Ni kweli anafanya kazi nzuri hadi sasa licha ya ukweli kwamba bado hatujafika tunapopataka.
Lakini jamani hizo sifa mnazompa Rais Samia zisitiwe chumvi, msivuke kiasi cha kujifanya kama hii nchi haina tatizo hata moja.
Tumpongeze anapofanya vizuri, tumkumbushe ambapo hapajakamilika, tupinge...