Naomba kujua gharama za kuweka tiles kwa chumba kimoja

Habari zenu jamani,Napenda kujua gharama za kupiga tiles,Nyumba ipo katika mazingira ya uswahilini,Je gharama zake zinaweza kuwa kiasi gani chumba kina square mita 9
Mkuu !
Gharama hua inategemea unataka aina gani ya tiles, Mara nyingi kama ni chumba basi huwezi kutumia ceramic tiles,
Hivyo unapaswa kutumia granite na nyinginezo, tiles hutofautiana size kuna 30 ×30, 40x40, 50x50,60×60,33×33 40×50, n.k
Mara nyingi vyumbani hushauriwa size ya tiles iwe na uwiano sawa yaan size yake either iwe 40 x40 au 60 x60 , pia hutegemea wewe muhusika unatakaje.

Mfano ukichukua 60x60 hizi hua zinakaa 4 kwa box moja ambalo huweza kujenga eneo la 1.44sqm, hivyo chukua hiyo 9sqm gawanya na 1.44 utapata idadi ya tiles lakini utaongeza box moja kwa ajili ya tahadhali/ri kama kuvunjika n.k

Bei hutofautiana na wapi inatoka kuna Spanish tiles, UEA tiles na zile hapa kwetu Tz ambazo nyingi zinatoka Andika !, bei kuanzia elfu 22- 38 kwa box moja.

Hapo ongeza na grout kama unataka nyumba iwe nzuri, weka na spacing tiles , bei ya fundi ni maelewano ila mara nyingi Sqm 1 huanzia 3500-5000.

Nadhani umenielewa na hati yangu ya kuungaunga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu !
Gharama hua inategemea unataka aina gani ya tiles, Mara nyingi kama ni chumba basi huwezi kutumia ceramic tiles,
Hivyo unapaswa kutumia granite na nyinginezo, tiles hutofautiana size kuna 30 ×30, 40x40, 50x50,60×60,33×33 40×50, n.k
Mkuu kati ya BSM tiles na Twyford ipi bora
 
Mkuu naomba unisaidie, mfano mimi nimejenga frem za biashara sasa fundi kapima ukubwa kwandani ni square meter 20 kila frame eti hapo zitaingia box ngapi zile tiles za size ya kati na inaweza kua bei gani kila box au kwenye frem nashauriwa kuweka size gani, naomba msaada please
 
Tiles znazotumika sana zina ukubwa wa 40x40cm ambapo kigae kimoja kitakua na 0.16 square meter! So chukua 12 square meter gawanya kwa 0.16 square meter ya kigae kimoja unapata vigae 125! Na box znakaa vigae 12 normally so ni box 13 kila frem.
 
Sasa hiyo square meter unaipataje?, Wengine hatukwenda shule?, Yaani utajuaje chumba ni square meter kadhaa?
 
Back
Top Bottom