china

  1. JamiiForums Tanzania India yakataa vifaa vya kupima virusi kutoka China

    Vifaa hivyo vilitarajiwa kugundua antobody katika damu ya wagonjwa wa virusi vya corona India imesitisha uagizaji wa karibu vifaa nusu milioni vya kupimia virusi vya corona kutoka China baada ya kubainika kuwa vifaa hivyo ''Vina dosari''. Mji wa Delhi pia umeondoa vifaa ambavyo tayari vilikuwa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania China watataka dunia nzima wawe wao tu - Marehemu Askofu Kulola

    Nimemkumbuka Askofu Kulola Leo sikuwahi kusali wala kuhudhuria moja kwa moja katika kanisa lake lakini naheshimu huduma yake sana alipita vijiji vingi karibu 8000 kipindi hicho ndio muhubiri aliyetembea sana kwa miguu na kufika vijiji Vingi kuhubiri kabla ya kuhubiri mijini.Na alihubiri neno na...
  3. JamiiForums Tanzania China lazima iwajibike kwa uzembe iliyofanya Wuhan kusababisha janga la covid-19 Duniani

    Wana JF, Janga la Covid-19 lilianzia nchini China katika mji wa Wuhan-Hubei Province mwezi Desemba 2019! Mpaka leo Taifa la China halijaweka hadharani nini hasa kilitokea kwenye Maabara za WUHAN Institute of Vilorogy(WIV) hadi kupelekea mlipuko huu wa Covid-19. China imeshakiri kuwa kabla ya...
  4. JamiiForums Tanzania Naona chuki kati ya Urusi na China ikikua kwa mbali

    Hapo vip!! Ni ukweli ulio wazi ya kwamba china na urusi ni marafiki tena wa kushibana wa muda mrefu sana...ila nina wasiwasi urafiki huu ukachafuliwa na dowa la CORONA-COV19. Ishara hii imeanza kuonekana baada ya mwanasayansi mkubwa wa Urusi kuinyooshea china kidole yakwamba ndio anayehusika...
  5. M

    JamiiForums Tanzania U S Warships enters disputed South China sea as tensions escalate .

    © Adam Dean for The New York Times A view of Scarborough Shoal, now effectively controlled by China. The Chinese government has made vast claims to the South China Sea that conflict with demarcations made by five other governments. American warships have sailed into disputed waters in the South...
  6. JamiiForums Tanzania MixTule: Mixture of Vegetables as a Potential Prophylaxis, Cure and Remedy for COVID-19

    There is a sharp contrast between how African nations and the rest of the World utilized traditional medicine in the fight against COVID-19 pandemic outbreak. In Africa, the African traditional medicine was hardly given a chance to fight the epidemic. In Asia, traditional medicine was central to...
  7. JamiiForums Tanzania CHINA: Marekani iwajibike kwa kueneza UKIMWI Duniani na seasonal flue mwaka 2009 maana chimbuko la H1N1 na UKIMWI ni Marekani

    Je, Marekani imelipa hasara kutokana na majanga ya H1N1, UKIMWI na msukosuko wa fedha duniani? Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Geng Shuang amesema, Marekani inapaswa kufahamu kuwa adui wao ni virusi, sio China, kwani kama nchi nyingine, China pia ni mwathirika wa maambukizi ya virusi...
  8. M

    JamiiForums Tanzania South Africa angrily attack China after a leaked messages from a chat Group..

    On the 18th of April, Saturday evening, A lot happened on twitter between Chinese and south Africans after a screenshot emerged of a secret social media group of racist Chinese People. A screenshot from the group had leaked out. The screenshot was filled with hate messages from Chinese People...
  9. JamiiForums Tanzania Wachina wakutwa na hatia ya kuwatupa wazamiaji wawili wa Tanzania baharini

    Wachina saba wamekutwa na hatia ya kujaribu kuwaua watanzania wawili kwa kuwatupa baharini karibu na mwambao wa KwaZulu Natal, mwezi uliopita Amiri Salamu(20) na Hassani Rajabu(30) walitoswa baharini wakiwa wamepewa ‘life jackets’ na chupa za maji wakaamriwa kuogelea. Siku tatu baadae...
  10. JamiiForums Tanzania China yatangaza vifo vipya baada ya Marekani kutishia kufanya uchunguzi

