computer

  1. JamiiForums Tanzania Delivery service: Computer Maintenance and & Household appliances repair

    Alfatonics Electronics tumekuja na huduma ya "delivery" kwenye ufundi wa kompyuta na vifaa vya umeme majumbani Huduma hii mteja unaweza kufanya booking Kwa kupiga simu au kuchati na mhudumu wetu kupitia Whatsapp namba 0656586676 Huduma hii ni Kwa wateja wote wa maofisini na majumbani. Mteja...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli wanafunzi wa secondary wanasoma computer kwanzia form one?

    Nimeambiwa kwamba wanafunzi wa secondary nowadays wanasoma somo la computer na wanafanyia mtihani kidato cha nne, Je, kuna ukweli wowote? Je, kuna syllabus ya computer kwanzia form one?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta CPU ya computer

    Habari, Natafuta CPU ya computer desktop nina sh 50000 nipo Dar hata kama ni zile model za zamani ilimradi iwe inafanya kazi. Ni PM specification
  4. U

    JamiiForums Tanzania OpenAI Distributes Instructional exercise For computer based intelligence Produced Gathering Minutes

    Figure out how to interpret meeting minutes with GPT-4 and Murmur, including OpenAI's six ways to come by the best outcomes from GPT-4. Features. *OpenAI has delivered an instructional exercise on the best way to utilize its GPT-4 and Murmur models to interpret and sum up gathering minutes...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ongeza kipato chako kwa kupitia simu au PC (Personal Computer) yako

    Leo nitagusia kuhusu Sproutsgigs.Hii ni website ambayo unaweza jiingizia hela yako kwa kufanya task (kazi) utakazo kuta umepewa kwenye dashboard yako.Lakini pia unaweza toa kazi kwa mtu akakufanyia kwa niaba yako kwa malipo mtakayo kubaliana. Nimejiunga Sproutsgigs mwezi mmoja nyuma na...
  6. JamiiForums Tanzania Kijana wa Kiume Unaejua kutumia Computer vizuri unahitajika

    Sifa Ujue kutumia computer vizuri Ujue kupiga window na kugundua tatizo computer inapo misbehave Ujue kusolve matatizo yatakayojitokeza endapo computer italeta mushkeli Uwe na wadhamini Majukumu Kuingiza Movie na Nyimbo kwa Wateja Mshahara 250,000 (kwa mwezi) OFISI ilipo Dar es salaam -...
  7. JamiiForums Tanzania Nawezaje kutumia mifumo ya computer kurahisisha kurekodi mauzo, madeni na kuhesabu mzigo

    Na ningependa zaidi wachangiaji wawe ambao wanatumia hizi system, sio ku google ama kusikia. Nipo mkoani nina stoo yangu kubwa ambayo ndipo mizigo inapofikia kutoka Dar kwajili ya kuitunza na pia huwa nauzia hapo kwa order kubwa kubwa. kuna mtu wa kazi ndie nimemweka hapo awe anafanya stock...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa Wote mnaoanza kujifunza Programming na Hauna Computer. Replit App itakufaa Ku-edit na Ku-Run baadhi ya Script.

    Habari wakuu: Niende moja kwa moja kwenye mada; Kwa kufahamu kuwa kuna watu wanatamani kujifunza Programming language bahati mbaya hawana kompyuta hivyo inapelekea kukata tamaa na kuishia njiani, leo beginner mwenzio nakupa tumaini inuka uendelee. Inawezekana ulikuwa hufahamu kuwa kuna...
  9. JamiiForums Tanzania Microsoft Wameitambulisha Microsoft 365 Copilot

    Microsoft 365 Copilot inachanganya nguvu ya mifumo mikubwa ya lugha (LLM), yaani large language models na data zako kwenye Microsoft Graph na programu za Microsoft 365 ili kugeuza maneno yako kuwa zana yenye nguvu zaidi ya uzalishaji duniani. "Leo hii ni hatua kubwa inayofuata katika mabadiliko...
  10. JamiiForums Tanzania Nielekezeni jinsi ya kuunganisha computer na printer

