coding

  1. musabuze

    Jinsi ya kutengeneza App ya news bila ujuzi wa Coding wala Programing

    Habari Wana JF, Siyo Kila anayehitaji Android App Kama ya News, Chating,Live Tv ana Haja ya yeye Kujua Programing au Coding. Inabidi Totofautishe Kati ya Kazi na Mahitaji, Programing au Coding ni Kazi Kama Kazi Zingine ila Kuwa na Shauku ya Kuwa na App Yako ni Mahitaji Kama Yalivyo Mahitaji...
  2. Analogia Malenga

    Tafiti: Wanawake ni wachache wanaojifunza 'Coding'

    FreeCodeCamp ni mmoja kati ya mtandao unaotoa elimu nyingi kuhusu kuandika ‘codes’ ili kutengeneza ‘projects’ mbalimbali ikiwemo kutengeneza ‘App’ za android, vikokotoo na tovuti Hivi karibuni wamefanya tafiti kwa watu 65,000 na mtokeo yalionyesha kuwa wanawake 7.7% walikuwa wanajifunza, wakati...
  3. agudev

    Website za kujifunza programming kwa vitendo kwa njia ya mashindano (competitive programming)

    Habari za leo wadau, natumaini mko poa. Leo nataka nije na uzi unaoelezea kuhusu namna ya kujifunza programming kwa vitendo na kushiriki katika mashindano ya coding online ambapo pia unaweza kushinda kitita cha pesa kama ukiwa umejinoa kwelikweli. Zipo websites mbalimbali zinazofanya vitu kama...
Back
Top Bottom