dalili

Dalili is a Persian surname. Notable people with the surname include:

Raz Dalili (born 1959), peace educator in Afghanistan
Raz Mohammed Dalili (born 1959), Governor of Paktia Province in Afghanistan

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Dalili gani zinakujulisha kuwa umri umesogea?

    Kuna mama niliongea nae, aliniambia ukikutana na traffic ukawaona ni vijana wadogo au daktari hospitali ukamuona ni kama mjukuu wako. Hapo hakuna ubishi wa chumvi uliyoila duniani.
  2. JamiiForums Tanzania Dalili 5 za mwanamke asiyekupenda

    Dalili 5 za mwanamke asiyekupenda izo hapo 1.Anavunja appointment muda wowote 2.Hajali uwepo wako 3.Hakutafuti mpaka wewe umtafute 4.Anacheka kwa dharau 5.Anatangaza mambo yako kwa rafiki zake 6.Hajibu sms zako. Hivyo ukiona dalili hizi ndugu yangu jiongeze ila uking'ang'ania utaumia.
  3. JamiiForums Tanzania Dah! Kuna kila dalili huyu binti wa kitanga kashaniloga

    Ni miaka mitatu toka niache haya mambo ya kua kwenye serious relationship(whatever that means) na mtu, hii ni baada ya kuja kijamaa chenye pesa na kumchukua mwanamke niliyodumu nae kwa miaka miwili,mwanamke ambaye nilihisi sitokaa kuja kumsahau, just like that, she got saved up by some dude,got...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…