza na kuimairisha uhusiano kati ya...
  18. JamiiForums Tanzania Dar to ARUSHA Leo usiku kurudi J2 usiku

    Wandugu ni nani Ana mpango WA kwenda Arusha na private leo usiku au kesho? Haka ka mda tukaone Familia.
  19. JamiiForums Tanzania Nauli ya kutoka Morogoro to Pangani/Tanga

    Habari za Mchana jamani. Naomba kufahamu nauli ya kutoka Morogoro mpaka Pangani/Tanga hasa kwa wakati huu Mafuta yalivyopungua... Naamini na nauli zitapungua pia. 🙏🙏
  20. JamiiForums Tanzania Aidan Eyakuze: Ripoti ya TWAWEZA iliyoonesha kupungua kwa Umaarufu wa Rais ilifanya nipokonywe Hati ya kusafiria

    Waraghbishi ni wananchi wanaofanya kazi ya kuichokoza jamii iweze kujitambua na kuona wao ni watendaji wakuu katika maendeleo ya maisha yao. Zaidi ya waraghibishi 170 kutoka Lindi, Mtwara, Dar es Salaam, Maswa, Mbogwe, Kigoma-Ujiji, Kishapu na Pangani wanakutana Dar es Salaam kufahamiana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…