    Baada ya Marekani kuwa na Mashaka na china juu ya takwimu alizotoa na kusema atafanya uchunguzi mwenyewe ili kuthibitisha hiyo idadi, china imetoa ripoti mpya inayoonesha vifo 1,290 na kujitetea kwamba ilikuwa umesahaulika hivyo kufanya vifo kufikia 4,623 na wagonjwa 82,692 ikiwa ni ongezeko la...
  11. JamiiForums Tanzania Uchumi wa China wadorora kwa 6.8% kutokana na Coronavirus

    Kwa mara ya kwanza baada ya miaka hamsini, uchumi wa China umepungua kwa asilimia 6.8, ofisi ya takwimu ya nchi hiyo imebainisha Wachambuzi wa kiuchumi wametahadharisha kuwa uchumi unaweza ukasinyaa zaidi kutokana na kushuka kwa uhitaji wa bidhaa za kutoka China kwa mataifa mengine Pato la...
  12. M

    JamiiForums Tanzania United States finally Bows, asks help with Covid-19 from China ...

    (Donald Trump President of the USA) United State being a strong opponent and critic of China has finally succumbed to unforeseen COVID-19 crisis. This comes despite the recent racist remarks from President Donald Trump against China terming COVID-19 a 'Chinese virus'. The state of Illinois in...
  13. JamiiForums Tanzania China yaiomba Marekani kutimiza wajibu wake kwa WHO

    China imeiomba Marekani hii leo kutimiza wajibu wake kwa shirika la afya ulimwenguni, WHO baada ya Rais Donald Trump kusimamisha ufadhili kwa shirika hilo akilituhumu kushindwa kulishughulikia ipasavyo janga la virusi vya corona. Waziri wa mambo ya kigeni wa China Zhao Lijian amewaambia...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hii Twitter ya Trump akiipongeza China kwa kupambana dhidi ya Corona wamemuona mnafiki

    President Trump kaifutia WHO msaada wa fedha akidai WHO imekuwa upande wa China kwa kuipongeza kwenye kupambana na Coronavirus. Cha ajabu hata yeye aliisifia China January 24.
  15. M

    JamiiForums Tanzania China will find out the "Concequences "as it happens Trump roers

    In the midst of rising Coronavirus cases in US, President Donald Trump in his press address hits out at a correspondent when approached about ramifications for China Donald Trump In the midst of rising Coronavirus cases in United States, President Donald Trump on Monday in his press address...
  16. JamiiForums Tanzania China yakutana na Mabalozi wa Afrika nchini China imewahakikishia waafrika waishio nchini China usawa

    Mabalozi wa Nchi za Afrika wamekutana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje China, Chen Xiaoding kuzungumzia changamoto zinazowakabili baadhi ya raia wa Afrika katika mji wa Guangzhou, Chen amewaeleaza Mabalozi kwamba Serikali ya China haiungi mkono vitendo vya ubaguzi dhidi ya yeyote. Kuhusu...
  17. JamiiForums Tanzania Kinachowatokea waafrika wenzetu huko China ni kweli -Video.

    Angalia dakika 3 za mwanzo.
  18. K

    JamiiForums Tanzania CHINA DASHENG BANK (CDBL), Benki mpya inayotishia soko.

    Taarifa za fedha za mabenki kwa robo ya tatu ya mwaka 2019 zimetolewa kuanzia mwezi wa tisa mwishoni na mwezi wa kumi katika vyombo mbalimbali vya habari hasa magazeti kama ambavyo kanuni ya mabenki na taasisi za fedha ya mwaka 2014 inaelekeza. Kiujumla kumekuwa na kupanda kwa faida kwa mabenki...
  19. JamiiForums Tanzania Barua ya US Congress kwenda WHO wakiituhumu kushirikiana na China kusambaza virusi vya corona

    Baraza la Congress la Marekani limemwandikia barua Tedros Adhamon ambaye ni DG wa WHO likimtuhumu kuisaidia China kwenye mpango wake wa siri kueneza COVID19 duniani kwa Makusudi. Jisomee mwenyewe hapa👇: April 9, 2020 Dr. Tedros Adhanom Ghebreyesus Director-General World Health Organization 20...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…