computer

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nina kipaji cha kuchora kwa kutumia computer, nawezaje kukitumia kutengeneza pesa?

    Naombeni mawazo yenu wadau nawezaje kutengeneza pesa kupitia kipaji changu.. nimeambatanisha sample za michoro
  2. E

    JamiiForums Tanzania Computer Science inaongoza kutoa wadau wengi waliofanikiwa duniani

    Orodha ya Watu Waliosoma Computer Science na Wamefanikiwa 1. Elon Musk - Mwanzilishi wa SpaceX na Tesla(Japo alisoma physics na economics lakini Computer science imemtoa) 2. Mark Zuckerberg - Mwanzilishi wa Facebook (Meta). 3. Bill Gates - Mwanzilishi wa Microsoft. 4. Larry Page - Mwanzilishi...
  3. JamiiForums Tanzania Mfundishe mtoto bado mdogo programming computer sio aje kukukuta ukubwani ndio maana tunazidiwa na wenzetu

    Programming computer ni mfumo wa lugha za vifaa ambavyo vyenyewe vinajua moja na ziro tu. ila kutokana na uwezo mfumo wa digital moja ziro ndio zinaweza kutambua mamilioni ya ziro na moja kwa wakati. Vifaa vyote tunavyotumia kuanzia simu,computer,mawasiliano kama internet na vyote kwa ujumla...
  4. G

    JamiiForums Tanzania nina milioni 1, ninunue kifaa gani au niwekeze huduma ipi kwenye tech niingize pesa ?

    N:B: Sihitaji idea za PS, kamari, forex, bitcoin. habari zenu wana tech, naombeni mnipe ideas Nipo mazingira ya mjini binafsi ni muajiriwa lakini ni mdau mkubwa sana wa side hustles Nahitaji wazo au vifaa / huduma walau kuingiza elf 10 kwa siku, niliwahi kufungua banda la games tatizo kubwa...
  5. JamiiForums Tanzania Nahitaji kufungua Movie Store. Je, ni desktop computer gani itanifaa kwa kazi hiyo?

    Mwezi hii ya mbeleni nipo kwenye mpango wa kufungua movies store hapa Dar es Salaam. Napitia changamoto moja ni CPU gani na yenye sifa gani inayoweza kunifaa. kwakazi hiyo maana siitaji kununua cpu itayo nipa ugumu wakufanya kazi. Nahitaji niiweekee 80TB na ram 12 GB machanga complex...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mafundi computer: Nina sh 40,000 natafuta CPU

    Habari mafundi computer Jamani Nina sh 40,000 nahitaji CPU ya desktop computer kampuni yoyote. Iwe unafanya kazi. Ni PM picha zake Shwari wazee
  7. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu haya kwenye Computer Networking

    Naomba msaada kujua hivi vitu kwa maana vinanichanganya sana wataalamu 1. Network Attached Storage (NAS) 2. Storage Area Network (SAN)
  8. JamiiForums Tanzania Msaada computer inaniumiza kichwa

    Habari zenu wataalamu Nina PC ya HP mara nilipoogeza tu disk zingine zikawa tatu ikawa kila nikiwasha inaniletea maelezo na maelekezo huku ikitaja na majina ya disk na nafasi zilizomo humo Sasa juzi nikapata muda nikayafatisha jinsi yanavyo elekeza yale maelezo maelezo yenyewe yako kwenye picha...
  9. JamiiForums Tanzania Ni muhitimu yupi UDSM aliyehitimu shahada ya masomo ya Computer anaweza kuthibitisha anajua coding?

