cuba

Cuba ( (listen) KEW-bə, Spanish: [ˈkuβa] (listen)), officially the Republic of Cuba (Spanish: República de Cuba [reˈpuβlika ðe ˈkuβa] (listen)), is a country comprising the island of Cuba, as well as Isla de la Juventud and several minor archipelagos. Cuba is located in the northern Caribbean where the Caribbean Sea, Gulf of Mexico and Atlantic Ocean meet. It is east of the Yucatán Peninsula (Mexico), south of both the U.S. state of Florida and the Bahamas, west of Hispaniola, and north of both Jamaica and the Cayman Islands. Havana is the largest city and capital; other major cities include Santiago de Cuba and Camagüey. The official area of the Republic of Cuba is 109,884 km2 (42,426 sq mi) (without the territorial waters). The main island of Cuba is the largest island in Cuba and in the Caribbean, with an area of 104,556 km2 (40,369 sq mi). Cuba is the second-most populous country in the Caribbean after Haiti, with over 11 million inhabitants.The territory that is now Cuba was inhabited by the Ciboney Taíno people from the 4th millennium BC until Spanish colonization in the 15th century. From the 15th century, it was a colony of Spain until the Spanish–American War of 1898, when Cuba was occupied by the United States and gained nominal independence as a de factocode: lat promoted to code: la United States protectorate in 1902. As a fragile republic, in 1940 Cuba attempted to strengthen its democratic system, but mounting political radicalization and social strife culminated in a coup and subsequent dictatorship under Fulgencio Batista in 1952. Open corruption and oppression under Batista's rule led to his ousting in January 1959 by the 26th of July Movement, which afterwards established communist rule under the leadership of Fidel Castro. Since 1965, the state has been governed by the Communist Party of Cuba. The country was a point of contention during the Cold War between the Soviet Union and the United States, and a nuclear war nearly broke out during the Cuban Missile Crisis of 1962. Cuba is one of a few extant Marxist–Leninist socialist states, where the role of the vanguard Communist Party is enshrined in the Constitution.
Under Castro, Cuba was involved in a broad range of military and humanitarian activities throughout both Africa and Asia..
Culturally, Cuba is considered part of Latin America. It is a multiethnic country whose people, culture and customs derive from diverse origins, including the Taíno Ciboney peoples, the long period of Spanish colonialism, the introduction of enslaved Africans and a close relationship with the Soviet Union in the Cold War.
Cuba is a founding member of the United Nations, the G77, the Non-Aligned Movement, the Organisation of African, Caribbean and Pacific States, ALBA and the Organization of American States. It has currently one of the world's only planned economies, and its economy is dominated by the tourism industry and the exports of skilled labor, sugar, tobacco, and coffee. According to the Human Development Index, Cuba has high human development and is ranked the eighth highest in North America, though 72nd in the world in 2019. It also ranks highly in some metrics of national performance, including health care and education. It is the only country in the world to meet the conditions of sustainable development put forth by the WWF. Cuban government policies have largely eradicated hunger and poverty according to the World Food Programme and Cuba boasts the lowest malnutrition death rate in Latin America as a result.International non-governmental organizations and experts consider Cuba as an authoritarian regime, without free and fair multi-party competitive elections and have accused Cuban government of numerous human rights abuses, including short-term arbitrary imprisonment and jailing of political opponents, purges and curtailed press freedom.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hata makondakta wa daladala wana D2, na kwa hili wamesomea CUBA

    Mhadhara 31: Leo naomba niwajuze abiria wa daladala jambo ambalo makondakta wamesomea CUBA, na jinsi ambavyo wanatumia vizuri D2 za shuleni. 1. Matumizi ya D2: Kumbukumbu walizonazo makondakta (tingo) za kuwakumbuka abiria wote ambao tayari wamewatoza nauli, na abiria ambao bado hawajawatoza...
  2. JamiiForums Tanzania Abdoulquarim Malisa: Sijui nilitaka Kusema Nini (Kama Umesoma Cuba)

    Nakumbuka; Nikiwa mdogo mdogo hivi kuna "BIBI" mmoja alifariki pale kijijini, yule bibi alikuwa anasadikika ni mshirikina "mchawi". Wakati ulipowadia wa kukaribia kufariki, yaani anakaribia kukata roho, alikuwa akiweweseka sana, wale ndugu zake waliokuwa wakimuuguza walimsikia akiongea maneno...
  3. JamiiForums Tanzania Balozi Gertrude Mongella: Kilichonivutia Cuba ya Fidel Castro ni Wafungwa Magerezani Kufunguliwa Akaunti ya Fedha za Kujikimu Mwisho wa Vifungo vyao

