cuf

Copper(I) fluoride or cuprous fluoride is an inorganic compound with the chemical formula CuF. Its existence is uncertain. It was reported in 1933 to have a sphalerite-type crystal structure. Modern textbooks state that CuF is not known, since fluorine is so electronegative that it will always oxidise copper to its +2 oxidation state. Complexes of CuF such as [(Ph3P)3CuF] are, however, known and well characterised.

View More On Wikipedia.org
  1. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Viti Maalum CUF akabidhi Computer na Printer kwa ajili ya Uchaguzi Handeni Mjini

    MHE. SONIA MAGOGO AKABIDHI VIFAA COMPUTER NA PRINTER KWA AJILI YA KUSAIDIA SHUGHULI NA UCHAGUZI WILAYANI HANDENI MJINI #HandeniMjiniNiSoniaMagogoSasa. #SoniaMagogoTenaMjengoni
  2. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba: Watanzania wengi hawana furaha, sisi CUF tunakuja na ajenda yetu, furaha kwa watanzania wote inawezekana

    Amesema chama chao katika uchaguzi wa 2020 kinakuja na agenda ya “Furaha kwa Watanzania inawezekana” Pia Professa Lipumba amewaomba CCM kuwa na siasa za ustaarabu kitapoanza kipindi cha kampeni akisisitiza kupambana kwa hoja Ameyasema hayo Leo Mwenyekiti wa CUF Prof. Lipumba. #2020CUFMwakaWetu.
  3. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania Mkutano mkuu wa chama cha wananchi CUF wilaya ya Kinondoni Julai 12, 2020

    MKUTANO MKUU WA CHAMA CHA WANANCHI CUF WILAYA YA KINONDONI JULAI 12,2020
  4. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Aliyekuwa Mbunge Viti Maalum CHADEMA, Sabreena Sungura Atia nia kugombea ubunge jimbo la Segerea kupitia Chama Cha Wananchi CUF

    Mhe. Sabreena Sungura Atia Nia Kugombea Ubunge Jimbo la Segerea Wilaya ya Ilala Mkoani Dar es Salaam Kupitia Chama Cha Wananchi CUF. Sabreena Sungura Mwanamama Jasiri Na Mpambanaji. #2020WanawakeTunawaaminia.
  5. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania Wananchi zaidi 90 Wilayani Kilwa mkoani Lindi wamerudisha kadi za ACT-wazalendo na CCM na kujiunga na chama cha wananchi CUF

    #HABARI WANANCHI ZAIDI 90 WILAYANI KILWA MKOANI LINDI WAMERUDISHA KADI ZA ACT-WAZALENDO NA CCM NA KUJIUNGA NA CHAMA CHA WANANCHI CUF Mkurugenzi wa mafunzo na udhibiti CUF Taifa Mhe. Masoud Omar Mhina kutoka kushoto ndiye aliyepokea Kadi hizo na Kuwakabidhi kadi za Chama Cha Wananchi CUF...
  6. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Ruvuma: CCM bado ina nguvu kubwa; CHADEMA yaimarika, CUF yafifia; ACT-Wazalendo yachomoza

    Ni matumaini yangu kuwa kichwa cha habari hii kinatoa tahmini ya jumla juu ya mkoa huu wa Ruvuma. Niko hapa kwa takribani juma moja katika kufanya tathmini binafsi ya kisiasa kuelekea Oktoba mwaka huu. Nimepita Songea na Mbinga; Nikaenda Tunduru na Namtumbo; nikasonga hadi Peramiho na sasa niko...
  7. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba amemsimamisha naibu Katibu Mkuu Zanzibar Mhe. Faki Suleiman Khatib

    TAARIFA KWA UMMA Mwenyekiti wa CUF- Chama Cha Wananchi Prof. Ibrahim Haruna Lipumba, kwa kutumia Mamlaka ya Kikatiba, amemsimamisha Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Mhe. Faki Suleiman Khatib katika kutekeleza Agizo la Baraza Kuu la kuondoa Mapungufu na Kuimarisha Kamati Tendaji. Nafasi ya Naibu...
  8. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Kigoma Mh. Kiza Mayeye, umeilinda heshima ya wana CUF na wana Kigoma kwa ujumla

    Umelinda heshima, Umekitendea haki chama, Umewatendea haki wana mama, Umewatendea haki wana Kigoma, Kiza mayeye kigoma umefiti. CUF Kigoma zamu yetu.
  9. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania Wajumbe wa Baraza Kuu la Taifa CUF na Wilfred Lwakatare waiteka Tanga

    WAJUMBE WA BARAZA KUU LA TAIFA CUF & WILFRED LWAKATARE WAITEKA TANGA. KILA WILAYA WANAYOFIKA WAPOKELEWA KIPEKEE Wajumbe wa Baraza Kuu la Taifa CUF wameamua kufika kila wilaya kuzungumza na wanachama na Viongozi wa CUF kuweka mikakati kuelekea katika Uchaguzi Mkuu. Wameanza na Mkoa wa Tanga na...
  10. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Pangani jijini Tanga limewakamata viongozi wa CUF pia ni wajumbe wa Baraza Kuu la Taifa la CUF

