Serikali ya Marekani imesema inafikiria kuongeza muda wa vizuizi vya uuzaji nje wa bidhaa za chip kwa China vilivyoanza mwezi Oktoba mwaka jana, ikiwa ni juhudi zaidi za kudhoofisha maendeleo ya sekta ya akili bandia ya China. Gazeti la "the New York Times" limechapisha makala ikisema hatua hii...
Ndugu wanajamii,
Nimeanzisha hii mada ili tuweze kubadilisha uzoefu kwa wale waliowahi kutembelea China au wenye kupanga kwenda China kibiashara au kimatembezi.
Binafsi napenda sana kutembelea china hasa maonesho ya Canton Fair.
Naomba wenye uzoefu katika jambo hili, muweke uzoefu wenu, hasa...
Lema ameyasema hayo katika Mkutano wa kupinga Mkataba wa Bandari unaofanyika leo tar 23/7/2023 Temeke, ambapo amesema, Waarabu wanaangalia miaka 100 - 200 mbele wajukuu zao wataishije wabunge wenu wanaangalia 2025 watapata wapi pesa ya uchaguzi.
Huku akiendelea kuwa, Unapokuwa na viongozi...
serikali ya China imechukuwa sehemu kubwa ya gazeti hili na kuweka agenda zao za kupamba nchi yao. Je kuna uhusiano gani na gazeti hili? Wamenunua kinyemela? Je wanatumika ?
https://www.ippmedia.com/en
Twende tu hivi hivi.
China’s consulate building in Odesa has been damaged in a Russian missile and drone attack, a Ukrainian official said.
The damage appeared to be minor, regional governor Oleh Kiper said as he posted a photograph showing the building with broken windows.
Russia, which is...
Idara Kuu ya Takwimu ya China hivi karibuni ilitoa takwimu ambazo zinaonesha kuwa, pato la taifa la China katika nusu ya kwanza ya mwaka huu lilikuwa dola trilioni 8.27 za Kimarekani, ambalo ni ongezeko la asilimia 5.5 ikilinganishwa na mwaka jana kipindi kama hicho.
Kwa kulinganishwa na...
17 July 2023,
Washington
Umoja wa makampuni ya kutengeneza semiconductor (chips) nchini Marekani US-based Semiconductor Industry Association (SIA), umeitaka serikali ya Biden kuondoa vikwazo ilivyoiwekea China katika kuiuzia baadhi ya semiconductors na katazo la kutoruhusu makampuni ya...
Habari zenu..
Leo tujifunze kutoka kwa wachina.
Tangu 1950s nchi ya Tanzania na china kimaendeleo zilikuwa sawa.
Tangu hapo walijitokeza wanafalsafa wakiishauri china wakisema ''taifa ili liweze kuendelea lazima liwe na watu''.Nchi ya china ilianza kutekeleza sera hiyo kwa kuhamasisha watu...
Wizara ya Biashara na Mamlaka ya Forodha nchini China hivi majuzi zilitangaza kudhibiti mauzo ya nje ya bidhaa za Gallium na Germanium kuanzia tarehe mosi Agosti. Baada ya kusikia habari hii, Wizara ya Biashara ya Marekani ilitoa malalamiko mara moja, huku baadhi ya vyombo vya habari vya nchi za...
Maonesho makubwa ya tatu ya Uchumi na Biashara kati ya China na Afrika yalifungwa mwishoni mwa mwezi uliopita katika mji wa Changsha, mkoani Hunan, hapa nchini China. Mbali na maonesho ya bidhaa mbalimbali, makongamano kadhaa pia yalifanyika likiwemo ‘Kongamano la Wanawake la China na Afrika’...
Takwimu zinaonesha kiwango hicho kimeshuka ndani ya kipindi cha miaka mitatu tangu alipotoa kauli za kukosoa na kupuuza mamlaka za fedha za China pamoja na Benki.
Ripoti ya Mabilionea ya Bloomberg imesema Utajiri wa Ma ni Dola Bilioni 30, wakati Mwaka 2020 ulikuwa ni Dola Bilioni 61.2 kabla ya...
Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) hivi karibuni limemchangua tena Qu Dongyu, mgombea wa China kuendelea kuwa mkuu wake. Kilimo ni moja ya nyanja muhimu za ushirikiano kati ya China na Afrika. Qu kuendelea kuongoza FAO bila shaka kutasaidia pande hizo mbili kuimarisha...
Maonyesho ya Tatu ya Biashara ya China na Afrika yamemalizika hivi karibuni hapa China, ambapo bidhaa mbalimbali kutoka nchi za Afrika ikiwemo kahawa kutoka Ethiopia, maua kutoka Kenya, na bidhaa nyingine nyingi zimeendelea kupata umaarufu kwenye soko la China.
Maonesho hayo yalianza mjini...
Baada ya Marekani kuiwekewa vikwazo sekta ya utengenezaji wa chips ya China, China nayo imelipiza kisasi kwa kuwekea udhibiti wa mauzo ya nje(export) kwenye madini ya gallium na germanium, hizo ni metal mbili muhimu zinazohitajika katika utengenezaji wa chips.
China inachangia 98% ya...
Kwa miaka 9 mfululizo kampuni ya Yutong ya China imekuwa kinara kwa kuuza mabasi mengi zaidi duniani.
Utengenezaji na uuzaji wa mabasi ya abiria imekuwa biashara kubwa yenye ushindani hasa mabasi ya umeme. Mabasi yamekuwa yakitengenezwa kwa kazi na makusudi tofauti tofauti.
Kinachoangaliwa...
MAKUBALIANO BAINA YA SERIKALI YA TANZANIA NA JIMBO LA SHANDONG LA CHINA KUIFANYA UBUNGO KUWA SOKO LA KIMATAIFA
Serikali kupitia makubaliano ya Memorandum of Understanding almaarufu MoU na jimbo la China la Shandong sasa kugeuza eneo la Ubungo kuwa soko la bidhaa toka jimbo hilo la nchini...
Kwenye maonyesho ya tatu ya uchumi na biashara kati ya China na Afrika yaliyofanyika mjini Changsha, Mkoani Hunan, sekta ya kilimo ilikuwa ni moja ya maeneo yaliyopewa uzito mkubwa kwenye biashara na makongamano yaliyofanyika sambamba na maonyesho hayo. Licha ya kuwa sekta ya kilimo ni eneo moja...
Wakati wa maonyesho ya 3 ya kimataifa ya Uchumi na biashara kati ya China na Afrika yaliyofanyika kati ya Juni 29 na Julai 2 mjini Changsha China, wataalamu wa uchumi walipitia takwimu za thamani ya biashara kati ya pande hizo mbili, ambayo imeonekana kuongezeka kutoka Yuan Bilioni 100 kwa mwaka...
Interesting...
Timu ya wanafunzi ya wanawake kutoka China imeweza kuchukua ushindi wa nafasi ya kwanza katika mashindano maarufu ya hisabati ya European Girls Mathematical Olympiad yaliyo fanyika nchini slovenia
Mashindano hayo yalihusisha team 55 (38 kutoka mataifa ya ulaya).
Nafasi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.