Kwanini serikali inaogopa kukosolewa? Ukiona serikali inatisha RAIA,inapiga na kuua RAIA wake,ujue imepoteza uhalali wa uwepo wake.
Mwanafalsafa John Locke anasema,serikali hiyo yafaa iondolewe madarakani.Serikali imegeuka haini dhidi ya RAIA wake. Serikali isiyojua wajibu wake,kazi makelele tu...