china

  1. R

    JamiiForums Tanzania China inapinga vikali mataifa ya nje kuingilia masuala ya ndani ya Tanzania

    Mwanadiplomasia mkubwa ambae pia ni Waziri wa mambo ya nje Jamuhuri ya watu wa China, Wang Yi, Januari 10, 2026 alipofanya ziara Ikulu Jijini Dar es Salaam alitoa kauli ya kuonya Mataifa ya kigeni kuingilia masuala ya ndani ya taifa la Tanzania hususan kuhusu uchaguzi uliopita 2025 Wang Yi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania, China Cement Strategic Ties as Wang Yi Pledges Support for TAZARA Revitalization

    DAR ES SALAAM – Tanzania and China have reaffirmed their long-standing strategic partnership, with a renewed focus on modernizing the historic TAZARA railway and addressing trade imbalances. The commitment came during high-level talks held today at the State House in Dar es Salaam between...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Watu wa China, Wang Yi, awasili Dar

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Watu wa China, Mheshimiwa Wang Yi, amewasili Dar es Salaam, Tanzania, kwa ziara ya kikazi ya siku mbili kuanzia tarehe 9 hadi 10 Januari 2026. Katika Uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es...
  4. JamiiForums Tanzania China yasaidia Afrika kuingia katika zama za kidijitali

    Katika enzi ambapo utandawazi na Mapinduzi ya Nne ya Viwanda yanapokutana, mageuzi ya kidijitali yamekuwa nguvu muhimu ya kuhimiza maendeleo. Kwa bara la Afrika, mageuzi ya kidijitali si kama tu ni fursa ya kihistoria ya kutimiza maendeleo endelevu, bali pia ni njia kuu ya kutekeleza Ajenda ya...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Swali la kizushi: USA inaweza ”kuzichapa" Russia na China ikizuka vita kugombea Venezuela?

    China na Russia wana maslahi makubwa Venezuela. Wana biashara ya mafuta. Leo USA amekamata meli za Russia. Suppose China na Russia wanaamua kuingia kwenye vita na USA, nani atatoka mshindi! Denmark anaimudu maana anataka kuinyakua Greenland for security reasons!
  6. JamiiForums Tanzania Mwaka 2026 Trump na harakati zake za MAKE AMERICA GREAT AGAIN na kufubaza ushawishi wa RUSSIA na CHINA

    Huyu Trump anazidi kuwa pasua kichwa, mwaka jana alipasua Iran nuclear facilities bila hata ya kujali uwepo wa wanasayansi kutoka RUSSIA katika majengo. Mwaka huu ameenda kumnyakua kama panya road Maduro ambaye ni raisi wa Venezuela, kumbuka Venezuela ni mshirika wa RUSSIA na CHINA. Kama hiyo...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mpango wa Trump kuchukua mafuta Venezuela yamkasirisha China, bei imeshuka

    Bei ya mafuta duniani ilishuka baada ya taarifa kwamba Marekani imefikia makubaliano na Venezuela ili kupokea hadi dola bilioni 2 za mafuta yaliyokuwa yakipelekwa China, hatua iliyosababisha mkanganyiko wa kisiasa na uchumi kwenye soko la nishati. Rais Donald Trump alitangaza kwamba Marekani...
  8. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Greenland kwa USA, CHINA na RUSSIA. Mwaka huu tutegemee migogoro mingi mikubwa

    Lengo la Marekani (USA) kutaka kudhibiti au kuwa na ushawishi juu ya Greenland halimaanishi tu “kuitwaa ardhi”, bali linahusiana na maslahi makubwa ya kimkakati, kiusalama na kiuchumi. Kwa ufupi, sababu kuu ni hizi: 1. Usalama wa Kijeshi (Military & National Security) Greenland iko katikati ya...
  9. JamiiForums Tanzania Hii ni apartment hipo china unaweza kuishi

    Nahisi idadi ya watu na ukosefu wa maeneo kama mijini kunachangia kujengwa majengo marefu watu waweze kuishi. Imagine kama ni moto japo gorofa lina uimara.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Muunganiko wa maendeleo ya miji na vijiji nchini China yahimiza ukuaji wa miji

    Mwanzoni wakati China inaanza kutekeleza sera ya mageuzi na ufunguaji mlango, serikali ilichagua maeneo ya mashariki kuwa ya mwanzo kujipatia maendeleo. Baada ya maeneo hayo kupiga hatua yakaanza kutumia uwezo wake kiuchumi kuhimiza maendeleo ya maeneo ya magharibi yaliyokuwa nyuma kiuchumi...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Warsha inayofadhiliwa na China yaboresha uwezo wa biashara wa wajasiriamali wanawake wa Ethiopia

