Cuba wakubali yaishe, warudi kwenye Dola za Kimarekani

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,710
48,537
Sio rahisi kuepuka baba lao Marekani, siku zote mnaimba humu "death to America"

Cuba's government on Monday announced a surprise lifting of its ban on US dollar deposits in banks, reversing a policy which had been in place across the communist island nation since June 2021.

"From this moment on, financial and banking institutions will accept cash deposits of US dollars in bank accounts," said a Central Bank of Cuba (BCC) resolution published Monday in the country's Official Gazette.

The Cuban government had announced the ban almost two years ago, saying at the time that the move was due to continuing difficulties caused by the ongoing US embargo.

The policy reversal comes as the island faces its worst economic crisis in three decades, with mounting shortages of food, medicines and fuel worsening in recent weeks.

Sio rahisi kuepuka baba lao Marekani, siku zote mnaimba humu "death to America"

Cuba's government on Monday announced a surprise lifting of its ban on US dollar deposits in banks, reversing a policy which had been in place across the communist island nation since June 2021...
Diaspora wengi wa cuba wanaishi marekan jimbo la florida walikua hawana ujanja
 
.
20230411_235831.jpg
 
Sehemu kubwa ya biashara ya kimataifa inafanyika kwa USD, kuongezeka kwa supply ya dola kwenye uchumi wako inashusha thamani yake dhidi ya sarafu husika hivyo inakufanya utumie local currency kidogo kuinunua dola.
Nilimishe, sasa dola itasaidiaje kuondokana na matatizo uliyoyataja
 
Sio rahisi kuepuka baba lao Marekani, siku zote mnaimba humu "death to America"

Cuba's government on Monday announced a surprise lifting of its ban on US dollar deposits in banks, reversing a policy which had been in place across the communist island nation since June 2021.

"From this moment on, financial and banking institutions will accept cash deposits of US dollars in bank accounts," said a Central Bank of Cuba (BCC) resolution published Monday in the country's Official Gazette.

The Cuban government had announced the ban almost two years ago, saying at the time that the move was due to continuing difficulties caused by the ongoing US embargo.

The policy reversal comes as the island faces its worst economic crisis in three decades, with mounting shortages of food, medicines and fuel worsening in recent weeks.

Ruto: Admnistration on "broke" and unable to pay civil servants - mbona hutwambii hayo kama ni breaking news about your Nation - kimya kabisa!!
 
Dola ikishuka thamani itafanya bidhaa za Marekani ziwe bei ya chini sana na itapelekea Marekani kuuza bidhaa zake nje kwa bei nafuu na China italia. Marekani ndio itaongoza kwa kuuza bidhaa nyingi nje na kuipiga bao China.
 
Mkuu umeongea point nzito sana,China hata asifurahie USA dollar kushuka thamani maana itakula kwake.
 
Meanwhile, Kenyan president his excellency, hustler in chief, Dr.William Ruto is asking Kenyans to dump the dollar.
Si ndio hapo mkuu,lakino mpiga zumali mkubwa wa maGringos MK254 anakujia na adithi za mataifa mengine conveniently avoiding to mentioning on going turmoil in his Nation and their President asking his. nationals to dump the dollar - what does that yell you about your beloved Nation - are they on the waiting list of 20 Nations applying to join BRICS the soonest - dumping dollar there after, here you are exaggerating Cuba resorting to use dollars on some businesses transaction - what is so funny , if I may ask - while your Nations wants to dump dollars.
 
Back
Top Bottom