Wandugu
Nianze kwa kusema kwa sasa wote wamebaki mabubu,wameshikwa na butwaa hawajui waseme nini juu ya Netanyahu, na hii ni kwa sababu ya utashi wa mtu binafsi Huyu Netanyahu kwa sababu hata Myahudi wa miaka 70 ukimuuliza je unaweza kuwamaliza maadui zako wote na ukaishi salama atakujibu yeye...
Naweka kumbukimbu kwa wale wanaolishwa mapumba na Hafre kwamba hata kiongozi Mkuu wa chadema alisema JPM alikufa kifo cha ugonjwa wa corona na si vinginevyo.
Corona huwapiga zaidi watu wenye matatizo ya moyo
Pesa za Corona mwaka 2021 wewe Kikwete ulikuwa rais mstaafu na kuheshimu sana ila mimi ndiye niliyekuwa mwenyekiti wa kamati ya utawala na Serikali ya mitaa ndio nilipitisha kwa mkono wangu pale bungeni Trilion 4 halafu hela ya Corona ilipokuja Trilion 1.3 mkatumia nje ya bajati kwa matumizi...
Tuwape maua yao South Afrika kipindi kile cha COVID-19 zilidondoka amapiano kila ngoma ilikuwa fire moja kati ya hizo ngoma ilikuwa Jerusalema ya Master KG hili dude lilikuwa habari nyingine aisee.
Dude jingine lilikuwa ke star remix ya Focalistic na Davido hatujatulitia wakatuchapa na champion...
###Lengo la uzi halina kusudi la kuisema vibaya taasisi ya UDSM bali unaelezea LIFE EXPERIENCE###
Corona hiyo inaanza mwaka 2019 mwishoni inaenda weweee zinafanyika jitihada nyingi za kutengeneza dawa mda sisi nchi za afrika tumebakia kama onlookers zinafanikiwa mwaka 2021
Kwanin ilikuwa UDSM...
Ukisika ubaya ubwela ndiyo huu baada ya kusikia wimbo ukiibwa na baadhi ya wanachama wa CCM wakisema wapinzani wakifa atulii bali tunawatupa mtoni waliwe na mamba!
Sasa kwenye video hii inaonyesha kundi la baadhi ya wananchi ambao kwa asilimia kubwa ni vijana wakiimba wakisema bora corona...
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amewaambia wananchi wa Buchosa kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amefanikiwa kuurejesha uchumi wa nchi mahali ulipokuwepo kabla ya janga la Corona.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na...
Naibu wa Gavana wa Benki Kuu ya Umoja wa Ulaya Luis de Guindos amesema kuwa, rais wa Marekani, Donald Trump amesababisha kukosekana utulivu katika ghughuli za kiuchumi na rais huyo ni janga baya zaidi kuliko hata janga la Corona la miaka mitano iliyopita.
Shirika la Habari la IRNA limemnukuu...
Habari wakuu. Ni wiki sasa kuna mlipuko wa ugonjwa wa ajabu kidogo na dalili zake ni kuumwa kichwa, mafua, homa kali ikiambatana na joto kali sana na mwisho ni kuumwa mifupa.
Mimi nimelala weekend nzima nipo hoi. Leo nimeleta mtu hospital ndio nakutana na nyomi na wimbo ni uleule.
Wizara ya...
Kuna habari gani kutoka Wizara ya Afya Tanzania juu ya hili swala la watu wengi kuugua Mafua na Kifua kiholela holela na mfululizo.
Pia soma: Uganda: Wizara ya Afya yatoa taarifa Juu ya Wimbi la Sasa la Mafua, Kikohozi Huku Kukiwa na Hofu ya UVIKO
Je, nini kinasababisha Mafua?
Ukikutana na...
Huu ugonjwa wa home ya nyani ni kama vile unakuja na vibe la Corona, taarifa za kusambaa wagonjwa zinaongezeka kidogo kidogo kila siku, mamlaka zote duniani inabidi zichukue hatua za haraka na kwa ushirikiano tusije kuingia kwenye mambo ya lockdowns tena.
Soma Pia: Homa ya nyani (Monkeypox)...
🇬🇧🇸🇪 AstraZeneca is withdrawing its Covid vaccine worldwide, The Telegraph reports.
The pharmaceutical giant recently admitted in court for the first time that its vaccine can cause a rare and dangerous side effect.
But the company claims the recall decision is purely commercial, as the...
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa ameagiza kukamatwa kwa Mwenyekiti wa Serikali ya mtaa wa Mwanjelwa aliyejulikana kwa jina la Brayan Mwakalukwa na Ezekiel Mwanje mwakilishi wa mmiliki wa anayedaiwa kuuziwa Nyumba ambayo ni mali halali ya Li Shi Cai ambaye ni mwekezaji...
Salaam, Shalom.
Kwa mara ya kwanza, Nchi yetu ilipokea Rasmi Chanjo ya CORONA virus Kutoka nje aina ya Johnson Johnson mnamo July 24, 2021.
Na Chanjo Ile sie tulipewa Bure tofauti na Nchi zingine kama DRC, wao wakinunua Chanjo Kwa kugombania kuhofia kufa Kwa Corona.
Hadi sasa imebaki miezi 4...
Yale machanjo yetu tuliyopewa zawadi na mabeberu bado yapo?
Siyasikii kabisa siku hizi kama hapo awali kwa jinsi yalivyokuwa yanapigiwa chapuo la mwendokasi.
Nasikia kulikuwa na mafurushi kadhaa ya chanjo. Sijui ni mafurushi ama makapu, lakini naamini hayo machanjo yalijazwa kwenye kapu fulani...
Wakuu siku za karibuni hali yangu sio nzuri kiviile... Kwanza nilianza kuumwa sana na koo nikawa nikimeza mate napata maumivu makali.
Juzi juzi nikaanza kikohozi kikavu kinachoambatana na maumivu ambacho kinaendelea mpaka sasa. Jana kichwa kimeanza kuniuma na homa japo sio kali sana, na leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.