dada yangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Beira Boy

    MWENYEZI MUNGU akubariki dada yangu Yasinta Makwabe

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Kuelekea mwisho wa mwaka nimekuwa nikitoa baraka kwa watu wote Lakini leo ni special kwa dada yangu Yasinta Makwabe Ubalikiwe na KRISTO YESU anayekuja SAYUNI BOY
  2. M

    Polepole: Sikubaliani na mambo ya utekaji, dada yangu alitekwa wakamchapa sana makofi

    “Kuhusu mambo ya utekaji, siyaungi mkono. Dada yangu ametekwa jana. Mimi napost post ya kwanza, wamesharuka ukuta. Wamemtia pingu dada yangu. Wamempiga vibao”
  3. Marry Diana

    Asante sana mama yangu leo nimekukumbuka sana

    Nakumbuka mwakajuzi nilitoka na kwenda karume kutafuta nguo za mtumba hasa zile zinazobana kama taiti pamoja na vijisketi vifupi. Hii ilikuwa ni miezi kama mitano baada ya mimi kuachwa na mume wangu akiwa amechukia baada ya mtoto wetu wa Kwanza kufariki siku tatu tu tangu azaliw.mume wangu...
  4. masopakyindi

    Ushauri wa bure kwa dada yangu Dr Tulia, epuka mizaha na Neno la Mungu.

    Kwa wakristo, tunaamini Neno la Mungu linapokujia ni vema kulitia moyoni na kulitafakari. Kulifanyia mizaha ni kufuru, ambayo madhara yake hayatambulikani. Zaburi 1: 1-2 Heri mtu yule asiyekwenda Katika shauri la wasio haki; Wala hakusimama katika njia ya wakosaji; Wala hakuketi barazani pa...
  5. Mr Why

    Ndugu zangu naombeni ushauri kabla sijachukua hatua mbaya sana kwa dada yangu mwenye tabia ya kumkaripia mama pasipo sababu yoyote

    Ndugu zangu naombeni ushauri kabla sijachukua hatua mbaya sana kwa dada yangu mwenye tabia ya kumkaripia mama pasipo sababu yeyote Huyu dada ni kifungua mimba tumepishana kama miaka 15 hivi, huyu dada hajaolewa mpaka sasa ni mtu wa kuviziavizia upande wa familia ya baba yake badala ya kutafuta...
  6. Perry

    Naomba mnishauri kuhusiana na huyu dada yangu mkubwa

    Mambo wakuu? Nina dada yangu mkubwa ana umri kama 38yrs hivi,sasa huyu dada alikua anaishi na mwanaume wake ila hawakua wamefunga ndoa,wameishi kama miaka 8 kama sikosei.wamebahatika kupata watoto watatu mpaka sasa, mumewe ni muajiriwa kwenye shirika flani kubwa tu hapa nchini,dada yangu yeye...
  7. D

    Dada zetu, please usi-date na mwanaume anayevaa kofia kama hii. Kila mwanasiasa maarufu "alisomaga naye Galanosi"

    Dada yangu ukikutana na mwanaume amevaa kofia kama hii, kaa naye mbali. Watu wanaovaa kofia hizi, kila mwanasiasa maarufu alisoma naye shule moja Tosamaganga au Galanosi, ukimkopesa pesa ndio imeisha hiyo, kama ni baba yako ujue una ndugu zako nje lakini hauwajui, wanapenda sana wanawake...
  8. Mbwichichi

    Dada yangu anakaribia kuolewa na Tapeli, Nichukue hatua gani?

    Poleni na pilika na mbio mbio za maandalizi ya uchaguzi,vita ya congo na changamoto binafsi za maisha. Mimi Mbwichichi katika kuhangaika kwangu kuyatafuta maisha nimebahatika kukutana na watu mbalimbali wa kila aina,zaidi nimejifunza sana kutambua saikolojia za watu baada tu ya kuona matendo...
  9. tamu 3

    Hivi ushawahi kukosea kutuma Ujumbe wa simu? Mimi nilimtumia dada yangu kimakosa "Nimekumisi Baby nina hamu sana nawe"

    Nikamwomba msahama hakuelewa kikao kikakaliwa nikaomba msamaha nikasingizia kuwa siku hiyo nilitumia bangi. Wewe ilikuwaje?
  10. nipo online

    Jamaa alieoa dada yangu mgumu kuwasiliana na sisi ndugu wa mkewe

    Huyu jamaa ni kweli tulimkabidhi dada yetu kifamilia, lakini baada ya miezi 6 kupita kuwasiliana adi tumpigie sisi, na sisi tumeamua hatutomtafuta akijisikia sawa tu, Jengine bado hajamalizia mahari, kuhusu maisha wanaishi vizuri na dada yetu ila sina uhakika 100%. Nyie vijana acheni dharau...
  11. Kusini pride

    Dada yangu amerudi nyumbani amesema wito wa usister wa Kanisa Katoliki umemshinda na anataka kuolewa

