WAZIRI DKT. ASHATU KIJAJI KATIKA KONGAMANO LA UHAMASISHAJI BIASHARA KATI YA CHINA & AFRIKA AMBALO LIMEFANYIKA NCHINI CHINA
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe Dkt. Ashatu K. Kijaji (Mb.), amekutana na kufanya mazungumzo na Bi. Rossella Lyu, Mkurugenzi wa Kampuni ya Greenchain ambayo...
Kinachoendelea Ufaransa,
kilichotokea Marekani wakati wa maandamo ya Black Lives Matter, na uhalifu mkubwa kwenye nchi ambazo watu weusi ni wengi kama vile Brazil, au nchi ya Afrika yenye influence ya wazungu kama South Afrika ni ishara kuwa mtu mweusi ukimchanganya na mtu mweupe lazima...
Hawa wadada wanaojitangaza kuwa wanakuletea mzigo toka China huwa wanapiga pesa ndefu.
Hizi mishe walizianza akina Faiza Ally. Kwa sasa wamekula wengi hasa wadada.
Iko hivi, wao wanaenda China au wengine wanakua hapa bongo lakini kule anakua na Mchina anaye muamini tayari. Sasa anachagua...
Kwa nini China na Singapore zimefanya na zinafanya vyema katika mezani za kiutawala na kimaendeleo huku Afrika ikishindwa?
China na Singapore zimefanya na zinafanya vyema katika mezani ya kiutawala na maendeleo kwa sababu ya
i. Meritocracy system
ii. Accountability
iii. Rule of Law
Afrika...
Kwenye maonesho ya 3 ya uchumi na biashara kati ya China na Afrika yaliyofanyika mjini Changsha, mkoani Hunan China kati ya Juni 29 na Julai mbili, makampuni ya usambazaji yalijitokeza kwa wingi yakijitangaza kwa wafanyabiashara wanaotaka kusafirisha bidhaa zao kwenda barani Afrika, na hata kwa...
Tarehe 1 Julai mwaka huu ni kumbukumbu ya miaka 102 tangu kuanzishwa kwa Chama cha Kikomunisti cha China CPC. Katika kipindi cha karne iliyopita, CPC kimewaongoza Wachina kufikia maendeleo ya kihistoria, na kuiendeleza China, iliyokuwa maskini na dhaifu, kuwa nchi ya pili kwa uchumi mkubwa...
Ufaransa kuna machafuko makubwa ya, maandamano, yaliyotokana na polisi kumwua kwa risasi mtoto wa miaka 17.
Usafiri wa mabasi na treni umesitishwa. Fujo usiku kucha. Laiti kama haya yangetokea China au Urusi, mabeberu wa nchi za magharibi wangefurahia sana na kudai utawala wa "mabavu" umeishiwa...
Juni 20, wanafunzi wa shule za upili wa Tanzania walioshiriki kwenye kambi ya majira ya joto ya Taasisi ya Confucius ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) walijionea kwa undani mvuto wa urithi wa utamaduni usioshikika wa China. Shughuli hiyo ya kiutamaduni iliyoandaliwa na Chuo cha Utamaduni wa...
Wizara ya Sheria ya Marekani hivi karibuni ilitangaza kuzishtaki kampuni na raia kadhaa wa China kwa madai ya kuzalisha na kuuza malighafi za dawa za kulevya. Hii si mara ya kwanza kwa Marekani kuihusisha China na suala la dawa za kulevya nchini humo. Lakini swali ni kwamba, je, tatizo la...
Parachichi kutoka Kenya, korosho kutoka Tanzania, kahawa kutoka Ethiopia... katika miaka ya hivi karibuni, bidhaa bora zaidi za Afrika zinazidi kupendwa na wachina wa kawaida; huku barani Afrika, vijana wakiweza kununua bidhaa mbalimbali zilizotengenezwa China kwenye jukwaa la biashara ya...
Li Dazhao si jina linalojulikana sana nje ya China, lakini kwa njia nyingi amekuwa mmoja wa watu wenye ushawishi mkubwa zaidi nchini humo katika miaka zaidi ya 100 iliyopita.
Alikuwa mtu aliyewaletea Wachina mafundisho ya Marx na alishiriki katika kuanzisha Chama cha Kikomunisti cha China...
Kampuni ya China National Offshore Oil Corporation (CNOOC) na Shirika la TPDCTZ kushirikiana katika uwekezaji katika sekta ya gesi nchini.
Aidha, Kampuni ya CNOOC imeahidi kuendelea kushirikiana na wadau wengine katika uwekezaji wa ujenzi wa Bomba la Kusafirisha Mafuta kutoka Uganda hadi...
Wakati mjadala mkubwa ukiwa kwenye mojawapo ya mikataba ya ushirikiano kati ya Tanzania na nchi ya Falme za Kiarabu ya DP World tukumbeke pia mwaka jana Novemba Rais Samia alitembelea China na kusaini mikataba 15 ya ushirikiano kati ya serikali ya Tanzania na China.
Ni vyema mikataba hiyo 15...
Kwa kuiondoa nchi kwenye muelekeo wa uchumi na China, hakika katika hili Rais Samia anastahili pongezi na binafsi nampongeza sana.
Wakati wote nilikua nina wasiwasi pale nilipoona kiongozi anaweka mafungamano ya kiuchumi na kijamii na Wachina, Wahindi na Waturuki. Hawa pamoja na mafanikio...
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Bw. Antony Blinken anafanya ziara nchini China, ikiwa ni ziara ya kwanza ya ofisa mwandamizi wa serikali ya Marekani nchini China tangu Rais Joe Biden aingie madarakani. Ziara hii inatajwa kuwa ni ziara muhimu, lakini inayofanyika katika kipindi ambacho...
Kuanzia Februari hadi Juni, zaidi ya miezi minne baada ya "tukio la puto", Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken hatimaye aliwasili Beijing asubuhi ya tarehe 18 na kufanya ziara ya siku mbili nchini China. Watu wengi wanaojali uhusiano kati ya China na Marekani wanauliza kuwa, kwa...
Mwanadiplomasia mkuu wa China amesema chanzo kikuu cha msuguano katika uhusiano kati ya China na Marekani ni "mtazamo mbaya" wa Marekani kuhusu nchi yake.
Wang Yi alimwambia Blinken "hakuna nafasi ya majadiliano" juu ya Taiwan, kulingana na taarifa ya wizara ya mambo ya nje ya China baada ya...
Hivi karibuni, “kuondoa hatari” kumechukua nafasi ya “kutenganisha” kama neno jipya linalotumiwa zaidi na wanasiasa wa Marekani kuhusu China. Mkutano wa kilele wa Kundi la Nchi 7 (G7) uliofanyika mwezi uliopita ulitoa taarifa ikisema kuwa, nchi hizo 7 zinazoongozwa na Marekani zitajitahidi...
Treasury Secretary Janet L. Yellen said on Tuesday that it would be a mistake for the United States to try to “decouple” from China and called for deepening economic ties between the world’s two largest economies.
The comments came as the Biden administration has been seeking to improve...
Shanghai, China
06/06/2023
Kampuni kubwa ya utengenezaji meli inayoitwa China State Shipbuilding Corporation (CSSC) yenye makao yake Shanghai walizindua meli ya kwanza ya kitalii (Cruise ship) kutengenezwa China, iliyopewa jina la Adora Magic City.
Itakuwa cruise ship ya kwanza duniani kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.