china

  1. M

    Wakati Marekani ikiitaka China ishiriki kudhulumu mafuta ya Urusi, China imeikebehi Marekani kuhusu uelewa wake kuhusu "Jumuiya ya Kimataifa"

    Wakati Marekani ikiwa katika harakati za kuishirikisha China ikubali kudhulumu mafuta ya Urusi, ikidai kuwa hilo ndilo takwa la "jumuia ya kimataifa", China imeikebehi Marekani kwa kuweka ramani mbili za dunia zinazoonesha jumuiya ya kimataifa: Moja ambayo ndiyo jumuiya halisi ya kimataifa...
  2. M

    Uovu wa Marekani umekithiri! Bila aibu inadhani inaweza kuishawishi India na China kudhulumu mafuta ya Urusi

    Marekani ni taifa ovu kupiltiliza!! Marekani imepokonya mabilioni ya dola za marekani mali ya urusi! Kama hiyo haitoshi imepokonya mabilioni ya dola za marekani zikiwa ni pesa binafsi za raia matajiri wa Urusi, na imepokonya mali za raia hao kama majumba, ndege, mashua za starehe nk. Kwa...
  3. Wakazi wa Shanghai (China) wahofia lockdown baada ya Covid kurejea kwa kasi

    Mamilioni ya wakazi wa Shanghai Nchini China wamefanyiwa vipimo vya UVIKO-19 kutokana na kusambaa kwa Virusi vya Omicron na ikiwa maambukizi yatakuwa mengi kuna uwezekano wa kutolewa amri ya kutotoka nje bila sababu za msingi. Mkakati wa China ni kuhakikisha hakuna maambukizi kabisa, baadhi ya...
  4. L

    Je, China imeiwekea Kenya mtego wa madeni?

    Wakati uchaguzi mkuu wa Kenya unakaribia, baadhi ya vyombo vya habari vya Magharibi vinadai kuwa, China imeiwekea Kenya “mtego wa madeni”. Nyuma ya madai hayo, madhumuni halisi ya baadhi ya nchi za Magharibi ni kuchafua ushirikiano wa kunufaishana kati ya China na Kenya, na pia kujaribu...
  5. L

    China kujenga rada ya ubora wa juu duniani ili kulinda vizuri sayari ya Dunia

    China imeanza ujenzi wa mfumo mpya wa rada utakaokuwa na uwezo wa kufuatilia kwa kina masuala ya anga za juu kwa lengo la kulinda vizuri Dunia. Mfumo huo mpya pia utaongeza uwezo wa ulinzi wa nchi hiyo dhidi ya sayari ndogo zilizo karibu na Dunia, na uwezo wake wa kutathmini mfumo wa Dunia na...
  6. L

    Shindano la kutembea kwenye kamba katika urefu wa juu wa zaidi ya mita 200 angani lafanyika Zhangjiajie, China

    Shindano la kutembea kwenye kamba angani limefanyika katika Bustani ya Kitaifa ya Misitu ya Huangshizhai huko Zhangjiajie, China. Watu 10 wameshindana kwa kutembea juu ya kamba kwa urefu wa juu wa zaidi ya mita 200 angani.
  7. L

    Wanakijiji wa wilaya ya Hejing, mkoani Xinjiang, China wafanya sherehe ya Nadam

    Wanakijiji wa wilaya ya Hejing mkoani Xinjiang, China walifanya sherehe ya Nadam kwa kusherehekea ufugaji bora ya mwaka huu. “Nadam” ni sikukuu ya kijadi ya kabila ya Wamongolia, maana yake kwa Kimongolia ni burudani au michezo.
  8. Q

    Msiba kwa wanaofanya biashara ya kuagiza vitu China

    Poleni na majukumu kuna rafiki yangu amenipa hii habari ni kama sijaamini vile ina maana kuna utapeli mpya mjini au ni hivi nasikia 80% ya mizigo inayoingizwa na hawa wafanyabishara inaagizwa na dada mmoja anaitwa cecy akishirikiana na wifi yake Rehema na wamekuwa wakifanya hii biashara kwa muda...
  9. Viongozi wa Marekani, China waanza mazungumzo kumaliza mgogoro wao

    Wanadiplomasia wakuu kutoka Marekani na China wamekuana leo Julai 9, 2022 kwa zaidi ya saa tano katika juhudi za kupunguza mvutano unaoongezeka kati ya Nchi hizo mbili. Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Antony Blinken alisema uhusiano wa mataifa hayo una ‘matokeo makubwa’, akieleza kuwa...
  10. L

    Ushirikiano kwenye sekta ya kilimo kati ya China na Tanzania unaendelea kuleta mafanikio

