cuf

Copper(I) fluoride or cuprous fluoride is an inorganic compound with the chemical formula CuF. Its existence is uncertain. It was reported in 1933 to have a sphalerite-type crystal structure. Modern textbooks state that CuF is not known, since fluorine is so electronegative that it will always oxidise copper to its +2 oxidation state. Complexes of CuF such as [(Ph3P)3CuF] are, however, known and well characterised.

View More On Wikipedia.org
  1. Taarifa kwa Umma: Polisi wavamia mkutano wa ndani wa Uchaguzi jumuiya CUF Handeni

    TAARIFA KWA UMMA: POLISI WAVAMIA MKUTANO WA NDANI WA UCHAGUZI WA JUMUIYA CUF HANDENI: Jeshi la Polisi limevamia Mkutano wa Uchaguzi wa Jumuiya za CUF- Chama Cha Wananchi- Jumuiya ya Wanawake (JUKECUF) na Jumuiya ya Vijana ( JUVICUF) Handeni Tanga. Kwa mujibu wa Maelezo ya Naibu Mkurugenzi...
  2. Profesa Lipumba: Sisi CUF tutajikita kudai Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya

    SISI CUF TUTAJIKITA KUDAI TUME HURU YA UCHAGUZI NA KATIBA MPYA" PROF. LIPUMBA" Mwenyekiti wa CUF, Prof. Lipumba amesema hayo leo Desemba 9,2020 wakati alipokutana na viongozi mbali mbali wa mkoa wa Dar es Salaam katika Ofisi Kuu ya chama Buguruni. Prof. Lipumba alikutana na wenyekiti wa...
  3. Chama Cha Wananchi (CUF) kuzindua kongamano la kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi Desemba 20, 2020

    CUF CHAMA CHA WANANCHI Desemba 20,2020 kitazindua rasmi kongamano la kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Kongamano hilo litafanyika katika ofisi kuu ya chama BUGURUNI . MWANACHI, MWANACHAMA WA CUF WOTE MNAKARIBISHWA.
  4. Ile CUF ya Lipumba na CUF ya Maalim inajirudia kwa CHADEMA ya Mbowe na CHADEMA ya Halima

    Nakumbuka ilianza mzaha mzaha kama hivi. Huku wanafukuzwa, kule msajili anawatambua. Mwisho mgawanyo ukatokea na sote tuliona kilichotokea watu wakagawana fito na CUF ikabaki hii ilivyo! Sisemi CHADEMA nayo itakuwa kama CUF ila naona hii trailer inavyoanza ni kama movie ile Ile. Kipindi kile...
  5. J

    Kassim Majaliwa: Navishukuru vyama rafiki CHADEMA, CUF na ACT Wazalendo kwa kunipigia kura ya " Ndiyo" niwe Waziri mkuu!

    Waziri Mkuu mh Kassim Majaliwa amewashukuru wabunge wa vyama rafiki Chadema, Cuf na ACT wazalendo kwa kumpigia kura za "ndio" kwenye ushindi wake wa 100% wa kumthibitisha kushika wadhifa huo. Mh Majaliwa amesema maendeleo hayana chama hivyo atashirikiana na wabunge wote bila kujali itikadi...
  6. Ni wabunge wapi wapinzani walishinda? Je, ni upi msimamo wa CUF na ACT-Wazalendo juu ya ushiriki wa wabunge wao?

    Naombeni kuwajua wabunge nane wa Upinzani na majimbo wanayotoka. Na je vyama vya ACT-Wazalendo na CUF wamechukua hatua gani au msimamo upi juu ya ushiriki wa wabunge wao katika Bunge?
  7. GE2020 Mtwara: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Mtwara. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Mwara una una jumla ya majimbo ya uchaguzi 10 ambayo ni: 1. Mtwara Mjini Hassan Seleman (CCM) -...
  8. GE2020 Mawakala wa CHADEMA, ACT-Wazalendo, CUF na NCCR-Mageuzi wakamatwa baada kuzuia wapiga kura kuingia kituoni kwa madai ya wao kutopewa barua

    TANGA: Mawakala wa CHADEMA, ACT-Wazalendo, CUF na NCCR-Mageuzi wakamatwa baada kuzuia wapiga kura kuingia kituoni kwa madai ya wao kutopewa barua Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Blasius Chatanda amesema baadhi ya mawakala wa vyama tofauti vya siasa wamekamatwa kwa madai ya kuzuia wananchi...
  9. GE2020 CUF: Tuchagueni Oktoba 28 tuwekeze kwa watu, kisha watu wawekeze kwenye vitu

    TUCHAGUENI OKTOBA 28 TUWEKEZE KWA WATU, KISHA WATU WAWEKEZE KWENYE VITU"BI.HAMIDA ABDDALLH" MGOMBEA MWENZA CUF KILWA KUSINI-KIVINJE Tutahakikisha haki sawa na furaha kwa wote! Haki ya Elimu kwa kila Mtanzania! Haki ya Lishe Bora na uhakika kwa kila Mtanzania! Haki ya Afya Bora na ya...
  10. GE2020 Bi.Hamida Abddallh Mgombea mwenza CUF akiwa Kilwa kusini Kivinje: Tuchagueni Oktoba 28 tuwekeza kwa watu, kisha watu wawekeze kwenye vitu

    TUCHAGUENI OKTOBA 28 TUWEKEZA KWA WATU, KISHA WATU WAWEKEZE KWENYE VITU"BI.HAMIDA ABDDALLH" MGOMBEA MWENZA CUF KILWA KUSINI-KIVINJE Tutahakikisha haki sawa na furaha kwa wote! Haki ya Elimu kwa kila Mtanzania! Haki ya Lishe Bora na uhakika kwa kila Mtanzania! Haki ya Afya Bora na ya...
  11. Tundu Lissu, Mungu amekupa nafasi nyingine kuishi uushuhudie ukuu wake katika taifa hili

