#COVID19 Mwenye mzio wa chanjo (Allergic reaction) amueleze mtaalamu wa Afya kabla ya kuchanjwa Covid-19

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Aug 7, 2018
626
938
Inaelezwa kuwa wapo baadhi ya watu ambao wana historia ya kupata matokeo mabaya (Severe Allergic Reaction) kutokana na chanjo wanazochanjwa kipindi cha nyuma.

Shirika la Afya duniani linawashauri watu ambao wana historia ya kuwa na mzio wa chanjo nyingine kuwaona Wataalamu wa Afya na kuwaeleza tatizo lao kabla ya kuchanjwa #coronavirus

Inaeleza kuwa kufanya hivyo kutakumsaidia Mtaalamu wa Afya kufanya uchunguzi wa kisayansi na kukupa muongozo sahihi katika suala zima la kuchanjwa corona
 
Back
Top Bottom