china

  1. S

    JamiiForums Tanzania Bloomberg: Putin azikusanya China na India nchini Urusi kwa mazoezi ya kivita akiibeza Marekani

    Bloomberg yasema kuwa Putin kayakusanya mataifa makubwa duniani, China na India, kwenye mazoezi ya kivita ya kimataifa ya Vostok-2022 yanayofanyika Urusi kwa wiki 1. Bloomberg yasema hatua hiyo ya Putin kuyakusanya mataifa makubwa nchini Urusi inazizodoa na kuzivunjavunja jitihada za Marekani...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa kujitolea watengeneza keki za mwezi pamoja na wakazi katika kituo cha huduma kwa wazee nchini China ili kukaribisha sikukuu ya mwezi

    Wafanyakazi wa kujitolea watengeneza keki za mwezi pamoja na wakazi katika kituo cha huduma kwa wazee ili kukaribisha sikukuu ya mwezi. Wafanyakazi wa kujitolea huko Qinhuangdao mkoani Hebei walitengeneza keki za mwezi pamoja na wakazi katika kituo cha huduma kwa wazee ili kukaribisha sikukuu...
  3. L

    JamiiForums Tanzania China yazifutia deni nchi 17 za Afrika, lakini vyombo vya habari vya Magharibi viko kimya

    Na Fadhili Mpunji Hivi karibuni mkutano wa uratibu wa utekelezaji wa makubaliano yaliyofikiwa kati ya China na Afrika kwenye mkutano wa 8 wa mawaziri wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika, ulifanyika kwa njia ya video chini ya uenyekiti wa waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi...
  4. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maparachichi mabichi kutoka Kenya hatimaye yafika China

    Kupitia juhudi za pamoja za nchi mbili, shehena ya kwanza ya maparachichi mabichi kutoka Kenya hatimaye yalifika China kwa wingi hivi karibuni. Mapema asubuhi ya Agosti 26, tani 45 za maparachichi mabichi ya Kenya yaliwasili katika bandari ya Waigaoqiao mjini Shanghai. Inatarajiwa kuwa wakazi wa...
  5. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Suala la China vs Taiwan, vita ya Urusi na Ukraine. Kusema ukweli kuna mataifa yametu-disappoint sana. A luta continua

    Kiukweli niliwaamini sana Urusi, sasa sina imani nao. Hii vita kwa nguvu ambazo wanazo Russia ilikuwa waimalize ndani ya week moja zikizidi mbili. Sasa sielewi kwa nini wanapiga dana dana nyingi sana?! Russia ni Taifa ambalo tumekuwa tukitegemea liitishe Marekani. Sasa Ukraine ka nchi ambako...
  6. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Manzoki aiaga rasmi klabu ya Vippers, anaelekea Nchini China kujiunga na klabu ya Dallian FC. Juhidi za simba kuinasa saini yake zagonga ukuta

    Muhimu: Mchina kamwaga milioni 930 kuinasa saini na mshahara mnono, wanaoaminishwa na tetesi kwamba Manzoki atacheza China miezi minne na kisha kurudi simba wajaitafakari upya, Ni sawa na rubani wa ndege apate kazi shirika la ndege halafu mtegemee baada ya miezi minne aanze kuendesha mabasi ya...
  7. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Msamaha wa Madeni: China yashutumiwa kwa Mikopo ya Mitego kwa Nchi za Afrika

    Baada ya Waziri wa Mambo ya Nje kutangaza Agosti 20, 2022 kwamba nchi hiyo inasamehe mikopo 23 kwa nchi 17 za Afrika, huku ikiahidi kuimarisha uhusiano wake na nchi hizo baadhi ya wanadiplomasia wameiita hatua hiyo ni ”diplomasia ya mtego wa madeni” Wakosoaji hao wameituhumu China kwa Kukopesha...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Ji’an, Jiangxi China: Mawingu ya rangi angani

    Agosti 24, 2022, huko Ji’an, mkoani Jiangxi, China, “mawingu ya rangi” ambayo umbo lake linaonekana kama UFO yalionekana angani.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Michezo ya Watu wa Makabila Madogo yafanyika wilayani Rongjiang mkoani Guizhou China

    Agosti 25, wanariadha wanafanya maonesho ya kusafiri mtoni kwa mashua ya mwanzi mmoja kwenye Michezo ya 10 ya Watu wa Makabila Madogo ya Mkoa wa Guizhou, iliyofanyika katika wilaya ya Rongjiang.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Tuongee yajayo: Manzoki anaenda China kulipwa bilioni 1 kwa miezi 6

    Haya sasa haina shida mzungu wetu keshazoeana na team plus kiyombo, phiri, boko hao ndiyo strikers wetu ndugu zangu tuzoeee tu hali halisi Hili la manzoki limekwisha sasa hata dirisha dogo december haji ni uongo , hela anayolipwa china ni nyingi sana nitashangaa sana kama atakubali kurudi nyuma...
  11. MK254