    Tazama, roho yake hujivuna, haina unyofu ndani yake; lakini mwenye haki ataishi kwa imani yake. Habakuki 2:4 Imani ni neno ambalo tunatumia sana, lakini wakati mwingine tunaweza kufanya liwe ngumu sana. Imani ina maana tu “imani au tumaini kamili”; neno pia lina maana ya uaminifu na kujitolea...
  12. GE2020 Meneja Kampeni CUF: Adui wa CUF ni adui wa CHADEMA na adui wa CHADEMA ni adui wa CUF hivyo hakuna sababu ya kuhitilafiana

    Akizungumza kabla ya kuanza kwa mkutano, Meneja Kampeni wa CUF, Miraji Mtibwiriko katika viwanja vya viwanja vya Fatuma Mkoani Kagera aliwataka wanachama kuwa watulivu kwa kuwa bado wanahitaji kuwa kitu kimoja. Meneja kampeni huyo alitumia nafasi hiyo kuwaeleza wafuasi hao kuwa adui wa CUF ni...
  13. GE2020 Bi. Hamida Abdallah Huweishi mgombea mwenza Urais: Mkitupa ridhaa ya kuongoza nchi hii tutaboresha sekta muhimu za uchumi na kilimo

    MKITUPA RIDHAA YA KUONGOZA NCHI HII TUTABORESHA SEKTA MUHIMU ZA UCHUMI NA KILIMO. BUHIGWE, KIGOMA Historia ya maendeleo ya uchumi duniani inaonesha kuwa maendeleo ya viwanda hutanguliwa au kuambatana na mapinduzi ya kilimo. Ongezeko la uzalishaji na tija katika sekta ya kilimo huongeza...
  14. GE2020 Kigoma: Mgombea Makamu wa rais CUF, Bi Hamida Huweishi agawa kadi kwa Vijana wa Uvinza, Nguruka

    MGOMBEA WA MAKAMU WA RAIS, BI.HAMIDA ABDALLAH HUWEISHI AGAWA KADI KWA VIJANA WA UVINZA TARAFA YA NGURUKA MKOANI KIGOMA Makamu wa rais, Bi. Hamida Abdallah Huweishi amefika katika tarafa ya nguruka na kuzungumza na wananchi wa nguruka na kuwaomba ifikapo tarehe 28,octoba wasifanye makosa...
  15. Yaliyojiri katika Ufunguzi wa kampeni Pemba, Septemba 20

    Mwenyekiti wa CUF pia ni Mgombea Urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Prof. Ibrahim Haruna Lipumba , kesho septemba 20 ataongoza uzinduzi wa kampeni za CUF, visiwani Zanzibar. CUF: KUNA MAISHA BAADA YA UCHAGUZI Katika mkutano wa Kampeni uliofanyika Chakechake Pemba, Mwenyekiti wa CUF...
  16. GE2020 Uzinduzi wa Kampeni za CUF: Prof. Lipumba asema akishinda Urais atakuwa Rais wa 1 Tanzania kupewa tuzo ya Mo Ibrahim

    Mgombea Urais kupitia CUF, Prof. Ibrahim Lipumba amezindua kampeni za chama hicho Mkoani Mtwara ambapo ameahidi kuboresha Huduma za Afya kwa wajawazito na watoto, kuimarisha Uchumi wa Baharini (Uvuvi), Elimu bora na kuimarisha Soko la Nafaka na Mazao mbalimbali Prof. Lipumba amesema...
  17. GE2020 CUF - Chama cha Wananchi: Uzinduzi mkubwa wa kuchangia CUF, kuchangia ushindi kufanyika kesho Jumamosi ofisi kuu ya chama Buguruni

    Hakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Cuf-chama cha wananchi Usilalamike, chukua hatua. Changia CUF, changia ushindi Uzinduzi wa michango ya wananchi kwa chama chao utafanyika jumamosi ya tarehe 29/08/2020 ofisi kuu buguruni kuanzia saa 4.00 asubuhi Mgeni rasmi: mgombea urais wa tanzania Prof...
  18. GE2020 CUF ndicho chama chenye sera bora kuliko chama chochote hapa Tanzania. Tukichangie chama chetu tukashinde uchaguzi kwa kishindo

    CUF NI CHAMA CHA WANANCHI KINATEGEMEA WANANCHI WENYEWE TUCHANGIE CHAMA CHETU TUWEZE KUSHINDA UCHAGUZI HUU NA TUTASHINDA #HABARI Mgombea wa urais wa Tanzania kupitia CUF, Mchumi wa Dunia Prof. Ibrahim Haruna Lipumba Leo agosti 29, 2020 amezindua mpango maalum wa wanachama na wapenzi wa CUF...
  19. GE2020 Tume ya Uchaguzi yatupilia mbali mapingamizi ya Tundu Lissu. Magufuli na Lipumba ni wagombea halali

    Mkurugenzi wa Uchaguzi: Tume ya uchaguzi baada ya kupokea pingamizi dhidi ya wagombea hao, imewataarifu wawekewa pingamizi mapema iwezekanavyo na wahusika wamewasilisha utetezi wao. Pingamizi dhidi ya mgombea wa CUF kwamba hakurudisha fomu kwa mujibu wa masharti yaliwekwa na sheria, tume baada...
  20. GE2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

    Taarifa kwa Vyombo vya Habari na Umma Mgombea wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mhe. Tundu Lissu, akiwa pamoja na Mgombea wa Kiti cha Makamu wa Rais, Mhe. Salum Mwalim Juma Mwalim, muda huu wanaelekea Ofisi za Tume ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…