    Ukiongelea taaluma ya Computer LAZIMA ujue kuandika lugha ya Computer (coding). Hiki chuo cha UDSM nina wasiwasi kila kitu wanafundisha nadharia tu (theory) hata katika taalum ambazo tunategenea wahitimu wawe wameiva kivitendo. Taaluma za uhandisi (engineering) wanaweza kujificha katika kivuli...
  10. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi kwa graduates wa Computer Engineering, Telecommunications Eng, Computer Science

    Kampuni mojawapo jijini Mwanza inahitaji watu wenye qualifications tajwa hapo juu. Kama unafit karibu inbox.
  11. JamiiForums Tanzania Natafuta fundi computer aliyeko Mbagala

    Nahitaji fundi computer aje anisaidie kurepair window 10 maeneo ya mbagala sabasaba kwa mpili
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya computer Microsoft office package

    BSK basic computer application online. SWAHILI. Ninafundisha (online na offline) basic computer application/Microsoft office package kwa walio makazini na ambao hawako makazini (Mtu yoyote) kulingana na ratiba yako. 1. Excel. 2. Database (Microsoft access). 3. PowerPoint. 4. Word. 5. Computer...
  13. JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Computer anapatikana

    Hellow JF, kwa anayetafuta computer courses amtafute muhusika kwa namba 0759-124378, anapatikana Mbezi na anafundisha microsoft office, excel, power point na computer programming.
  14. JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Math/ Physics and Computer Studies anahitajika

    Habar mwalimu wa SoMo la mathematics/physics na computer studies anahitajika Shule inahtaji huyo mwalimu wa level ya degree au diploma at least awe anaweza kifundisha SoMo mojawapo hapo juu +computer( compulsory) Akiwa wa kike itakuwa vizuri zaidi Shule ipo Moshi Dc Kilimanjaro kama ungependa...
  15. JamiiForums Tanzania Tuliokuwa tunajua kutumia computer kabla ya Windows XP tukutane hapa, Hofu ya Y2K n.k

    Wale wakongwe walio anza kutumia computer na operating system za Ms DOS, Windows 95, Windows 98 na kabla ya hapo njoo tupe historia yako ulijifunzia wapi computer. Nini au tukio gani linakukumbusha mbali na ilikuwaje. Unakumbuka nini juu ya hofu ya Y2K? Ilisemekana computer zote zitazima...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mwanangu amepangiwa kusoma Mining Engeneering lakin yeye anataka kusoma Computer Engeneering, nifanyaje?

    Habari zenu wakuu? Nina mwanangu amemalz o-level na amepangwa Mining Engeneering na TAMISEMI lakini yeye hataki anataka asome Computer Engeneering. Je, nimuache asome anachoktaka ama aend 2 huko alipopangiwa na TAMISEMI?
  17. JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza Computer HP Laptop mbili (2) mali yangu binafsi

    LAPTOP COMPUTER HP INAUZWA BEI SAWA NA BURE Brand: HP Model: Probook 450 G5 Ram: 16 Storage: 512 (SSD) Proccesor: core i5 Bei: Tsh 680,000/- Computer bado ipo Kwenye Hali nzuri kabisa Location Mbezi Dsm Phone No: 0714739838 Karibuni
  18. JamiiForums Tanzania Je computer engineering inayo fundishwa DIT na ya UDSM ipi Ina applicable content nyingi

    Aaah wakuu naomba kusaidiwa katika hili kama Kuna mtu mwenye uelewa juu ya content yenye faida. Nimesoma prospectus zote lakin nimefeli kuelewa ipi ipo Nondo na ipi ipo unga 🙂 Ndomana nime kuja kuomba msaada Kwa wanaojua kuhusu hili... "Always say less than nessesary"
  19. JamiiForums Tanzania NIZAR COMPUTERS ACCESSORIES HAWANA JAMBO DOGO

    💥💥NIZAR COMPUTERS ACCESSORIES💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥 KARIBUNI SANA SISI TUNAUZA NA TUNATOA HUDUMA YA VITU MBALIMBALI IKIWEMO; 1:KAZI NA MALIPO YA VITU AU PESA TASILMU ,Kwa wewe mwanachuo au raia nadhani unapenda kufanya kazi na watu wanaojari na UJIRA wao ni mzuri.Sasa fursa ni yako ukitaka kumiliki...
  20. JamiiForums Tanzania Nafanya Graphic Design, Window Repair and Installation, Phone Settings

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…