    JamiiForums Tanzania Japan yaandaa mizinga 1,000 ya masafa marefu, yakaa mkao wa kuikabili China

    Duniani mataifa makubwa yameanza kunoa visu na makucha, yanajiweka mkao wa mapambano makali, hivi Waswahili tuko vipi, au tupo tupo tu siku ziende. Tokyo, Japan is considering the deployment of 1,000 long-range cruise missiles to boost its counterattack capability against China, the Yomiuri...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Sera ya uchokozi dhidi ya China inayotekelezwa na Marekani yazidi kuwa wazi

    Fadhili Mpunji Wiki mbili baada ya Spika wa baraza la wawakilishi la bunge la Marekani kutembelea Taiwan, kinyume na kanuni za Umoja wa Mataifa kuhusu uhusiano wa kidiplomasia, na kinyume na makubaliano yaliyofikiwa na serikali za China na Marekani, kwa mara nyingine tena Marekani imefanya...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania China yasamehe mikopo 23 ya nchi 17 za Afrika

    Waziri wa Mambo ya Nje Wang Yi, ametangaza kuwa serikali itasamehe mikopo 23 iliyokomaa na isiyo na riba kutoka nchi 17 za Afrika zenye uchumi unaoibukia. Hatua hiyo haihusishi idadi kubwa ya mikopo ya hivi karibuni ikiwemo mikopo ya masharti nafuu na mikopo ya kibiashara ambayo kwa mujibu wa...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Nchi za Magharibi zinapaswa kujifunza kutoka China jinsi ya kushirikiana na nchi za Afrika

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken hivi karibuni aliahidi kwamba Marekani inapanga kutumia dola bilioni 200 kati ya mpango wa miundombinu wa dola bilioni 600 uliotangazwa hapo awali na G7 kupambana na "nafasi ya uongozi ya China barani Afrika na nchi nyingine maskini." Mwezi...
  15. L

    JamiiForums Tanzania “Maharagwe ya China” yaleta “lishe bora” Tanzania

    Julai Mosi mwaka huu, mradi wa “maharagwe madogo, lishe bora” uliotekelezwa na timu ya utafiti wa maendeleo ya Chuo Kikuu cha Kilimo cha China ulikamilisha mafunzo katika vijiji vinne vya kielelezo ambavyo ni Mtego wa Simba, Makuyu, Kitete na Peapea mkoani Morogoro. Miezi ya Juni na Julai kila...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Ziara ya wanadiplomasia wa Afrika mkoani Hunan, China, kufungua fursa nyingi zaidi za kibiashara na kiuchumi

    Na Pili Mwinyi China na Afrika ni ndugu ambao wanafaana wakati wa dhiki na faraja, na uhusiano uliopo kati yao tunaweza kusema kwamba ni uhusiano wa kihistoria duniani. Uhusiano huu mashuhuri ambao unajulikana vizuri na kwa mapana zaidi duniani, kutokana na umuhimu wake katika kuchangia...
  17. MK254

    JamiiForums Tanzania India na China waanza ugomvi

    Hii nayo mlaumu Marekani. Uchina apeleka kibabe babe meli yake Sri-Lanka yenye uwezo wa shughuli za kijasusi, India yalalamika kwamba huu ni uchokozi wa hali ya juu. ========= A Chinese research ship has docked in Sri Lanka's Hambantota port despite Indian concerns. The Yuan Wang 5 was given...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania China kuipa Tsh. Trilioni 69 Afrika, Tanzania ipo kwenye mgao

    Waziri wa Fedha na Mipango nchini Tanzania, Dk Mwigulu Nchemba, amesema Serikali itanufaika na msaada wa miaka mitatu wa dola za Marekani bilioni 30 (Sh 69 trilioni), ulioahidiwa na Rais wa China, Xi Jinping wa kuzisaidia nchi za Afrika kukabiliana na umasikini. Dk Nchemba amesema hayo leo...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Covid in China: Fish tested amid Xiamen outbreak

    More than five million people have been ordered to undergo Covid-19 testing in the coastal Chinese city of Xiamen this week, after some 40 cases of the virus were detected. But they're not the only ones who have been ordered to get tested: an official notice states that some forms of sealife...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania China: Watu 16 wafariki katika mafuriko, 36 hawajulikani walipo

    Watu 16 wamefariki Dunia na wengine 36 hawajulikani walipo kutokana na mafuriko yaliyotokea katika Jimbo la Qinghai, China. Mvua ya ghafla iliyonyesha imesababisha maporomoko ya ardhi ambayo yalifanya mto ujae maji. Mafuriko hayo yameathiri eneo lenye idadi zaidi yaa Watu 6,000 na zaidi ya...
Back
Top Bottom