Wandugu tufahamishane na kushauri hapa kwa manufaa ya watoto wetu. Nimepita ktk shule za msingi mkoani Ruvuma ktk kata moja ya Mshangano. Kwenye shule ya s/m Mshangano kati inawanafunzi 842 na ina madarasa 7, wastani kila darasa wanafunzi 120.
Ina matundu ya vyoo 10, wastani kila tundu watoto...
Inamaana upande moja wa chumba ndiyo kuna kitanda chako na juu ni kitanda cha mtoto au watoto. Wasizidi wawili. Hizi ngazi ndiy pia kabati la kuweka nguo zenu.
Upande wa pili kuna soda bed kama ikitokea unapata mgeni. Coffee tabel ndiyo dining table pia. Kuna jiko la gas hapo pembeni...
Naomba kujua makadirio ya gharama za kufanya finishing chumba kimoja
Vitu vya kufanya
Rough Floor
Mlango wa mbao
Mlango wa Alminium kwa ajili ya toilet
Plaster
Skimming
Blandering
Gypsum board
Rangi
Tiles chumbani
Tiles toilet - juu na ukutano (toilet ina ukubwa wa 2.5m x 2.7m)
Choo cha kukaa...
Habari ya leo.
Miezi kama 3 iliyopita alinitembelea shemeji yangu wa kiume (miaka zaidi ya 30) na alilala chumba cha watoto. Ikumbuke Nina Binti/mtoto wa kike miaka 5, wakati huo niliongea na mama watoto kuwa next time sitaki kuweka utu wa mtoto wangu rehani kwa watu wanaojiita "uncle"
Leo...
Wengi walihama kutoka vijijini kutafuta ya kazi katika miji yenye viwanda. Familia nyingi za vibarua zilimudu kupanga chumba kimoja tu mjini. Vyoo vilikua nje.
Habari zenu jamani,
Napenda kujua gharama za kupiga tiles,Nyumba ipo katika mazingira ya uswahilini. Je, gharama zake zinaweza kuwa kiasi gani chumba kina square mita 9
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.