chuma

Chukwuma Julian "Chuma" Okeke (born August 18, 1998) is an American professional basketball player for the Lakeland Magic of the NBA G League. A power forward, he was drafted 16th overall by the Orlando Magic in the 2019 NBA draft. He played college basketball for the Auburn Tigers.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mbungwa: Ngoma ya Mashetani na wenye mapepo. Kula Chuma hicho.

    MBUNGWA: NGOMA YA MASHETANI NA WENYE MAPEPO. KULA CHUMA HICHO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Narudisha miaka yangu nyuma kidogo. Kumbukumbu zinanichukua na kunipeleka kwa kasi kisha zinapunguza mwendo kwa kasi, polepole naanza kuyaona matukio ya mwaka mpaka mwaka kuanzia miaka ya 1995 mpaka...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Polepole kamilisha kazi ya chuma, tuletee majina halisi ya wauza sembe nchini

    Polepole Polepole Polepole nimekuita mara tatu. Unakumbuka vizuri chuma mwanzoni mwa uongozi wake alitikisa watu kwa kuibua list ya wauza sembe nchini. Wengi walitajwa, na bila shaka chuma aliamua kusitisha ile operesheni. Sasa hebu tuletee list ya wauza Sembe ili Jamii iwaepuke, iwaogope...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ina uhuru na inatajirisha lakini watoto wetu tunawaombea waje kuajiriwa wavae na tai, stress za biashara si mchezo

    Hatuwazungumzii wale wafanyabiashara waliopo angani na helikopta zao, hao ni kwenye ligi ya mbali kabisa. Tunazungumzia kundi kubwa la wafanyabiashara wenye maduka, walioko mtaani, masokoni, n.k. ni pirika-pirika Kuamka alfajiri kurudi usiku daily labda ujipe ka off jumapili Hatuzijui sikukuu...
  4. JamiiForums Tanzania Hatimae Polepole ajibiwa na wana Arusha, kula chuma hichoo

    Arusha miaka kadhaa nyuma ilikua ngome ya chadema Leo hii ni ccm damudamu Fullstop, kwishaaaa
  5. JamiiForums Tanzania CHADEMA: Hatuishindani na CCM, tunashindana na vyombo vya dola

    Cc: Lucas Mwashambwa and ChoiceVariable
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shikamoo Werrason kwa hiki Chuma na huyu Rapa kautendea haki huu Wimbo ambao sasa ni gumzo Congo DR na Kwingineko

  7. N

    JamiiForums Tanzania Isuzu tipa chuma kipo kazini

    ,
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wote JamiiForums na Kwingineko kuleni Chuma hiki cha Ukweli Mchungu

    Kudadadeki.....!!!!!!
  9. JamiiForums Tanzania Aisee unakuta kuna mwamba anaendesha hii chuma. Aisee hongera sanaaa

  10. O

    JamiiForums Tanzania Ukijenga uswahilini hakikisha unakuwa ngangari kama chuma!

    Ni saa mbili na madakika, salaam ndugu wanajukwaa! Uswahilini kuna mengi! Kuna kupigana juju, umbea, majungu, na mengine mengi. Kuna shida moja ambayo huwapata wakazi wa uswahilini, na hii huwapata watu ambao wamejenga kwenye viwanja visivyopimwa! Yaani hivi ni viwanja vya vipimo vya macho na...
  11. JamiiForums Tanzania Chuma bado nyeupe hii, inatakiwa ishindiliwe zaidi.

    Oi bongo dasalama
  12. W

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu kuweka milango ya nje ya chuma

    Wadau nimeona kuweka mlango wa mbao na grill kwa milango ya nje kwenye nyumba ya kuishi haipendezi kama kuweka milango ya chuma hasa ya Uturuki na China. Naona kujua ni milango ipi imara ya chuma na naweza kuipata wapi. Ahsante.
  13. X

    JamiiForums Tanzania Mataifa yote duniani hata yaungane hayaifikii China kwa uzalishaji wa chuma

    Top 10 Steel-Producing Countries in 2024 🏗️ 1. 🇨🇳 China – 1,005 Mt 2. 🇮🇳 India – 149 Mt 3. 🇯🇵 Japan – 84 Mt 4. 🇺🇸 U.S. – 80 Mt 5. 🇷🇺 Russia – 71 Mt 6. 🇰🇷 South Korea – 64 Mt 7. 🇹🇷 Türkiye – 37 Mt 8. 🇩🇪 Germany – 37 Mt 9. 🇧🇷 Brazil – 34 Mt 10. 🇮🇷 Iran – 31 Mt 🌎 Rest of the World – 293Mt (in...
  14. JamiiForums Tanzania Wazazi wa Kitanzania, Wanawake na Mabinti wa Kitanzania hebu kuleni Chuma hiki cha Ukweli Mchungu

    Tafadhali mwenye namba ya Simu ya huyu Dada aje PM anipe ili nimpigie na nimtumie Zawadi kwa kusema huu Ukweli.
  15. JamiiForums Tanzania Jinsia ya kuzuia chuma ulete shambani au kwenye biashara.

    Chuma ulete ni aina ya uchawi unaoaminika kutumiwa kuharibu mazao au kuiba mazao shambani kwa njia za kichawi. Katika tiba asili na mila za Kiafrika, kuna dawa na mbinu mbalimbali zinazotumika kuzuia au kujikinga dhidi ya chuma ulete mashambani. Hapa kuna dawa na mbinu zinazotumika: --- 🧪...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kweli tunaizidi Uchumi maana sisi tunaringa na Tausi wa Ikulu halafu wenzetu wana chuma chakavu hiki😄

    Kabla Jaji aliyekimbia kesi hajapokea maagizo mengine hebu tufanye tena tafakuri ya jambo hili.. Hivi hoja ya kuizidi Uchumi Marekani ilikuwa ni hoja iliyotokana na fikra timilifu za binadamu au zilitokana na wenyeji kumlisha mgeni maharage ya Simiyu yalioungwq na mafuta ya pamba? Au ni upepo...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Ikiwa wanadamu wote wameumbwa kwa udongo, Hawa nusu udongo nusu chuma wametokea sayari gani?

    Salaam, Shalom! Wanadamu wote asili yao ni Adam na Eve, walitokana na udongo. Sasa Leo kuna mtu ameponyokwa neno la Siri na kutudokeza kuwa tuna kiongozi nusu udongo nusu chuma. Je mtu huyu amepata maono kusema jambo hili? Au tuseme naye ameota ndoto kama Mfalme Nebuchadnezzar aliyeona...
  18. JamiiForums Tanzania Bila kuzivunja amri kumi za Mungu hauwezi katu kumiliki hii chuma

    Wakuu, kama mada inavyojieleza hii chuma kwa sisi ngozi nyeus,i bila kuzivunja amri kumi za Mungu tutaendelea tu kuiona barabarani.#noreformnoelection🇹🇿🇹🇿
  19. JamiiForums Tanzania “Mauaji ya Kikatili Kabla ya Kuanguka kwa Utawala wa Iddi Amin: Hofu, Mashaka na Utawala wa Mkono wa Chuma”

    Kabla ya kuanguka kwa utawala wa Iddi Amin Dada nchini Uganda (aliyetawala kutoka 1971 hadi 1979), kulikuwepo na kipindi cha mauaji ya kikatili yaliyofanywa dhidi ya watu aliowahisi au kuwashuku kuwa ni wapinzani wake. Iddi Amin alitawala kwa mkono wa chuma na alihofia sana mapinduzi dhidi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…