china

  1. L

    Ushirikiano wa masuala ya bahari kati ya Namibia na China umepata maendeleo makubwa

    China ni nchi kubwa inayoendelea ambayo imekuwa na ushirikiano wa karibu na nchi nyingine zinazoendelea, zikiwemo za Afrika. Ushirikiano huu unajumuisha sekta mbalimbali ikiwemo elimu, uchumi na biashara, utamaduni, ujenzi wa miradi mikubwa ya miundombinu, na pia mabadilishano ya watu na watu...
  2. Mi mi

    Gwaride la kijeshi la China la Septemba 3 litaonyesha silaha na vifaa vilivyoboreshwa.

    Gwaride la kijeshi la China la Septemba 3 litaonyesha silaha na vifaa vilivyoboreshwa. Xinhua|June 24,2025 The weapons and equipment to be displayed in China's Sept. 3 military parade embody the Chinese military's system-based combat capabilities, new-domain and new-quality combat strength and...
  3. matunduizi

    Ubalozi wetu China unamchango gani katika kuwatafutia masoko wa kulima KWA mazao ambayo yameruhusiwa kuingia CHINA Bure?

    Nasikia Tanzania umepata fursa ya kupeleka china Bure ( bila kukatwa ushuru etc) KWA maZao 18 ya kilimo. Nimemsikia jamaa mmoja TikTok anadai ni muwakilishi wa watanzania wanaoishi china akisifia jambo hilo. Ilipokuja suala la masoko ya kupeleka hizo Bidhaa akaanza kujiumauma, mara watu sijui...
  4. 1Africa54

    China kujenga bwawa kubwa zaidi duniani Tibet kwa gharama inayozidi bajeti ya mataifa kadhaa Afrika

    China imeanza maandalizi ya mradi mkubwa wa ujenzi wa bwawa la kuzalisha umeme kwenye ukingo wa mashariki wa jimbo la Tibet, katika mto Yarlung Tsangpo. Bwawa hili linatarajiwa kuwa kubwa zaidi duniani, likigharimu takriban dola za Kimarekani bilioni 170, sawa na takriban TZS trilioni 443.5...
  5. Papillon 1906

    China imefungia Mtandao wa Onlyfans ikitaja kuwa chanzo cha Mmomonyoko wa Maadili

    Serikali ya China imefunga rasmi jukwaa la OnlyFans, ikilitaja kuwa ni mfano wa mmomonyoko wa maadili kutoka Magharibi. Hatua hiyo imechukuliwa baada ya jukwaa hilo kufunguka kwa muda mfupi bila VPN, hali iliyozua hisia kuwa huenda sera zimelegezwa, lakini marufuku ikarejeshwa haraka China...
  6. K

    Ushauri Polepole nenda kwa Marafiki zako wa China ondoka Miami kwa mabeberu!

    Ushauri Polepole nenda kwa Marafiki zako wa China ondoka Miami, Florida kwa mabeberu!. Kama kweli walikuwa wanakupenda wakati wa Magu watakupa hifadhi huko. Maama kumbukumbu zinaonyesha ulikuwa kinara wa kupiga kelele na kusema USA ni kwa mabeberu na wakati tukipigania mifumo wewe ulikuwa busy...
  7. Kijakazi

    Dira ya Tanzania ya 2050 imeandikwa na China?

    Kwamba miaka 25 ijayo ndiyo tutaweza kuwa low middle income country, ndiyo tutaweza kujilisha, yaani miaka 25 ndiyo tuanze kuwa China ilipokuwa miaka ya 70? Mambo mengi hiyo dira yanaweza kutatuliwa ndani ya miaka 5 tu with a good leadership kwanini tusuburi miaka 25 ? Kwa hiyo mpaka tufike...
  8. Prof_Adventure_guide

    Mbinu za kimafanikio kwa wafanyabiashara wadogo; Maarifa niliyoyapata kutoka China

    Ndugu zangu wafanyabiashara wadogo na wa kati. Katika pitapita zangu za mara kwa mara nchini China nchi ambayo ni epicenter ya ubunifu wa kiuchumi na biashara nimefanya research nyingi sana, nikiwa na nia ya kujifunza, kuchambua na kutathmini mbinu zao za mafanikio. Nacho nimejifunza ni hiki...
  9. Fascinating

    NVIDIA Kuendelea kuuza Chip za H20 China, Ni ishara kuwa sera za Trump zinachemka?

