chochote

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mkristo anayejitambua anajua yeye ni Mwanadiplomasia wa Serikali ya Mungu. Haripoti chochote kwa mtu kabla ya kuongea na Serikali yake.

    Niwatakie jumapili (siku ya kwanza ya juma) njema. " Uraia wetu uko mbinguni" Wafilipi 3:20 Ni hayo tu Mtumishi Matunduizi
  2. JamiiForums Tanzania Wakuu tupige story. Iwe ni kichekesho, mzaha ya kweli au kitu chochote kile huwa ukikumbuka unacheka pekee yako

    Nyuma kabisa kwenye miaka ya 2002 bana nilikuwa copro wa kunyata kiasi kwamba hata nikikanyaga yai halivunjiki namna nilivyokuwa na nyata. Enzi hizo bana simu zilikuwa chache sana kwenye kijiji chetu kama sio kata nzima basi ni mzee wangu pekee ndo alikuwa nayo tena motorola. Basi bro yangu...
  3. JamiiForums Tanzania Fundi simu hapa uliza chochote

    Una changamoto gani kwenye simu yako nikupe solution na bei ya matengenezo Ulizq chochote notakujibu kwenye comment Whatsapp 0757937196
  4. JamiiForums Tanzania Uhalisia ni kwamba,humiliki chochote hapo ulipo,ile gari Yako uliyonunua hivi karibuni siyo Yako,nyumba nzuri uliyojenga siyo yakwako humiliki kitu

    Umiliki na Usajili wa Mali Wapenzi wageni, mabibi na mabwana, leo tunakusanyika kujadili mada muhimu inayohusiana na umiliki na usajili wa mali. Katika ulimwengu wa kisasa, neno "usajili" limekuwa na maana pana, na linaweza kuhusishwa na masuala mengi, ikiwemo usajili wa magari, nyumba, na hata...
  5. JamiiForums Tanzania Polisi tuambieni kuna nini hapo Kanisani kwa Gwajima mbona mnapiga watu ovyo na mko kimya?

    GT Tumezoea police kutoa tahadhari kuhusiana na mikusanyiko yoyote isiyokuwa halali huku wakitoa sababu. Nashangaa hapo kwa Gwajima.kuna shida gani wanapiga watu hovyo sababu zipi? Wanatakiwa watoke hadharani wautaarifu umma kinachoendelea tofauti na hapo sisi tutaendelea kuamini kwamba ni...
  6. JamiiForums Tanzania Wakati mwingine hauhitaji kusema chochote – uwepo wako husema yote

    Kuna aina ya attention haiji kwa makelele, haitegemei pesa wala drama, Inakuja tu bila mimi kuiomba. Nipo tu, lakini watu huwa wananitazama kama najitokeza kwa makusudi. Nikiingia sehemu najua macho yananifuata. Wengine wanajifanya hawaniangalii, lakini najua presence yangu imebadilisha...
  7. V

    JamiiForums Tanzania Wanaodai hawatumii kilevi chochote ila Wine wanakunywa imekaaje hii?

    Tujadili mada ya hapo juu, binafsi sielewi
  8. JamiiForums Tanzania Shilingi ya Tanzania inaporomoka, wachumi wetu mbona hamuongei chochote?

    Wachumi mbona mpo kimya na hamna maelezo? Waziri mwenye dhamana,nini kinaendelea katika uchumi wetu?
  9. JamiiForums Tanzania Israel kufunga anga ya Yemeni, kutia uzio angani, hamna chochote kitapaa au kutua

    Hii wamesema baada ya wao kupiga ndege iliyokua imesalia uwanjani, uwezo wa kufunga anga wanayo, nia wanayo na sababu za kufunga wanazo..... Hawa wana wa Yakubu walibarikiwa sana, ukizingatia makobaz bilioni mbili duniani yamekua yakiomba Israel wafutwe kwenye ramani ila itakua wanayemuabudu...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Salum Mwalim hakuhamia ACT Wazalendo ambapo angeweza kupata chochote upande wa Zanzibar?

    Nikitafakari hili swali ndiyo napata uhakika kwamba CHAUMMA ni CHAMA CHA UDALALI NA MAPANDIKIZI YA MAMA. Mtu angeweza kupata kanafasi hata ka uwakilishi kule viunga vya Kizimkazi kupitia ACT ila unaona kwa kuwa ni mkataba lazima utekelezwe. Kazi kwenu madalali wa MAMA.
  11. JamiiForums Tanzania Vijana wa CCM wanaushawishi kuliko G55. Hii ni kusema G55 ni Liability na sio tishio kwa chama chochote Kikubwa hapa nchini.