    Rais wa kwanza wa African Union Committee. Rais wa kwanza wa Pan African Parliament. Balozi wa Tanzania nchini India bibi yetu comrade Gertrude Mongella ameliona hilo huko ughaibuni kwa Fidel Castro ,je kwetu linalishindikana ?!! Tufanyeje ili tuzidi kuboresha hali za wafungwa baada ya...
  4. JamiiForums Tanzania Sasa tumepata majibu baada ya Urusi kupeleka nyambizi Cuba

    Mimi naamini kua Kwa Sasa Urusi Iko vitani na NATO. Nae USA ni Mkuu wa NATO. Lkn wapo pro NATO wanakuambia hapana Urusi Iko vitani na Ukraine peke yake,NATO haimo,wanaenda mbele Wana sema nchi ndogo TU ya Ukraine Urusi imechukua miaka miwili kuishinda je hii Urusi ndio ya kupigana na NATO...
  5. JamiiForums Tanzania Marekani nayo yatuma Nyambizi Guantanamo bay Cuba

    Kwa hofu ya kupewa kipigo cha mbwa mwizi Marekani imejitutumua kukwepa aibu na kutuma Nyambizi Guantanamo bay #BREAKING – 🚨🇺🇸⚡The US sends an attack submarine, USS Helena (SSN-725) to Guantanamo Bay, Cuba, while Russian Nuclear-powered submarine Kazan is in Havana.
  6. JamiiForums Tanzania Urusi yapeleka Manowari zake za kivita Cuba. Wamarekani wachanganyikiwa

    Katika hali inayoelekea kuwachanganya wamarekani Urusi imetuma manowari zake zaidi ya 8 katika pwani ya marekani nchini Cuba sababu ikitajwq ni maandalizi ya mazoezi ya pamoja. Hii ni mara ya kwanza kwa urusi kupeleka meli za kivita kwa kiwango hiki katika nchi ya Cuba. Wakati huo huo rais...
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania yajadili namna ya ununuzi wa dawa adimu kutoka Cuba

    Na. WAF - Dodoma Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu akiwa na Naibu Katibu Mkuu Dkt. Grace Magembe pamoja na Wakurugenzi wa Wizara ya Afya leo Februari 2, 2024 wmekutana na Balozi wa Tanzania nchini Cuba Bw. Humphrey Polepole, wadau wa Hospitali, MSD pamoja na Mamlaka ya Dawa na Vifaa tiba (TMDA)...
  8. JamiiForums Tanzania Huu msemo Waliosoma Cuba una maana gani?

    Huu msemo Waliosoma Cuba una maana gani kiutani coz nausikia tu na sielewi!!!
  9. JamiiForums Tanzania Dawa kutoka CUBA ni Mpango Serikali kupitia wizara ya Afya au Polepole?

    Navojua polepole ni mtumishi wa serikali. Na ametumwa na Rais kuwakilisha nchi. Kwanini suala la dawa kutoka CUBA atangaze yeye kama yeye na siyo wizara ya afya. Hizo dawa zimethibitishwa na nani kwa matumizi ya hapa Tanzania and how ziende private hospital? Unless kutakuwa na shida mahali
  10. JamiiForums Tanzania Uwezekano wa Polepole kubadilishiwa majukumu na kutorejea Cuba ni mkubwa

    Huenda ndugu Polepole atabadilishiwa majukumu hivi karibuni. Na huenda asirejee kule Cuba kama Ambassador wetu huko, bali kuaga na kukabidhi ofisi. Mda ni Mwalimu.
  11. JamiiForums Tanzania Rais wa Cuba aongoza maandamano kuunga mkono Hamas. Waziri Mkuu wa Spain amwambia Netanyahu taifa la Palestina ni lazima liwepo

    Rais Miguel akiongoza maandamano Havana kuwaunga mkono Hamas. Katika hali ya mabadiliko ya haraka kufuatia mashambulizi ya Hamas ya Oktoba sana huko Cuba Rais wa nchi hiyo ameongoza maandamano ya maelfu ya raia wake katika kuwaunga mkono Hamas na harakati zao za kutetea haki ya kuishi kwenye...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Balozi Polepole kapotelea Cuba, ameungana na Kabudi na Dr. Bashiru Ali kujisomea majarida. Maskini kutoboa si kazi ndogo!