    Vikwazo ni suala moja, lakini kuvitekeleza ni suala jingine kabisa. Wavuvi wanasema, “Paka hawezi kumjeruria Mpishi“ 😂 Wazee wa teknolojia! NVIDIA imetangaza kurudi China bana . Juzi (jumatatu), kampuni hiyo ilisema inawasilisha maombi ya leseni kwa serikali ya Marekani ili kuruhusu mauzo ya GPU...
  10. The Zanzibar Echo

    China yaahidi kuendelea kuisaidia Urusi

    Rais wa China, Xi Jinping katika mkutano wake na Waziri wa Mambo ya Nje ya Urusi, Sergei Lavrov, mjini Tianjin, amesema nchi hizo mbili zinapaswa "kuimarisha uungaji mkono wa pande zote. Xi amesema China na Urusi zinatakiwa kufanya kazi pamoja kuziunganisha nchi za kusini mwa dunia na kukuza...
  11. Webabu

    China imeshasema haitakubali Urusi ishindwe na Ukraine kwa msaada wa NATO

    Dunia ijitayarishe kushuhudia vita vya kweli vya tatu vya dunia kutokana na mzozo wa Ukraine na Gaza. Kwa upande wa Gaza kinachoendelea ni rehma za Allah kuonesha uwezo wake ambapo Marekani na ukubwa wake na ukatili wa Israel inayoshirikiana nayo wataangushwa chini na watu dhaifu kuliko wote...
  12. F

    Wewe unakwenda China, Wachina wanatoka China kuja kutafuta fursa kijijini kwako!

    Wewe upo China, wachina wapo kijijini kwako! Ni ajabu embu sikiliza kidogo hapo kutoka kwa Anthony Mtaka.
  13. General Mangi

    Je, Rais wa China yupo Kizuizini kwa Uangalizi wa Jeshi?

    Kutoka BBC Swahili 10 Julai 2025 Habari za magazeti ya Uingereza zinaangazia wasiwasi unaoongezeka kuhusu machafuko ya ndani nchini China, huku kukiwa na ripoti za mvutano kati ya Rais Xi Jinping na baadhi ya viongozi wa kijeshi. Makala katika gazeti la The Telegraph la Uingereza inaonya juu...
  14. DuaZaMama

    China yaandika historia kwa mchuwano wa kwanza wa soka wa Roboti wanaojiendesha wenyewe

    Kwa mara ya kwanza, China imeandaa mechi ya soka inayochezwa na roboti wa umbo la binadamu (humanoid robots) wanaojiendesha kikamilifu kwa kutumia akili bandia (AI), bila msaada wa binadamu wakati wa mchezo. Kwa mujibu wa shirika la habari la Associated Press (AP), mechi hiyo ilifanyika...
  15. X

    Mataifa yote duniani hata yaungane hayaifikii China kwa uzalishaji wa chuma

    Top 10 Steel-Producing Countries in 2024 🏗️ 1. 🇨🇳 China – 1,005 Mt 2. 🇮🇳 India – 149 Mt 3. 🇯🇵 Japan – 84 Mt 4. 🇺🇸 U.S. – 80 Mt 5. 🇷🇺 Russia – 71 Mt 6. 🇰🇷 South Korea – 64 Mt 7. 🇹🇷 Türkiye – 37 Mt 8. 🇩🇪 Germany – 37 Mt 9. 🇧🇷 Brazil – 34 Mt 10. 🇮🇷 Iran – 31 Mt 🌎 Rest of the World – 293Mt (in...
  16. The Zanzibar Echo

    China yamuonya Trump juu ya ushuru, yatishia kulipiza kisasi

    China umeuonya utawala wa Trump siku ya Jumanne dhidi ya kuzidisha mvutano wa kibiashara ikiwa itarejesha ushuru kwa bidhaa zake mwezi ujao, na kutishia kulipiza kisasi dhidi ya mataifa ambayo yanaingia mikataba na Marekani ili kuiondoa China katika minyororo ya usambazaji. Washington na...
  17. Papillon 1906

    New law on divorce in China

    China has a new divorce law effective 1 February 2025. Previous all properties owned by either spouse will be equally divided during divorce, now the rule is a lot simpler. Whoever paid for it owns it after divorce even if the wife's name was added to the title after marriage. And houses...
  18. Yoda

    Trump apuuza umeme wa jua(solar) China ikichanja mbuga, Elon Musk alia solar kutelekezwa

    Trump ansema hapendi kutazama paneli za solar na na mapangaboi ya upepo, vinaharibu tu mandhari ya mashamba, anapendelea zaidi makaa ya mawe! Marekani haijawahi kuwa na rais mjinga kama huyu. China wao wanaendelea kuwekeza kwenye umeme wa juu kila kukicha na umeme wa solar pekee wanaozalisha...
  19. Mad Max

    Meli kutoka China iliyokua na magari zaidi ya 3,000 kuelekea Mexico imezama!

    Meli inayoenda kwa jina la "Morning Midas" ikiwa imebeba bidhaa za mafuta pamoja na magari zaidi ya 3,000 kutoka China imezama baada ya kushika moto. Baada ya kushika moto, crew members 22 waliomo walishindwa kuzima wakaona isiwe tabu waka abandon. Hadi sasa chanzo cha moto hakijabainishwa...
  20. The Zanzibar Echo

    China na Marekani zalegeza masharti ya kibiashara

    China na Marekani zimeridhia kulegeza masharti ya kibiashara huku China ikisema itapitia upya na kuidhinisha maombi ya usafirishaji wa bidhaa yatakayoendana na kanuni zilizopo. Marekani nayo ikiondoa hatua kali za kibiashara ilizoiwekea China. Awali Rais wa Marekani Donald Trump alitangaza...
Back
Top Bottom