dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Natafuta Master Room Dar Es Salaam

    Habari wakuu, Natafuta master room nzuri Dar Es Salaam, budget yangu 100k mpaka 120k. Maeneo ya kigamboni, makumbusho, magomeni, tabata, manzese No 0787698930
  2. JamiiForums Tanzania Polisi wadai eti Rehema ndo alimuua Athumani Nyanza wa Ilala

    Huyu ndo Muliro. Muongo wa taifa Polisi Tanzania imezungumzia mauaji ya hivi karibuni. Kwamba baada ya mauaji, Polisi Dar es Salaam ilianza uchunguzi wa mauaji ya mtu aliyejulikana kwa jina la Athumani Nyanza ambaye mwili wake ulikutwa umefukiwa kwenye shimo karibu na nyumba yake huko maeneo ya...
  3. JamiiForums Tanzania Chanzo cha mvua za radi Dar es Salaam na Pwani

    Wahenga mtakubaliana na mimi 100% kwamba miaka ya nyuma mvua zilizokuwa zikinyesha Dar es salaam hazikuambatana na radi hata kidogo. Tulizoea kusikia matukio ya radi hasa huko Kigoma, Shinyanga, Tabora na mikoa mingine ambako matukio ya watu kuuliwa na radi yalikuwa yakiripotiwa mara kwa mara...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wazee wa Masafa, Dar mpaka Mwanza unaondoka na ipi kati ya hizi ?

    LC 300 LC 300 HILUX NISSAN Y62 PRADO J250 Lx FORTUNER LAND ROVER DEFENDER FORD RANGER LEXUS
  5. JamiiForums Tanzania Ssebo hakujenga nyumba Dar?

    Nimeshangaa msiba kuwekwa kwa wakili msomi mwingine badala ya Nyumbani kwake. Hii imekaaje Wadau? Au mambo ya apartment kama Le Mutuz?
  6. JamiiForums Tanzania LHRC na Wadau wakutana na Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa UN, Parfait Onanga Anyanga jijini Dar es Salaam

    Leo tarehe 12 Machi 2026, Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), sanjali na wadau wengine wa masuala ya haki za binadamu wamekutana na mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Parfait Onanga Anyanga katika ofisi za Umoja wa Mataifa zilizopo jijini Dar es Salaam. Ndugu Parfait...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Hii hali ya hewa ya Dar (mvua) imenifanya nipitie upya contacts zangu

    Hali ya mvua, plus ni weekend, utulivu wa kutosha. Nyie huwa mnafanya nini nyakati kama hizi.
  8. JamiiForums Tanzania Binafsi maisha ya Dar es salaam yamenishinda

    Kuanzia suala Zima la imani, huku watu wengi hasa maeneo ya mjini na uswahilini hawana imani kabisa wako mbali na Mungu. Suala la malezi ndio kabisaa mana watoto hujifunza kwa wanaowazunguka mtoto akikulia vingunguti Tabata au mbagala kazi ipo. Suala la ajali ndo usiseme ajali za uzumbe kabisa...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Sambo wa Kigoma na Doreen wa Dar es Salaam washinda Pikipiki Kupitia Promosheni ya “Shinda Boda” ya PigaBet

    Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. Mjasiriamali Daniel Deogratus Sambo, mkazi wa Kigoma Mjini, na mwanadada Doreen Masawe wameibuka washindi wa pikipiki aina ya TVS kupitia promosheni ya “Shinda Boda” inayoendeshwa na kampuni ya michezo ya kubahatisha ya PigaBet. Akizungumza baada ya kupokea...
  10. JamiiForums Tanzania Toyota Harrier Z – 2020 | Dar es Salaam

    🚗 Mileage: 62,000 km GR Sport Body Kit Grade 4 Condition Price: 110M TZS 📲 Call/WhatsApp: 0784225000 Serious buyers only!
  11. M

    JamiiForums Tanzania rangi na material ipi nzuri kushonea seat cover za gari kwa mazingira na hali ya hewa ya Dar ?