    Jeshi la Polisi Mkoani Tanga wilayani Pangani, limewakamata viongozi wa cuf pia ni wajumbe wa baraza kuu la taifa la CUF. Wamekamatwa wakiwa katika ujenzi wa chama #hatuwezikurudinyuma.
  11. 5

    JamiiForums Tanzania Picha: Wajue wabunge wa CUF waliokataa katakata kununuliwa na sasa kujiunga rasmi na ACT Wazalendo

    Wamekataa kununuliwa na kuuza utu wao. Hakika hawa ni watu wenye dhamira ya kweli wanastahili kuheshimiwa...
  12. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Chama cha ACT-Wazalendo chapokea 21 waliokuwa Wabunge wa CUF

    Salaam Wakuu, Leo Muda si Mrefu, Viongozi Wakuu wa Chama cha ACT Wazalendo kitaongea na Wananchi na Dunia kwa Ujumla. Ni tukio kubwa haijawahi kutokea. ====== UPDATES: 1048HRS: Kwa sasa ni Burudani inaendelea 1100HRS: Viongozi Wakuu wa ACT Wazalendo wanaingia Ukumbini wakiongonzwa na Zitto...
  13. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: CUF walalamika kuporwa ofisi na ACT Wazalendo. ACT yawajibu waende kudai Mahakamani na sio kwenye press

    Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu, amesema kuwa kama chama cha CUF wanadai kuwa ofisi zao zilizopo visiwani Zanzibar, zimechukuliwa na chama hicho, basi wapeleke malalamiko yao Mahakamani na siyo kwenye vyombo vya habari, na kutaja tarehe rasmi ya kuanza mchakato wa watia nia. Hayo...
  14. ndanda masasi

    JamiiForums Tanzania Suleiman Bungara (BWEGE) Mbunge wa Kilwa Kusini: "Kwaheri CUF, hodi ACT Wazalendo"

    Mbunge wa Jimbo la Kilwa Kusini Mhe.Selemani Bungara (Bwege) ametangaza kukihama chama Cha Wananchi Cuf na kuhamia chama cha ACT Wazalendo azalendo mara baada ya bunge kuvunjwa hapo kesho. --- Ifahamike kuwa, nimeitumikia nafasi ya uwakilishi wa wananchi kwa maana ya ubunge wa Kilwa Kusini...
  15. Influenza

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Viti Maalum CUF, Rehema Migila arejea CCM

    Mbunge wa Viti Maalum (CUF) mkoa waTabora, Rehema Juma Migila amejiunga na CCM akidai kuridhishwa na utekelezaji wa ilani za chama hicho chini ya uongozi wa Rais Magufuli Amesema amerudi CCM akiwa na akili zake timamu bila kushinikizwa wala kushikiwa bunduki na pia chama hicho kimekuwa cha...
  16. Influenza

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Viti Maalum (CUF), Riziki Lulida aomba kurejea CCM. Asema Rais Magufuli ni msikivu alifuturu naye na kuongea naye kama ndugu

    Amesema amerudi CCM kwasababu nyingi na ya kwanza ni kuwa Rais Magufuli ni msikivu na atakaposikiliza hoja yake atakuwa msikivu. Amesema “Mwaka 2015, Rais alinikuta nje akaniuliza nafanya nini. Nilijibu nataka kwenda nyumbani kufuturu. Akaniambia mimi ndio baba watoto twende, nami nikamuambia...
  17. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania Wananchi zaidi ya 500 jimbo la Ziwa na Wawi visiwani Pemba warudisha kadi za ACT-Wazalendo wakabidhiwa kadi za CUF na Prof. Lipumba

    Zaidi ya wananchi 500 wa Jimbo la Ziwani na Wawi visiwani Pemba wamerejesha kadi za Chama cha ACT Wazalendo mbele ya Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba na kusema kuwa wao ni wafuasi wa CUF kwa miaka zaidi ya 27 na si wafuasi wa ACT Wazalendo. Pia wananchi hao...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Baada ya kutimuliwa CHADEMA na kuhamia CUF, Lwakatare atikisa Bukoba Mjini. Wananchi wakanyagana mkutanoni

    Picha huongea zaidi kuliko maneno matupu , jionee mwenyewe .
  19. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania Sabrina Sungura: CHADEMA kuna udini, Waislamu wanabaguliwa linapokuja suala la uteuzi

    Nimehama CHADEMA kwenda CUF ambako hakuna udini, Wabunge wa viti maalum CHADEMA tulikuwa 36 kwa ujumla wetu lakini Waislamu ni watano tu, huko Wilayani Waislamu wengi wanafanya kazi kubwa ya kukinadi Chama lakini ukifika kwenye uteuzi wanabaguliwa" "Kwa kuwa CHADEMA imemtuma Mbunge Rhoda...
  20. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Bashiri Ally mwenyekiti CUF wilaya ya Ubungo atia nia kugombea ubunge jimbo la Handeni Vijijini

    Mwenyekiti wa Wilaya ya Ubungo CUF Bashiri Ally Atia nia ya Kugombea Ubunge Jimbo La HANDENI VIJIJINI katika Uchaguzi
Back
Top Bottom