chumba

Chumba is a traditional form of music and dance performed by the Garifuna people in several Central American countries. Like punta (another type of Garifuna music), chumba songs are highly polyrhythmic, but have a slower tempo.The chumba dance is a solo dance performed by a woman, often exhibiting a large degree of individual style.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata chumba kizuri cha 30000 kwa Dar es Salaam

    Naombeni mnisaidie sehemu yenye vyumba vya 30000 kwa dar
  2. ahmedj

    JamiiForums Tanzania House4Rent Dalali wa nyumba, vyumba na viwanja Bagamoyo road

    4RENT - CHUMBA SEBULE CHOO NA JIKO LOCATION: GOBA SENTA BEI: TSHS 300000 CALL - 0716442950
  3. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Karibu tukujengee hii nyumba ya chumba kimoja kwa mkopo

    MKOPO MKOPO wa ujenzi, Nyumba hii inasifa zifuatazo. Chumba kimoja kikubwa chenye washroom, sitting room kubwa,kitchen na public washroom. Nyumba hii ni maalum kwa vijana wanaoanza maisha au kwa wanaojenga nyumba zakupangisha ni nzuri sana na haina gharama kubwa. Gharama yake ni kiasi cha...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba kimoja self

    Viongozi nilikuwa naomba kama kunayeyote yule anajuwa sehemu kunachumba self kimoja mkoa wa shinyanga maeneo ya Ngokolo au majengo mapya. Chumba kiwe na tiles, maji,umeme, na kipo ndani ya uzio wa ukuta
  5. StaceyD

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba single self,moshono arusha

    Habari zenu wadau,hasa wakazi was Arusha. Naomba msaada mwenye kujua,natafuta single self budget 80k isizidi 100k maeneo ya moshono,nikipata nyumba ikiwa mpya,ina geti itakuwa POA zaidi
  6. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Mpangaji aliyeishi Chumba cha giza kwa miaka Nane ili kufanikisha malengo yake

    Hii ni true story ya mpangaji wa bibi yangu pale ilala kota,naandika uzi huu kama hamasa kwa wapambanaji wote kwamba ukiweka malengo na kuishi nayo hakika utafika pale unapotaka kufika Mpangaji huyu na mume wake walikuwa ni miongoni mwa wapangaji kadhaa pale kwa bibi yangu,pamoja na kwamba...
  7. mpambanaji orijino

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba cha kupanga zanzibar

    Habari wakuuu, Natafuta chumba cha kupanga ambacho hakipo mbali sana na michenzani mall, Zanzibar. Chumba kiwe master na bajeti yangu ni kisizidi laki moja kwa mwezi. Anayekifahamu au ambaye anaweza niunganisha na dalali naomba anisaidie. Ahsante
  8. tamu 3

    JamiiForums Tanzania Ilikuwaje ulipo sikia kwichikwichi chumba cha jirani yako ulipopanga?

    Kwenye Nyumba za kupanga tunateseka sana sisi mafukara, siku MOJA nipo single nimelala chumba Cha jirani kitanda kinasikika mechi on afu mdada analia makusudi, huwezi amini mnara wangu ukawa nyuzi tisini, najipiteza wapi nikaona si vibaya nende bafuni!!! Wewe ulifanyaje?
  9. Transistor

    JamiiForums Tanzania Jipatie Power bank ya umeme,kwa ajili ya Jengo,Ofisi au chumba n.k

    Ifahamu Power bank ya umeme,kwa ajili ya Jengo,Ofisi au chumba n.k Katika maisha ya kila siku tuna changamoto ya kukatika kwa umeme kwa maeneo mengi. Kutokuwa na umeme wa kuaminika kunaweza kuathiri shughuli muhimu kama vile mwanga, kuangalia televisheni, na hata matumizi ya vifaa vya...
  10. alpha walk

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba

    habari zenu wakuu nina shida ya chumba cha 25,000 dar es salaam,nipo kwenye changamoto kidogo hivyo siwez kupitia kwa madalali maana gharama zitaongezeka hivyo kwa mwenye kuweza kuniunganisha na mwenye nyumba anaemfaham naomba anisaide,namba yangu ni 0622667749
  11. alpha walk

