Habarini wakuu.
Naomba kusaidiwa kimawazo, Mimi ni muhitimu wa Diploma in Accounting and Finance mwaka 2014 na tangu 2016 mpaka sasa ni muajiriwa as an accountant katika taasisi (private),
Nafikiria kujiendeleza kielimu katika tasnia hii hii ya accountancy na katika kufuatilia hapa na pale...