china

  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Food Aid: Wakati Tanzania ina cha kutosha, Kenya imepokea chakula cha msaada kutoka China

    Ni aibu sana nchi kutembeza bakuli karne hii ya 21 kuomba chakula cha msaada. Tanzania tujivunie uchapakazi wetu kwenye kilimo. ======= Kenya Holds Takeover Ceremony of Chinese Food Aid Program Kenya on Monday held takeover ceremony of the eighth and last batch of 2018 Chinese Food Aid...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mtazamo unaopendekezwa na China kwa Pembe ya Afrika unachochea matumaini ya utulivu, maendeleo

    Wakati kukiwa na msururu wa hatari za zamani na zinazoibuka za kiusalama, nchi katika eneo la Pembe ya Afrika kama vile Kenya, Ethiopia, Eritrea na Djibouti zinahitaji haraka kutafuta mbinu mpya za utatuzi wa migogoro ili kuhakikisha utulivu na maendeleo ya amani ya kijamii na kiuchumi. Mgogoro...
  3. JamiiForums Tanzania India yapiga marufuku Apps 54 za Kichina kwa sababu za usalama

    Kutokana na hofu ya Usalama, India imezuia upatikanaji wa 'App' 54 kutokea China. Tangu mvutano wa kisiasa kuibuka kwa mara ya kwanza na China Mwaka 2020, India imepiga marufuku jumla ya 'App' 321 India inaamini Taaarifa za Watumiaji zilikuwa zikitumwa China kupitia Apps, kisha kutumika kwa...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mkakati mpya wa Marekani kuhusu Afrika haupaswi kutungwa kwa ajili ya kukabiliana na China

    Kwa muda usio mrefu sasa, serikali ya Marekani chini ya rais Joe Biden imeelekeza tena mkakati wake kwa Afrika. Alipofanya ziara yake ya kwanza barani Afrika mwezi Novemba mwaka jana, waziri wa Mambo ya Nje Antony Blinken aliahidi kuwa serikali yake "itachukua mtazamo tofauti" na kushiriki...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa China na nchi za Afrika ni wa kusaidiana na kunufaishana

    Na Caroline Nassoro Mara nyingi kumekuwa na kauli zinazodai kuwa, China inazipa nchi za Afrika mzigo wa madeni, na hii inatokana na misaada na mikopo yenye riba nafuu inayotolewa na nchi hiyo katika miradi mbalimbali ya maendeleo ya nchi za Afrika. Lakini tukifuatilia kwa undani zaidi, kauli...
  6. L

    JamiiForums Tanzania China yatoa mchango mkubwa katika kupunguza pengo la kidigitali barani Afrika

    Na Fadhili Mpunji Katika miaka ya hivi karibuni sekta ya Tehama imekuwa na maendeleo makubwa katika nchi mbalimbali za Afrika, maendeleo ambayo si kama tu yamekuwa na manufaa kwenye mawasiliano, habari na utangazaji, bali pia yamekuwa na manufaa makubwa kwenye sekta za afya, elimu, biashara na...
  7. L

    JamiiForums Tanzania China kuisaidia Kenya kutoa chanjo kwa watu milioni 19 ifikapo Juni 2022

    Na Tom Wanjala Serikali ya Kenya imesema iko mbioni kutoa chanjo dhidi ya virusi vya Corona kwa Wakenya wasiopungua milioni 19 ifikapo mwezi Juni mwaka huu. Taarifa hii inakuja wakati ambapo Wakenya wengi wanazidi kujitokeza katika vituo vya utoaji chanjo kufuatia serikali kuhamasisha kuwa kila...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa AU wapongeza China kwa kuibadilisha vizuri Afrika

    Na Kelly Ogome Umoja wa Afrika AU umeipongeza China kwa mchango wake mkubwa katika kuleta maendeleo barani Afrika. Amani Abou-Zeid, kamishina wa miundombinu na nishati wa Umoja wa Afrika amesema, China ni mshirika mkubwa katika kufanikisha maendeleo barani Afrika kupitia ujenzi wa miradi ya...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano kati ya China na Afrika kwenye nishati endelevu ni fursa ya maendeleo na hatua muhimu ya kukabiliana na Mabadiliko ya Tabia Nchi

    Na Fadhili Mpunji Katika muda mrefu uliopita suala la matumizi ya nishati limekuwa changamoto kwa nchi nyingi za Afrika, na nchi nyingi za Afrika zikilazimika kutumia pesa nyingi za kigeni kuagiza mafuta kutoka nje ya nchi, na kutumia mafuta hayo kama chanzo kikuu cha nishati, au kutumia makaa...
  10. L

    JamiiForums Tanzania China na Afrika zinaungana mikono kuonesha moyo wa mshikamano na kujiendeleza

    Rais Xi Jinping wa China hivi karibuni aliutumia barua mkutano wa 35 wa wakuu wa Umoja wa Afrika, akipongeza moyo wa mshikamano na kujiendeleza ulioonyeshwa na nchi za Afrika chini ya uongozi wa Umoja wa Afrika, pamoja na juhudi zao zisizo na ukomo za kujitafutia njia za maendeleo zinazolingana...
  11. JamiiForums Tanzania Msimamo wa China kuhusu mgogoro wa Ukraine

