Kila siku anafanyiwa interviews na press conferences anafanya lakini sijawahi kusikia akiulizwa hili swali kabisa, Jamaa huwa anajinasibu kwamba yeye ni msomi aliyebobea.
Binafsi nilimsikia kipindi cha amplifier akihojiwa na Millard Ayo akijinasibu kwamba anayo DEGREE YA MASS COMMUNICATION toka...
Maonyesho ya kimataifa ya biashara ya Guangdong awamu ya 130 ambayo ni maarufu kwa jina la Canton Fair yamefunguliwa tarehe 15 Oktoba mjini Guangzhou. Maonyesho haya yanatajwa kuwa ni maonyesho ya muda mrefu zaidi na endelevu zaidi kati ya maonyesho yote ya kimataifa ya biashara duniani hadi...
Works during construction of phase 2 of the Standard gauge Railway in June 2018. PHOTO | FRANCIS NDERITU | NMG
Kenya led the world in completing China-funded mega projects ahead of schedule under Beijing’s global infrastructure development strategy, findings of a new study by a top US research...
Waziri wa biashara wa Marekani Gina Raimondo ameviambia vyombo vya habari vya nchi hiyo kuwa nchi hiyo inapaswa kushirikiana na washirika wake wa Ulaya ili kuzuia China kupata teknolojia ya hali ya juu na kupunguza kasi ya maendeleo ya uvumbuzi ya China. Pia ametaja kuwa kanuni za sekta ya...
Waziri wa Ulinzi wa Taiwan ameonya kuwa mvutano wa kijeshi dhidi ya China umefikia hatua mbaya zaidi katika kipindi cha miaka 40 na ametoa tahadhari uwezekano wa mashumbulizi kati ya nchi hizo mbili.
----
Uhusiano wa kijeshi na China ni mbaya zaidi katika miaka 40, waziri wa ulinzi wa Taiwan...
Taiwan inasema imeshuhudia ndege 38 zikiingia kwenye eneo lake la ulinzi
2 Oktoba 2021
Uvamizi huo wa Ijumaa uluihusisha ndege za kivita aina ya jet J-16 jets (kama zinavyoonekana kwenye picha hii ya maktaba), Taiwan imesema
Taiwan imeripoti kuwa ndege za kijeshi za Uchina 38 zimepaa na...
Tanzania na Watanzania wenzangu mmeshuhudia kwa macho yenu kwamba vitu vimepanda Bei Mara dufu hasa vinavyotoka China na ulaya, hali ya maisha imekuwa mbaya Sana, uchumi wa dunia umetetereka.
Tanzania tutegemee maisha kuwa makali zaidi, nchini China kuna shida kubwa ya umeme iliyosabishwa na...
Rais Vladimir Putin wa Russia amesisitiza kuendelezwa mashirikiano ya pamoja baina ya nchi yake na China.
Putin ametoa sisitizo hilo katika salamu alizomtumia Rais Xi Jinping wa China kwa mnasaba wa maadhimisho ya mwaka wa 72 wa kuasisiwa Jamhuri ya Watu wa China.
Katika salamu zake hizo, Rais...
Haya ni maneno kutoka kwa moja ya wateja wetu: Wa kampuni ya AA Tanch Trading Company.
Kwanza nianze kwa kusema mimi mwenyewe pia, nlikua moja ya watu wanaotafuta kampuni nzuri na ya kuaminika. Ya kuagiza vifaa mbali mbali kutoka china. Lakini baada ya kusikia kampuni hii ya AA Tanch Trading...
Na Fadhili Mpunji
Maonyesho ya pili ya biashara na uchumi kati ya China na Afrika yanaendelea kufanyika mjini Changsha, Hunan kusini mwa China. Maonyesho haya ni moja ya majukwaa muhimu ya ushirikiano wa kiuchumi kati ya China na nchi za Afrika, na ni fursa adimu inayotolewa na China kwa nchi...
Nchi ya China ambayo ndio nchi ya pili kwa uchumi mkubwa imekumbwa na ukosefu mkubwa wa umeme kiasi cha kulazimika kuzima mpaka taa za barabarani kwa baadhi ya miji yake mikubwa
Hali hii inasadikiwa kusababishwa na ongezeko kubwa la bei ya makaa ya mawe & upungufu mkubwa wa maji kwenye mabwawa...
China itaendelea kuziunga mkono nchi zinazoendelea kuendeleza nishati safi inayotoa kiwango kidogo cha kaboni, na haitajenga miradi mipya ya umeme wa makaa ya mawe nje ya nchi. Ahadi hii iliyotolewa na rais Xi Jinping wa China kwenye mjadala mkuu wa kikao cha 76 cha Baraza Kuu wa Umoja wa...
Maonesho ya pili ya Uchumi na Biashara kati ya China na Afrika yamefanyika huko Changsha mkoani Hunan, China, na kushirikisha zaidi ya nchi 40 za Afrika na karibu kampuni 900 kutoka China na nchi za Afrika. Katika miaka ya hivi karibuni, kutokana na maendeleo ya uhusiano wa kirafiki kati ya...
Nchi za Afrika zimejiwekea mikakati ya kiuchumi kulingana na maslahi na hali halisi ya kila nchi. Lengo kuu ni kufikia maendeleo endelevu na kuhimiza ukuaji wa kiuchumi ambao unafaisha watu wengi. Benki ya Maendeleo ya Afrika inakadiria kwamba kiwango cha ukuaji wa uchumi wa Afrika kwa mwaka huu...
Hello wana bodi, natumai wote mko poa karibuni kwenye hii thread ambayo kwa namna 1 au nyingine inaweza kukupa idea ya kufanya biashara ya kuuza mtumba:
A. SIFA ZA MTUMBA WA CHINA
Belo za mtumba wa China uko vzuri na unatofautiana Kati ya supplier na supplier na wao wana chukua nguo Asia...
Na Pili Mwinyi
China Jumapili ilitoa waraka mweupe ukilenga mahsusi kuonesha mwenendo wa idadi ya watu wa mkoa wa Xinjiang, ambapo kwa mujibu wa takwimu za sensa ya saba ya taifa, idadi ya watu wa makabila madogo mkoani humo imeongezeka haraka sana kwa wingi pamoja na watu wake kuwa na maisha...
Uengereza inatafuta njia na mbinu ya kuwezakumtoa Mchina katika dili ya Nyuklia.
The UK is closing in on a deal that would remove China from involvement in building a new nuclear power station on the Suffolk coast, eastern England, alongside France's EDF, according to the Guardian.
The deal...
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Tanzania inatarajia kupokea Dozi Milioni 2 za Sinopharm kutoka Nchini China. Kwenye chanjo hiyo, mtu atapokea dozi mbili tofauti na Johnson & Johnson ambayo inachomwa mara moja
Akizungumza kutoka Mkoani Singida, Msigwa ameeleza kuwa idadi ya...
billion
chanjo
chanjo ya corona
china
corona
dozi
gerson msigwa
kuagiza
kutoka
kutumia
milioni
milioni 2
mkopo
msaada
msemaji wa serikali
serikali
sinopharm
swali
tanzania
virusi vya corona
Na Fadhili Mpunji
Katika miaka ya hivi karibuni bara la Afrika limekuwa na maendeleo makubwa kwenye sekta ya teknolojia ya habari na mawasiliano (ICT) na mambo ya kidigitali kwa ujumla, na sekta hii inatajwa kuwa ni moja ya sekta zenye maendeleo ya kasi zaidi katika nchi za Afrika, na kuwa...