    Fadhili Mpunji Sekta ya kilimo ni moja ya maeneo yenye fursa kubwa za ushirikiano kati ya China na nchi za Afrika, lakini hadi sasa eneo hilo liko nyuma ikilinganishwa na sekta nyingine. China ni nchi ambayo kilimo ni jadi yake, na katika miaka ya hivi karibuni maendeleo ya kiuchumi na...
  11. India: Ofisi za Vivo zapekuliwa kufuatia tuhuma za utakatishaji fedha

    Inaripotiwa kuwa, Maafisa wamevamia na kupekua Ofisi kadhaa za Kampuni ya Kielektroniki ya Vivo kutoka China kufuatia shutuma za utakatishaji Fedha. Mapema mwaka huu, upekuzi wa aina hiyo pia ulifanywa kwa Xiaomi na Huawei Vivo imejijengea jina kubwa Nchini India, ikielezwa imeajiri Wahindi...
  12. Nipeni ushauri, nikienda China nile nini?

    Nimeona katika mitandao 20 Chinese Food and Ingredients You Should Avoid, nikaona karibu vyakula vyote pendwa vimepigwa ,madongo ya kutosha, sasa najiuliza, nini watu wanakula huko? TAZAMA HII HAPA CHINI 20 Chinese Food and Ingredients You Should Avoid Written by Amy & Yanin Featured Posts You...
  13. Yupi forward/shipping agent china mpaka Tanzania mwenye gharama nafuu?

    Wadau nataka kusafirisha mzigo kutoka China mpaka Dar es salaaa, Shipping agent niliyempata gharama zake ni Dola 400 kwa ujazo CBM 1. Kama kuna mwenye gharama nafuu zaidi naomba mawasiliano yao.
  14. Kenya2022 Wajackoyah: Nikishinda Urais Kenya nitaanzisha biashara ya korodani za fisi kwenda China

    Mgombea Uraisi Nchini Kenya, George Wajackoyah amesema kuwa akiingia madarakani atafanya mchakato wa kuuza korodani za fisi pamoja na nyama nyingine za mnyama huyo Nchini China ili kukuza kipato cha taifa hilo. Wajackoyah amesema mlo wa Wanyama hao utasaidia kukuza uchumi wa Kenya na kuimarisha...
  15. L

    Hong Kong yaandaa mapambo maalumu ya mji kukaribisha miaka 25 tangu irudi China

    Hivi karibuni mitaa na majengo mengi maarufu huko Hong Kong yamepambwa na bendera ya taifa la China na bendera ya mkoa huo huku shughuli mbalimbali za kusherehekea miaka 25 tangu Hong Kong irudi China, ikiwemo maonyesho ya taa za LED.
  16. L

    Tamasha la 22 la chakula la China lafunguliwa Harbin

    Tarehe 29 mwezi Juni, tamasha la 22 la chakula la China ambalo pia ni maonyesho ya 5 ya mnyororo wa ugavi wa sekta ya upishi yameanza rasmi katika Kituo cha Maonyesho cha Kimataifa cha Harbin.
  17. L

    Hong Kong yaendelea kuwa tulivu, imara na yenye neema miaka 25 baada ya kurudi China

    Ni miaka 25 sasa imepita tangu China irudishe mamlaka yake kwenye mkoa wa Hong Kong baada ya kuwa chini ya utawala wa Uingereza wa miaka 100. Ilikuwa ni Julai Mosi mwaka 1997, wakati wakosoaji walikuwa wakijenga picha mbaya kuhusu mustakbali wa Hong Kong, na kuitaja hatua hiyo kuwa ni mwanzo wa...
  18. M

    China yawakejeli G7, yasema G7 ni muungano wa watu wachache ukilinganisha na BRICS

    G7 wanajinasibu kama International community na wanajidanganya kutaka kuiburuza dunia ifuate matakwa yao kwa lazima kwa vitishio vya vikwazo. China imewaambia G7 wakumbuke kuwa wakati wanawakilisha watu 777,000,000 duniani kuna BRICS (Brazil, Russia, India, China na South Africa)...
  19. China commences a Communist Revolution inside America

    The government of China has commenced applying the same regime change inciting tactics inside the USA that the USA has used in countries around the world. Their Chinese American Friendship centers are leading the incitement. Read the window signs from the remake of the movie "Red Dawn" in 2010...
  20. L

    Mandhari ya Barabara ya Yuqie katika mkoa wa Xinjiang wa China yavutia

    Mandhari ya Barabara ya Yuqie jangwani katika mkoa wa Xinjiang inavutia katika upigaji picha wa kutoka angani baada ya mvua. Barabara hiyo inayounganisha wilaya ya Yuli na wilaya ya Qiemo inatarajiwa kufunguliwa rasmi hivi karibuni.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…