cnn

The Cable News Network (CNN) is a multinational news-based pay television channel headquartered in Atlanta, United States. It is owned by CNN Worldwide, a unit of the WarnerMedia News & Sports division of AT&T's WarnerMedia. It was founded in 1980 by American media proprietor Ted Turner and Reese Schonfeld as a 24-hour cable news channel. Upon its launch in 1980, CNN was the first television channel to provide 24-hour news coverage, and was the first all-news television channel in the United States.As of September 2018, CNN has 90.1 million television households as subscribers (97.7% of households with cable) in the United States. According to Nielsen, in June 2021 CNN ranked third in viewership among cable news networks, behind Fox News and MSNBC, averaging 580,000 viewers throughout the day, down 49% from a year earlier, amid sharp declines in viewers across all cable news networks. CNN ranks 14th among all basic cable networks.The network is known for its dramatic live coverage of breaking news, some of which has drawn criticism as overly sensationalistic, and for its efforts to be nonpartisan, which have led to accusations of false balance.Globally, CNN programming has aired through CNN International, seen by viewers in over 212 countries and territories; since May 2019 however, the US domestic version has absorbed international news coverage in order to streamline programming expenses. The American version, sometimes referred to as CNN (US), is also available in Canada, some islands of the Caribbean and in Japan, where it was first broadcast on CNNj in 2003, with simultaneous translation in Japanese.

View More On Wikipedia.org
  1. Heparin

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nilitegemea Msigwa abebe waandishi kwenda Makaburi ya Kondo kuwaaibisha CNN kwa uongo, kaishia kutemea mate maiki bila ushahidi wowote

    Nilitegemea anayejiita Msemaji Mkuu wa Serikali na mtoa ufafanuzi mkuu Bwana Gerson Msigwa leo angebeba waandishi kwenda Makaburi ya Kondo kuwaaibisha CNN kwa uongo, kaishia kutemea mate maiki bila ushahidi wowote. Nilitegemea aseme sasa ndugu zangu, CNN si wamesema kuna makaburi ya halaiki...
  2. Mbondijr

    JamiiForums Tanzania Anaesema tupuuze taarifa za CNN alete za kwake

    Ni rahisi nyeupe kuwa nyeusi lakini sio nyeusi kuwa nyeupe Aisee huu mbinyo umewafanya wakimbie kama kuku alokatwa kichwa ,huzani anapokimbia ndo anakimbia kifo kumbe ndo tayari kishamkabili...
  3. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Serikali chutama kama ambavyo mnaleta mashaidi wa Siri basi vumilia CNN kuhoji madaktari Kwa siri

    Msigwa ameumia saana CNN kusema waliwahoji madaktari wa hospital ya Seketule(I am not sure with spelling) Kwa Siri na kutoboa Siri ya madaktari kuambiwa wawaweke mochwari majeruhi ata kama hawajafa. Yaani serikali ilkuwa inaona Sawa kuja na mashaidi wa Siri kwenye kesi ya Lissu, lakini inaumia...
  4. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 CNN: Hivi ndivyo tulithibitisha ushahidi wa mauaji Tanzania. Kwa Tekinolojia ya sasa, kuvuruga ushahidi ni kazi bure

    Wakijadili kwa kina namna walivyofanyia kazi ushahidi wa mauaji yaliyotokea kutokana na maandamano yaliyoitishwa tarehe 29 october na siku chache zilizofuata. CNN wameeleza kitaalamu hatua walizochukua, na jinsi walivyoweza kupata source tofautitofauti za taarifa ambazo ziliweza kuthibitishiana...
  5. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Madowo na CNN wangekuwa watanzania wangetekwa na kufungiwa lakini kwasababu ni vyombo vikubwa serikali imebaki kubweka

    Madowo na CNN wangekuwa watanzania wangetekwa na kufungiwa lakini kwasababu ni vyombo vikubwa serikali imebaki kubweka.
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Inaonekana Serikali imeumizwa sana na Documentary ya CNN

    Serikali imepanic, baada ya CNN kuonesha ukweli ambao serikali haikutegemea ikiwa ni pamoja kuonyesha kaburi la halaiki. Hawakutegemea. Imejaza watu mitandaoni kumshambulia mwandishi wa CNN utadhani aliandaa peke yake, serikali ilidhani CNN ni Channel 10 au ITV na Larry Madowo ni Millard Ayo...
  7. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Watalii wameambiwa wapuuze video za CNN huku serikali kutokanusha video zile wanamaanisha nini ?