    Wiki iliyopita, waziri wa mambo ya nje wa China Wang Yi alitaja masuala ya usalama ya Urusi kuwa "halali", akisema yanapaswa "kuchukuliwa kwa uzito na kushughulikiwa". Siku ya Jumatatu, balozi wa China katika Umoja wa Mataifa Zhang Jun alikwenda mbali zaidi na kusema moja kwa moja kwamba China...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Putin asifia uhusiano wa karibu wa Urusi, China

    PUTIN ASIFIA UHUSIANO WA KARIBU WA URUSI, CHINA Rais wa Urusi, Vladmir Putin, leo ameyasifu mahusiano ya karibu ya nchi yake na China, katika mkutano na mwenzake wa China, Xi Jinping, kabla ya kufunguliwa kwa Michezo ya Olimpiki ya majira ya Baridi mjini Beijing. Viongozi hao wawili...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Afrika yajumuika na China katika michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi

    Hatimaye mwaka mpya wa jadi wa China ambao ni mwaka wa chuimilia umefika! Mwaka huu umeanza kwa kishindo, matumaini na macho ya dunia yakielekezwa China. Kwa mara nyingine tena Beijing ni mwenyeji wa wageni kutoka pembe zote za dunia wanaojumuika kwa ajili ya olimpiki ya majira ya baridi maudhui...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya China yaanzisha kiwanda cha kutengeneza magari ya betri nchini Rwanda

    Kampuni ya China ya Tailing Electric Vehicle imeanzisha kiwanda cha kutengeneza pikipiki na baiskeli za magurudumu matatu nchini Rwanda kwa nia ya kuchangia kupunguza hewa chafu duniani na kukuza uchumi wa kijani. Kiwanda hiki kilichopo eneo la viwanda la Gahanga, wilayani Kicukiro kimeanza...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Alichonihadithia jamaa yangu anayesoma China kuhusu chanjo ya COVID-19, kimenistua

    Ninaye rafiki yangu anayesoma China ambaye yupo huko takribani miaka 3 sasa. Nilipojaribu kumuuliza kuhusu namna serikali ya China inavyofanya kuhamasisha raia wake kuchanja chanjo ya Covid, au kuhakikisha kila raia wake amechanja ili kujikinga na corona. Yule rafiki yangu ameniambia serikali...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Tamasha la mkesha wa mwaka mpya wa jadi wa China lafanyika

    Tamasha la mkesha wa mwaka mpya wa jadi wa China lafanyika Leo Tarehe 31 Januari mwaka 2022 ni siku ya mkesha kwa ajili ya kuukaribisha mwaka mpya wa jadi kwa kalenda ya kilimo ya China, ambao rasmi unaingia tarehe Mosi Februari. Kwa utamaduni wa China, mwaka huu mpya utakuwa mwaka wa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Wawekezaji Toka China

    Sijui kama taifa tunakwamia wapi. Sijui tunashindwa nini. Tunahangaika na wakina mbowe, wachina wanafanya mambo yao. Huu ndio ughaidi sasa, maana ni wenginsana wanafanya kazi kamanhizi mtaani. Huyu kijana anaitwa Xu Jiangping alikuwa ni mfungwa aliyekuja kwenye ujenzi wa barabara. Mkataba...
  18. L

    JamiiForums Tanzania China yaisaidia Afrika kuingia katika “zama za 5G"

    Hivi karibuni, China imeweka hatua mpya katika kuzisaidia nchi za Afrika kuendeleza mageuzi ya kidijitali. Kampuni ya mawasiliano ya simu ya Zambia ya MTN imeshirikiana na Huawei ya China kuzindua mtandao wa majaribio wa 5G, na kuifanya nchi hiyo kuwa miongoni mwa nchi za awali barani Afrika...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kifedha wa China kwa Afrika "kupiga breki"?

    Hassan Zhou Hivi majuzi, makala ya gazeti la Financial Times yenye kichwa "Mkopo wa China kwa Afrika Wapiga Breki" imenukuliwa na vyombo vya habari vya ndani na nje ya Afrika. Ikitaja hatari ya kushindwa kulipa madeni katika baadhi ya nchi za Afrika, makala hiyo ilisema China "imetuma ishara...
  20. L

    JamiiForums Tanzania China inatoa msaada kwa nchi za Afrika, ili nchi za Afrika zisiombe msaada tena katika siku za baadaye

    Fadhili Mpunji Moja ya mada zinazojadiliwa katika uhusiano kati ya China na Afrika ni msaada. Hivi karibuni, ofisa mwandamizi wa shirika la misaada ya kimataifa la China (CIDCA) Bw. Liu Junfeng kwenye mkutano uliofanyika Beijing alieleza kwa kina utaratibu wa China katika kutoa misaada kwa nchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…