    Nimeipenda rangi nyeusi ila kuna sehemu nimeambiwa huwa inanyonya sana joto Je nichukue rangi ipi au mchanganyiko wa rangi gani. material ipi nzuri kwa bei isiyozidi laki 3, gari ina siti tano
  12. JamiiForums Tanzania Mbagala (Dar): Baadhi ya maeneo ya barabara yaliyokuwa yanazibwa na 'machinga' yaanza kuwa wazi

    Baadhi ya wafanyabiashara wa biashara ndogondogo (machinga) waliokuwa wakifanyia shughuli zao katika maeneo yasiyo rafiki, hususan barabarani na kwenye njia za watembea kwa miguu, wameanza kupisha na kuondoka katika maeneo hayo. Tukumbuke kuna mdau aliwahi kuleta andiko hapa jukwaani akieleza...
  13. JamiiForums Tanzania Wapi ntapata malori ya Dar nikiwa morogoro?

    Anaejua chimbo Tafadhali anipe maelekezo usafiri wa roli kwa dodoma napata wapi?
  14. JamiiForums Tanzania Nauli ya didoma - Dar es salaam

    Kwa usafiri wa gari ni bei Gani wakuu kutoka dodoma mpaka dar es salaam?
  15. D

    JamiiForums Tanzania Anahitajika Gynaecologists mzuri Jijini Dar

    Habari ya asubuhi wadau. Tafadhali nahitaji msaada wa kufahamu wapi ninapoweza kupata Daktari bingwa mzuri wa magonjwa ya wanawake (Gynaecologists) , either ana hospitali binafsi , Polyclinic au anahudumu katika hospitali binafsi au serikali. Nikipata Jina au hata mawasiliano yake nitashukuru...
  16. JamiiForums Tanzania Responded HOJA Mikopo ya Asimilia 10 za Halmashauri zinatolewa kwa ubaguzi wa Kisiasa katika baadhi ya maeneo ya Dar

    Wakati Serikali ikiahidi kutoa kiasi cha Sh 200 Bilioni, kwa mikopo ya vijana, wanawake, na watu wenye ulemavu, baadhi ya Vijana na wanawake wamelalamika kuwa mikopo hiyo inatolewa kwa misingi ya itikadi za vyama huku wafuasi na makada wa CCM, wakiwa kipaumbele kwenye mikopo hiyo. Mwandishi wa...
  17. JamiiForums Tanzania Mvua kubwa sana inanyesha Dar sasa hivi

    Nipo mbezi Louis aisee hii mvua inayonyesha ni balaa
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo cha CBE Dar kinachelewesha sana kutoa vyeti kwa Wahitimu wao

    Kero yangu, kijana wangu amehitimu chuo Mwaka 2025 katika Chuo cha CBE Kampasi ya Dar, Kozi ya Business Administration lakini mpaka leo Februari 2026 ameenda chuo kufuatilia cheti amejibiwa mpaka mwezi wa tatu, kabla ya hapo waliambiwa mpaka Februari 2026. Chuo amegraduate 02/12/2025, vyuo...
  19. JamiiForums Tanzania KERO Responded Maandamano ya Wananchi wa Buza - Dar es Salaam "Tumechoka tunamhitaji mkuu wa mkoa aje tunateseka"

    https://www.youtube.com/watch?v=6bYlhfMqEWs Wananchi wa Kata ya Buza Wilaya ya Temeke wameandamana kutoka Buza Kanisani hadi Ofisi za Chama cha Mapinduzi Kata ya Buza wakiitaka Serikali kurejesha magari ya Daladala Kutoka stendi mpya iliyopo kwa Mama Kibonge hadi Stendi ya Buza kanisani...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu ukimaliza ziara, usiisahau Dar na anzia Kinondoni. Ruhusu watu watoe ya moyoni

    Waziri Mkuu goodmorning Nimeona nianze kukupongeza kwa kazi nzuri ya kusikiliza malalamiko ya wananchi mkoani Waziri Mkuu nimeona niseme haya Pamoja na kazi nzuri unayofanya yale maagizo huwa mengi hayatekelezwi. Mimi nilikuwa mshabiki sana wa ziara za Majaliwa, kwa kweli kuna mambo alikutana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…