    Watalii wameambiwa wapuuze video za CNN huku serikali kutokanusha video zile wanamaanisha nini ? Leo serikali imeaibika na kutrend vibaya sana na zile video za mauwaji zime trend zaidi na kupewa umakini na dunia. Serikali haramu inazima moto kwa kuwasha kiberiti.
  8. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Watanzania wamechukizwa na kuikataa ripoti ya CNN

    Kila kona ya nchi kwa sasa wananchi wanailaumu CNN kwa kutoa ripoti ya kuzushi yenye lengo ovu la kuwafarakanisha wananchi na serikali yao pendwa chini ya mama wa shoka Dr Samia Suluhu Hassan. Wananchi wengi wamelaani ripoti iliyotolewa na CNN kupitia ripota wao Larry Madowo. Uchunguzi wangu...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Larry Madowo ni Mkenya anayeitumia CNN Kuichafua Tanzania Kimataifa ili Kuinufaisha Kenya. Serikali ifanye uchunguzi na kumpa Onyo Kali

    Ndugu zangu Watanzania, Ningependa kuwaambieni ya kuwa yule mwaandishi wa CNN aliyetumika kutuchafua na kuunga unga habari zenye lengo la kuharibu sifa nzuri ya Taifa letu ni Mkenya. Ikumbukwe ya kuwa kenya ilikuwa inaonekana kama ndio Nchi yenye uchumi mkubwa hapa Afrika mashriki. Ambapo pia...
  10. R

    JamiiForums Tanzania In science kuna kitu kinaitwa confirmatory test. BBC, CNN and the like zinaangukia katika kundi hilo

    CNN, BBC, ALJAZERA and the like ni confirmatory test for the authenticity of the news. CNN akisema basi mchezo umeisha! Rome has spoken; the cause is finished” or in Latin ” Roma locuta; causa finita est
  11. britanicca

    JamiiForums Tanzania I thought we are going to critically analyze the CNN report, but who am i?

    I expected kauli kama “ Mim na nyie waandishi wahabari nipo tayari kwenda kwenye eneo wanalosema miili imezikwa tukajionee na kureport kuwa sio sahihi…” Kwanini Msigwa uwa anajitoa sana ufahamu? Mambo mengine ni kujikoroga kabisa Britanicca
  12. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Larry Madowo aposti anacheka baada ya Serikali kuja na hoja zisizoeleweka wala kukanusha ripoti za CNN

  13. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Msemaji mkuu wa Serikali Gerson Msigwa awahakikishia watalii usalama na kupuuza taarifa potofu

    Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa akizungumza na Vyombo vya habari leo Novemba 23, 2025 amewahakikishia watalii wote kutoka mataifa mbalimabali kuwa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inawakaribisha wote nchi yetu itabaki kuwa ya amani na wazi kupokea wote wanaowiwa kuja...
  14. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwa maana nyingine serikali imekubali ripoti ya CNN, BBC na Al Jazeera ila hawajapenda namna walivyopata uthibitisho?

    wakuu, Kwenye press hii Msigwa amseme walichokifanya CNN na wengine ni kinyume na maadili ya uandishi kwa kutokwenda kupata upande wa pili. Wamesema kuweka picha za kutisha mtandani ni kinyume na maadili, kuonyesha picha za watu vimejaa damu, au wametobolewa ni kinyume na taratibu za uandishi...
  15. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kwa Mujibu wa Msigwa, Serikali inaumizwa na CNN kuweka HABARI za Mauaji, ila Serikali Haiumizwi na Mauaji iliyoyafanya Kwa Wananchi

    Mnaendelea kutupa sababu za Maandamano DEC 9 , tutatoka!!
  16. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Msigwa: Uhakiki wa video za CNN unaendelea, serikali inatoa wito wa CNN kufuata weledi na maadili ya uandishi

    Kuhusu serikali kufanya uhakiki wa ripoti ya CNN, Msigwa amesema: Uhakiki wa makala unaendelea, lakini hawajafuata weledi na uadilifu kwenye uandishi wa habari. Si kweli CNN ilishindwa kupata upande wa serikali, akisema inashangaza chombo kama CNN kufanya makosa ya kiweledi kama hayo...
  17. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gerson Msigwa: CNN imechapisha taarifa zenye tuhuma kwa Serikali pasipo kutoa nafasi ya Serikali kujibu

    Akizungumza na Vyombo vya Habari leo Novemba 23, 2025 Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema kwamba kumekuwepo kwa wimbi la vyombo vya habari vya nje kuchapisha habari zinaoegemea upande mmoja kwa kuichafua serikali kisha kutoa sababu Maafisa wa serikali walitafutwa na hawakupatikana...
  18. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Msigwa: Vyombo vya nje vifuate taratibu za uandishi, walichofanya CNN, Al Jazeera na wengine sio sawa, ni ukiukwaji wa makusudi

    Serikali yatoa wito kwa vyombo vya habari vya nje kufuata maadili ya uandiahi wa habari kwa kuchapisha habari ambazo aio za upande mmoja, serikali ipo tauari kutoa ushirikiano kwa vyombo vya ndani na nje ya nchi pale watakapohitajika. Msigwa amesema sio sawa kilichofanywa na CNN, Al Jazeera na...
  19. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Madowo; Serikali ya Tanzania imekaa siku 25 kimya huku ikiwa idadi ya vifo 29 oct havijulikani ndio wanakuja leo kuzungumzia baada ya CNN

    Madowo; Serikali ya Tanzania imekaa siku 25 kimya huku ikiwa idadi ya vifo 29 oct havijulikani ndio wanakuja leo kuzungumzia baada ya CNN. Madowo anapiga kwenye mshono huko kuelekea hotuba ya serikali kuhusiana nankilichotokea oct 29 swali je kwa siku zote hizo 25 serikali ilikuwa haijui...
  20. Profesy

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Wambura amesema hivi kuhusu report ya CNN?

Back
Top Bottom