    Polepole amejitahidi kuandika andika na kusema ila mwisho ameishiwa pumzi baada ya vyombo vya habari kumkataa pamoja na mvuto kwenye social media kupotea. Huyu ni moja ya watu waliotoka familia maskini kama ilivyo kwa Bashiru na Kabudi. Kwa kuonekana wanataka kukitutumua familia za kifalme...
  13. JamiiForums Tanzania Natamani kumtembelea Balozi Polepole nchini Cuba

    Namuona Polepole mbali sana katika historia ya Tanzania, nakiona kivuli chake kikitoka mbali kuja karibu, namuona kama mtu atakaye ipandisha Nchi hii juu zaidi kutokea pale atakapoikuta kivuli chache kikiwasili. Natamani niwe bado hai kuziona siku zake, nilitamani nimtembelee aliwa Malawi...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Rais Dr. Hussein Mwinyi awasili Cuba kwa mkutano wa G77 na China

    Havana, Cuba Cumbre de Jefes de Estado y de Gobierno del Grupo de los 77 y China tarehe 14 September 2023 Mwandishi Na Pedro Rioseco https://m.youtube.com/watch?v=Lhxm7jatf5U Mh. Rais Dr. Hussein Mwinyi akiwa na balozi wa Tanzania nchini Cuba Mh. Humphrey Hesron Polepole uwanja wa ndege wa...
  15. JamiiForums Tanzania Cuba yalalamika kwa Urusi kutumia raia wake kwenda kupigana Ukraine

    Urusi inavyotapatapa mpaka sasa inahamisha watu kutoka mataifa tofauti kwenda kufia Ukraine maana wanajeshi wake wamefyekwa kama senene... A human trafficking ring that coerced Cubans to fight for Russia in Ukraine has been uncovered, the Caribbean island's government says. The Cuban...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania na Cuba kuimarisha Misingi ya Kisiasa

    Tanzania na Cuba zimekubaliana kushirikiana na kuimarisha misingi ya kisiasa, ujengaji wa uwezo kwa wanasiasa vijana, sekta za elimu, afya, utalii, biashara na uwekezaji Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk (Mb.)...
  17. JamiiForums Tanzania Balozi Polepole hapoi, hachoshi na anaongea kimamlaka. Azionya Wizara ya Afya na TAMISEMI

    Najua kuna Msiba, ila Kilio kilivyokua kwetu Kuna sherehe zilifanyika! Ni kweli wazuri Hawafi. Mhe. Polepole anawaonya wale wanaokwamisha maendeleo. Ilitafutwa Mbinu za kumnyamazisha lakini ndio kwanza akiwa ndani ya Kaunda Suti Nyeusi, Safii kama Nyerere vile anawaonya walafi.
  18. JamiiForums Tanzania Kabla haujakopa milioni nne kwaajili ya Ada ya mwanao, tuliosoma Cuba tuna ujumbe wako hapa

    Kwema Wakuu! Leo sina mbambamba, short and clear sitaki kuchosha nguvu kazi ya taifa nisijeitwa mhujumu uchumi. Siku hizi wala usijitese kusomesha Watoto wako. Somesha Kwa ku-relax kulingana na uwezo wako. Sio uingie madeni kisa kusomesha. Huo ni ushamba na matumizi Mabaya ya Pesa na Akili...
  19. JamiiForums Tanzania Cuba wakubali yaishe, warudi kwenye Dola za Kimarekani

    Sio rahisi kuepuka baba lao Marekani, siku zote mnaimba humu "death to America" Cuba's government on Monday announced a surprise lifting of its ban on US dollar deposits in banks, reversing a policy which had been in place across the communist island nation since June 2021. "From this moment...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Huko Cuba nako utasikia kuna kipindipindu

    Malawi haijawahi kupatwa na majanga makubwa ya kipindipindu na vimbunga ambavyo vinaleta maafa makubwa. Lakini jamaa alivyopelekwa tu kutuwakilisha vikatokea. Sasa ni zamu ya Cuba wamepelekewa janga la kipindipindu. Maza waonee huruma wacuba. Mrudishe faster jamaa nyumbani.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…