    Tupo hapa nyumbani mikocheni familia mzima tupo na kikao na dada yetu tumeshangaa kwanini amerudi kutoka utawani na wakati yeye mwenyewe ndiyo alisema anataka kuwa Sister halafu na leo amaerudi mwenyewe anasema wito wa Kanisa Katoliki umemshinda anataka kuolewa Daaah familia mzima tumepigwa na...
  12. Rahidin73

    Dada yangu hata kama anaku post

    My sister Haijalishi ni mara ngapi mwanaume wako anakuposti, Always lazima kuna yule mwanamke wake pembeni ambaye anaelewa kila kitu na ameridhika.
  13. B

    Bajaji aliyoacha marehemu mama imeanza kunigombanisha na baba yangu mzazi pamoja na dada yangu tumbo moja nifanyeje?

    Heshima yenu! Wanajamii Jf! Ushauri kwa kijana wenu Nina miaka 24 tu na ndio nimemaliza Chuo miezi miwili Sasa! Katika harakati za kuona nisikae kinyonge Daslamu niliamua kurudi nyumbani bwana! Geita Basi dada yangu akawa amenipa 260000/=, nilimwambia nitafanya biashara ya kutembeza mayai...
  14. Uwesutanzania

    Ndugu zangu naombeni mnisaidie nimepotezana na dada yangu kipenzi. Anaitwa JESCA au YOY

    Nimepotezana nae mwaka 2015, Na 2017 mumewe akafariki dunia kwa ajari ya pikipiki akiwa anaenda kazini. Mumewe alikuwa anaitwa ADAM alikuwa mrefu mweupe alikuwa ni fundi wa vyombo vya moto. Wakati napotezana nae alikuwa na watoto wawili wa kiume. Mmoja alikuwa akiitwa RUBEN alikuwa na kama...
  15. Pdidy

    Kabla ya kukubali kuolewa soma hapa dada yangu ujiridhishe

    DADA YANGU KABLA HUJAANZISHA MAHUSIANO NA MWANAUME HUU NDIO MGAWANYO WA WANAUME KULINGANA UMRI WAO 1. WANAUME wenye miaka 20-27 wengi hawako serious na ndoa au mahusiano yenye kesho labda wale wa vijijini. Kijijini vijana wengi huoa kwasababu kama waongeze nguvu kazi ya familia, mahari mara...
  16. M

    Dada yangu ukipata mtu mnayependana usimvuruge akaenda, utajutia baadae

    Kabla ya yote tukae kimya dakika moja kuwaombea wale wote ambao wake zao wanaendeleza mawasiliano na waliokuwa wapenzi wao (ma-ex). Wanapitia magumu kwa kujua au bila kujua. Wanastahili sala zetu. Mimi nikiwa kijana mwenye uzoefu mkubwa na haya mambo ya mapenzi kwa huu ukanda chini ya jangwa la...
  17. Mohamed Said

    Taazia: Ninavyomkumbuka Dada Yangu Haki Hanya (Haki Kilomoni)

    TAAZIA: NINAVYOMKUMBUKA DADA YANGU HAKI HANYA (MRS. HAKI KILOMONI) Haki mimi ni dada yangu. Napata akili namuona Haki na marehemu dada yangu Mengi mashoga, wote wanasoma chuo cha Shariff Abdulrahman Mtaa wa Sukuma na Mafia. Hii ni katikati 1950s tunaishi Mtaa wa Kiungani na Sikukuu. Siku...
  18. Uwesutanzania

    Dada yangu zingatia sana kuolewa liwe jambo lako la kwanza

    Ewe dada yangu, mama yangu, shangazi yangu. Katika maisha yako weka sana kipaumbele kuolewa. Hata na wewe baba yangu jitahidi sana kupambania kuozesha mabinti zako kwa hali na mali. Huo mzigo unaoung'ang'ania ipo siku utakuja nikumbuka. Ukiona una mabinti wawili watatu wapo tu...
  19. Fortilo

    Wanawake msikate tamaa, mwaka 2018 nilivunja ndoa ya dada yangu. Tuna vijana wa hovyo sana kama taifa

    Wakuu Habari, huu uzi ni wa kuwatia moyo kina Dada walioamua kuachana na wanaume malofa na kuamua kufuata ndoto zao. Ipo hivi; Nina Dada yangu nampenda sana, baada ya kumaliza masomo tukamsisitiza aendelee kupambana na masomo apate kaz nzur, kama wenzake. Akakataa akasema anataka aanze na...
  20. Desierto

    Sikuwa na mpango wa kukaa mbali na mama yangu, ila tabia ya dada yangu imening'oa nyumbani

    Iko hivi baada ya kutoka mjini nikiwa na mke wangu nilienda nyumbani kwa wazazi wangu baba na mama, sasa pale kuna dada yangu ambeye namfuata yeye ameachika hivo yupo tu nyumbani anadanga Ikumbukwe tulikuwa tunapika chakula cha pamoja tunakula kifamilia, tabia za dada yangu ni mchoyo wa...
Back
Top Bottom