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba

    habari zenu wakuu nina shida ya chumba cha 25,000 dar es salaam,nipo kwenye changamoto kidogo hivyo siwez kupitia kwa madalali maana gharama zitaongezeka hivyo kwa mwenye kuweza kuniunganisha na mwenye nyumba anaemfaham naomba anisaide,namba yangu ni 0622667749
  12. M

    JamiiForums Tanzania MSAADA; ushauri wenu nahitaji kupanga chumba

    Ndugu zangu watanzania wenzangu habari zenu. Nimechoka life la kuishi kikolabo na rafiki yangu katika utafutaji wa maisha Sasa naona kuwa wakati sahihi wa kwenda kuanza life langu nikijitegemea Kwa kila siku yaan independent Sababu ya kuja katika jukwaa hili ni kuja kuomba ushauri skills and...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Chumba na sebule kinapagishwa.

    Kwa mtu anayehitaji chuma na sebule kinapagishwa tandika mashine ya maji,choo cha ndani,maji,umeme unapatikana.bei 150000 kuanzia miezi 3 na kuendelea.kuna geti pia ni karibu na barabara.
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Adaiwa kujinyonga baada ya kujaribu kumuua mwanae wa kike

    Mwanaume anayejulikana kwa jina Peter Mayala (45) mkazi wa Kijiji cha Mwamagunguli, Manispaa ya Shinyanga, amejiua kwa kujinyonga ndani ya chumba chake cha kulala baada ya kujaribu kumuua mtoto wake wa kike anayeitwa Anna Peter (6) huku chanzo cha tukio kikidaiwa kuwa ni ugomvi wa familia kati...
  15. A

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CCTV Camera kwenye chumba cha kupiga kura

    Moja moja kwa mada: Ili kuondoa haya malalamiko ya wagombea wa CCM kuanzisha vurugu na kuwasingizia wapinzani ili watolewe nje na Police then wao wanabadilisha matokeo then mawakala wanarudishwa ndani kuhesabu, pamoja na hujumu zingine kama kwenda kula chakula ndani watu wanafanya yao. Kwanini...
  16. Varbo

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba Scandinavia country

    Guys rafiki yangu 42yrs( ME) Anatafuta mchumba kutoka nchi za Scandinavia Hasa hasa Sweden. Aliachana na mzungu wake Miaka miwili iliyopita na sasa anataka kupenda Tena! Anawatoto wawili age 10 and 13. Income yupo vzr!! Mwanamke awe 30-38 awe mwafrica kutoka EA.. DM kwa ambar yupo interest
  17. instagram

    JamiiForums Tanzania Joe Biden na Xi Jinping wakutana nchini Peru. Xi akubali kushirikiana na serikali mpya ya Trump

    Rais wa China Xi Jinping amesema yuko tayari kushirikiana na serikali mpya ya Donald Trump kuhakikisha mpito mzuri katika uhusiano wa mataifa yao. Xi alitoa kauli hiyo alipokutana kwa mara ya mwisho na Rais anayemaliza muda wake, Joe Biden, katika mkutano wa Asia-Pacific uliofanyika Lima...
  18. Alex Hamadi Hamis

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba, masters cha kisasa - Mwenge / Sinza / Mlimani City

    Wakuu kwema humu? Nahitaji chumba masters, cha kisasa maeneo ya Mwenge, Mlimani City au Chuo (Ardhi) au Sinza Nataka kuhamia tarehe 1 mpaka 3 December! Bajeti yangu haitazidi 200,000/- TZS Nicheki +255676095799 kama una pictures kwa maeneo hayo. Asanteni
  19. Alex Hamadi Hamis

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba masters, Mwenge / Mlimani City / Mlalakuwa

    Wakuu kwema humu? Nahitaji chumba masters, cha kisasa maeneo ya Mwenge, Mlimani City au Chuo (Ardhi) Nataka kuhamia tarehe 1 mpaka 3 December! Bajeti yangu haitazidi 200,000/- TZS Nicheki +255676095799 kama una pictures kwa maeneo hayo. Asanteni
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Video yaonyesha mabomba ya sindano yanayotuhumiwa kuwa ya Yanga kwenye chumba cha kubadilishia nguo Azam Complex

    Wakuu Kuna hii video imezua mijadala na kuibua tuhuma mbaya kwa klabu ya Yanga kuwa hudungwa Sindano wakati wa mechi zao ambayo mchambuzi wa Soka nchini Jemedari Said amezi-share kupitia ukurasa wake wa Instagram na maelezo haya:
Back
Top Bottom