Mwanasaikolojia wa Taasisi ya Ustawi wa Jamii Mkoani Dar es Salaam, Zainabu Rashid amezungumzia kuhusu migogoro ya wapendanao wakiwemo wanandoa na wapenzi.
Zainabu anasema: "Sababu inaweza kuwa ni mrundikano wa migogoro. Mtu anapolimbikiza matatizo, yale matatizo ni kama kidonda, kile kidonda...