    Hanan Ahmed, mmoja wa wajasiriamali 66 wa Ethiopia waliohudhuria warsha ya Programu ya Uwezeshaji wa Ujasiriamali wa Wanawake Duniani (GFEEP) inayofadhiliwa na China huko Addis Ababa, nchini Ethiopia, alikamilisha programu hiyo akiwa na moyo wa mafanikio na ujuzi mpya alioupata katika masuala ya...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Inashangaza kuona China anayeikalia Taiwan na Russia aliyevamia Ukraine anailaumu USA kuivamia Venezuela

    Russia imeivamia Ukraine, inaua watu, uchumi etc etc China "inaikalia" Taiwan kinyume na matakwa ya wananchi wa Taiwan. Leo wanatoka na matamko ya kuilaani USA. Moral authority hawana kuisema USA!
  13. R

    JamiiForums Tanzania China yakosoa Marekani kwa kujifanya HAKIMU WA DUNIA baada ya kumkamata Maduro

    Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Wang Yi, amesema Beijing haiwezi kukubali nchi yoyote kujitwalia nafasi ya kuwa “hakimu wa dunia” au “polisi wa dunia,” akitoa kauli hiyo kufuatia kukamatwa kwa Rais wa Venezuela, Nicolás Maduro, na Marekani. Akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Pakistan...
  14. JamiiForums Tanzania People in the Global South are asking why Russia and China are not intervening in Venezuela instead of just issuing condemnations?

    People in the Global South are asking why Russia and China are not intervening in Venezuela instead of just issuing condemnations. The truth is that China’s and Russia’s lack of physical intervention highlights the often unspoken cold realities of geopolitics. Like everything in geopolitics...
  15. X

    JamiiForums Tanzania Kwanini China haiingilii kati kusaidia mataifa mengine yanapovamiwa na nchi za Magharibi?

    Kumekuwa na upotoshaji mkubwa sana kuhusu China kutoingilia kati pale mataifa ambayo yamekuwa na uhusiano wa karibu na China yanapovamiwa. Wengine wamefikia hatua ya kusema China ni waoga na sio wa kuwaamini. Gumzo lilianza Marekani na washirika wake walipovamia Syria na Iran na sasa...
  16. JamiiForums Tanzania Russia na China si Marafiki wa kuwaamini ni Mbwa wanaobweka sana lakini hawaumi.

    Russia na China ni kama mbwa wanaobweka sana.. lakini hawaumi. Siku ukiibiwa unasema usiku mbwa walibweka sana. Ila ndo umeshaibiwa tayari. Maduro kachukuliwa Venezuela huku Maafisa wa China wakiwa wameenda kuongeq naye. Yaani siku unaenda kulipia mahari unafika baada ya muda unaambiwa...
  17. JamiiForums Tanzania Yanayojiri Venezuela na Duniani baada ya Kunyakuliwa Nicolas Maduro. Russia, China na USA

    Venezuela ilikuwa ikitizamwa kwa macho ya matamanio na mataifa haya makubwa ya RUSSIA, CHINA na USA. Kwa muda mrefu. USA amewahi kuinyakua makusudi akijua kama angechelewa wenzake wangefaidika nayo.
  18. R

    JamiiForums Tanzania China: Release Maduro immeatdiately

    Kesho Trump anaweza kuwa Shangai Detention Centre ya China😄😄😀😅😆 --- China has called on the United States to immediately release Venezuelan President Nicolas Maduro after Washington carried out massive military strikes on the capital, Caracas, as well as other regions, and abducted the leader...
  19. JamiiForums Tanzania China ndio Sababu ya Maduro kutekwa na Marekani, Mchina ni tishio kwa Mmarekani

    Namna Marekani alivyocheza karata zake kwa Venezuela ni kama Demu mkali ale vitu vyako alafu kisha hakukatae badae unamuona anajibebisha kwa mwamba mwingine ambaye wewe ni kama mshindani wake wa muda mrefu, unaamua kumteka demu na kuondoka nae kwa nguvu hili awe na wewe kwa lazima. Hakuna...
  20. JamiiForums Tanzania Trump ametumia saa mbili tu kukifanya kitu kilichomshinda Putin kwa miaka 3

    Zelensky ana akili kubwa sana, ni vile tu hana resources!!! Putin alishafanya majaribio mengi sana ya kumteka Zele lakini wapiii Kwenye kitengo cha utekaji mrusi kazidiwa mpaka na wasiojulikana Trump anairudisha ile marekani ya kwenye TV na muvi za kijasusi. Imagine unakuja kukamatwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…