    Wakuu msaada pls. Kuna computer hapa inatumika kama Server, hiyo server ndio imeunganishwa na printer. Sasa nilitaka niunganishe computer zingine zipo kama 7 through wifi ili ziweze kuprint. Yaani mtu akitaka kuprint sio mpaka aende pale kwenye computer iliyounganishwa na printer. Muongozo...
  11. JamiiForums Tanzania Desktop Computer Inauzwa Tsh 220,000 Tu

    IMEUZWA
  12. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi vijana wawili form four na wanojua kutumia computer

    NAFASI ZA KAZI Posts: 2 -Elimu kuanzia form four -Uwe unajua kutumia computer, nb kama hujui computer usiombe plz -Ukiwa na certificate ya computer ni kigezo cha nyongeza -Kama una degree au diploma hatukuhitaji usiombe plz -Location ya kazi ni Dar es salaam -Jinsia ya kiume tu -Umri...
  13. JamiiForums Tanzania Msaada: Computer yangu haitaki kuwaka na kuconnect hotspot na device nyengine

    Jamani PC yangu haitaki kuwaka na kuconnect hotspot na device nyengine.
  14. JamiiForums Tanzania Computer4Sale Gaming PC Inauzwa, Complete Setup kwa kazi za production

    Habari wana JF. Nauza Gaming PC yangu Mashine pamoja na Monitor ya LG, keyboard na mouse. Unaweza itumia kwa shughuli mbali mbali za production kama Video Editing, Photo Editing, VFX, 3D Animation, Rendering, etc. Iko very powerful. Specifications hizi hapa chini. Gaming Desktop Computer...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Mwenye hp printer drivers naomba, au namna nyepesi ya kuinstall printer hp kwa computer

    Mwenye hp printer drivers naomba ,au namna nyepesi ya kuinstall printer hp kwa computer
  16. JamiiForums Tanzania Kadri teknolojia ya computer inavyozidi kujitosheleza kwenye simu, umepunguza au umeacha kabisa kutumia laptop na desktop ?

    Sote ni mashuhuda wa jinsi teknolojia ya computer inavyozidi kuboreshwa kwenye simu za kiasasa smartphones, vitu kibao ambavyo zamani vilitulazimu kuvifanya kwenye desktop au laptop siku hizi tunavifanya kwenye smart phones hasa ukizingatia. Software kibao sikuhizi hata kwenye simu zipo na pia...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Desktop computer

    Nauza destop Aina ya dell Bei 170,000/= Desktop Aina ya dell Ram 2 Hard disk 320GB CPU DUO 1.6Ghz Hali: Imetumika Mahali: Mkoa wa Dar es salaam Simu no 0658 106 630 Karibu.
  18. JamiiForums Tanzania Aliyesoma diploma ya IT au computer science, Je! aweza kusoma degree ya telecommunication?

    Okay marafiki wa JF....... naomba kujuzwa kuhusu swala hili kama inawezekana kusomea degree ya telecommunication kutokea deploma tajwa!
  19. JamiiForums Tanzania SOFTWARE Mobile Phones and Computers Services (MOCOS)

    MOCO Services ni Wabobezi wa kurekebisha vifaa vya mawasiliano SIMU na Kompyuta. Tupo Mkoani Mbeya, Mwanjelwa, Barabara ya Juakali. Tumejikita katika ufundi wa "hardware pamoja na software". Ofisi yetu inatumia vifaa vya na teknolojia ya kisasa ili kukidhi mahitaji na matarajio ya wateja wetu...
  20. JamiiForums Tanzania Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

    ChatGPT ni artificial intelligence iliotengenezwa na openAI, unaweza iuliza ikuandikie barua, report, inaweza kutengeneza website na mengine mengi, yajayo ni hatari sana
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…