    Wanakwenda Kuumia! Hiya ndio salamu inayoendana na Uzi huu. Kwenye hii nchi hasa ukiwa mpinzani hakikisha chama tawala kitamani kuwa na mtu dizaini yako ndani ya CCM. Lakini kama wewe ni Mburuja, ambaye uwezo wako mdogo, elimu duni ta kuungaunga, huna kipaji wala karama yoyote. Vijana wengi...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa anaye hitaji kitu chochote kutoka Dar kimfikie alipo

    Wapendwa Habarini!! Leo nipo mbele yenu kwa wote ambao mpo mikoani na mnauhitaji wa bidhaa au mzigo wowote kama (Sim, electronics parts eg tv/redio, spare parts za magari na n.k) chakufanya wasasiliana nami utapata gharama zote za mzigo unao uhitaji mbaka pale ulipo kwa uaminifu mkubwa...
  13. JamiiForums Tanzania Sijafanya kitu chochote cha maana katika maisha yangu na nina umri wa miaka 32. Je, hii ni kawaida?

    Hakuna kitu katika maisha kitakachobadilika hadi tubadilike sisi wenyewe. Kulaumu hali, watu wengine, au hata bahati mbaya kunaweza kuonekana kuwa sawa kwa sasa, lakini huku kunatuacha bila nguvu. Unapoelekeza kidole chako kwa mtu mwingine kama sababu, unampa udhibiti wa maisha yako kwa nguvu...
  14. JamiiForums Tanzania Mboga unayoweza kula na chakula chochote

    Kama unapenda ubunifu wa mapishi mbalimbali ya mboga basi pitia huu uzi Unajua ufundi na ladha viko kwenye mboga na sio ugali au ubwamba?
  15. JamiiForums Tanzania Chochote kinaweza Tokea

    Kwenye Safari ya Maisha, Kwenye Kila Jambo au Makubaliano lolote linaweza tokea mda wowote. Usiamini Mtu yeyote katika Haya Maisha Jambo lolote linaweza tokea. Kwenye huu ulimwengu wa Sasa ambao ukweli unazidi kupotea ishi ukiamini chochote kitatokea, andaa akili kupokea Baya na zuri mda wowote.
  16. JamiiForums Tanzania Ma Mc's ( washehereshaji a.k.a wasema chochote) acheni hii tabia ya kitoto

    Ma Mc's katika sherehe mbali mbali za wafanyakazi za meimosi....Hivi kwa nini hamuwezi maliza kutusherehesha bila kuita tupite mbele tucheze kwaito? Tena muda mwingine mnatutoa mbele ya watoto zetu na familia zetu. Acheni huu utoto. Acheni huu ujinga mara moja.
  17. JamiiForums Tanzania Midoli: naomba kujuzwa chochote unacho kijua kuhusu midoli

    Wakuu, natumaini mnaendelea vizuri na majukumu yenu ya kila siku. Kuna huu mjadala nimeukuta somewhere lakini nikaona si mbaya kama nikiuletajamvini hapa sote tuchangie mawazo. Suala ni kuhusu hii midoli yenye wadadawanapenda kuweka ndani au watoto kuchezea...baadhi ya watu wamekuwa wakitoa...
  18. JamiiForums Tanzania Siri za Muungano!. Muungano Ulikuwa Siri Kubwa!, Kumbe Uliridhiwa na Pande Zote ZnZ na Tanganyika!. Ile 26/04/64 Hakukufanyika Chochote Hadi 1965!.

    Wanabodi Nafuatilia matangazo mubashara ya TBC kuhusu maadhimisho ya miaka 61 ya Muungano wetu adhimu na adimu. Naibu Kipoa, bu Mkuu wa OMR Muungano na Mazingira, Hassan Mitawi, ametoa baadhi ya siri za Muungano, ambazo wengi wetu hatukuwahi kuzijua ndio nimezijua leo. Mitawi aliyaeleza hayo...
  19. JamiiForums Tanzania Uliza chochote kwa lugha yeyote utajibiwa!

    Salamu wakuu! Leo nimeona nishee nanyi hii kitu, Fanya hv andika hii namba kwenye simu Yako +1 800-242-8478 Kisha Isave ujuavyo, Kisha nenda whatsup itafute, ukishaipata kwenye sehemu ya kutafuta majina ya namba ulizosevu, Anza kuchat nayo italeta jina chatGPT ukiwa unachat nayo! Hapo...
  20. JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara wa Vijora na Vitambaa, karibu uulize chochote kuhusiana na hiyo biashara

    Karibuni sana wakuu! Mimi ni mfanyabiashara wa vijora na vitambaa. Mnaweza kuuliza chochote kuhusu biashara hii niko hapa kwa ajili yenu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…