china

  1. Yoyo Zhou

    Wanafunzi wa Afrika wanapenda zaidi kusoma nchini China badala ya Marekani

    Serikali ya Marekani hivi karibuni ilitangaza kwamba itaweka vizuizi vya viza kwa wanafunzi wa kimataifa katika Chuo Kikuu cha Harvard, na kuchunguza viza ya wanafunzi wa kimataifa wanaosoma katika Chuo Kikuu hicho. Awali, serikali ya Marekani iliagiza balozi za Marekani duniani kote kusitisha...
  2. Ojuolegbha

    Tanzania na China kuongeza nguvu katika diplomasia ya uchumi

    TANZANIA NA CHINA KUONGEZA NGUVU KATIKA DIPLOMASIA YA UCHUMI Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana kwa mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Wang Yi pembezoni mwa Mkutano wa Jukwaa la...
  3. Ojuolegbha

    Waziri Kombo Ziarani Nchini China

    Waziri Kombo Ziarani Nchini China🇨 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amewasili Beijing, China tarehe 9 Juni, 2025 kwa ziara ya kikazi na kupokelewa na Kiongozi wa Ngazi ya Juu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri wa Watu wa China...
  4. L

    Mpunga chotara wa China waimarisha usalama wa chakula nchini Madagascar

    China na nchi za Afrika zimekuwa na uhusiano uliodumu kwa miongo kadhaa, na uhusiano huu unagusa maeneo mbalimbali ikiwemo elimu, biashara na uchumi, sayansi na teknolojia, ujenzi wa miundombinu, kilimo, na maeneo mengine mengi. Kupitia ushirikiano kati ya pande hizo mbili, nchi nyingi za Afrika...
  5. L

    China ikiwa imebobea kwenye teknolojia ya uzalishaji yatoa mafunzo ya “Teknolojia ya Mpunga wa Kudumu” kwa viongozi wa Afrika

    Maafisa 30 wa kilimo na wataalam wa kiufundi kutoka Nigeria, Ethiopia, Kenya, Misri, Gambia, na Cameroon hivi karibuni wamekamilisha "Semina ya Teknolojia ya Mpunga wa Kudumu kwa Nchi za Afrika mwaka 2025 ". Semina hiyo iliyoendelea kwa siku tano ambayo inahusu mafunzo ya teknolojia ya mpunga wa...
  6. The redemeer

    Kupata Mke China: Safari Takatifu Kati ya Mila, Maadili na Umuhimu wa Dhamira

    Katika ustaarabu wa China, ndoa haikuwahi kuwa tu muungano wa wapendanao wawili; bali ni muungano wa koo, uzalishaji wa urithi, na uendelevu wa heshima ya familia. Kila hatua ya harusi ilikuwa ibada; kila zawadi ilikuwa ishara; na kila makubaliano yalijengwa juu ya heshima, sio haraka ya hisia...
  7. kintu

    Utapeli wa wafanya Biashara wanaoagiza Bidhaa China Hasa Mwasiti na Biashara zake

    Kumekuwa na utitiri wa wafanya biashara wanao agiza bidhaa China kupitia Mitandao ya kijamii au kwa kuwa na ofisi hapa mjini Dar es salaam. Watu wengi wamekuwa wakidhurumiwa na wasijue wapi pa kuanzia maana unakuta magroup yao wamedunga hakuna vomment hivyo huwezi kuweka mchango au malalamiko...
  8. Mi mi

    TRUMP: Nampenda Xi Rais wa China lakini ni mgumu katika kufanya makubaliano Trump asema

    Bila shaka kuna vitu Trump kajifunza kuhusu Xi katika hivi vita vya biashara na ushuru mpaka tulipo fikia hapa inawezekana alikuwa ana mchukulia kawaida Rais wa China Xi kama anavyo vichukulia virais vya nchi masikini kama Tanzania. Donald J. Trump Truth Social 06.04.25 02:17 AM EST I like...
  9. Traxtion

    USA vs China: Nchi ipi ina miji mizuri zaidi?

    Marekani ni nchi yenye uchumi mkubwa kushinda China ila ndio nchi ambazo zipo kwenye ushindani mkubwa sana wa kiuchumi Leo nataka niongelee suala la miji China ina miji mikubwa kushinda Marekani, ina watu wengi kuliko ya Marekani, ina miundombinu ya kisasa, kushinda miji ya Marekani na bado...
  10. Teknolojia ni Yetu sote

    China imezindua bunduki mpya, inatumia umeme inatoa risasi 3,000 kwa dakika

    China imetambulisha bunduki mpya aina ya electronic magnetic coil Gun yenye uwezo wa kurusha risasi 3,000 kwa dakika bila kutumia mfumo wa baruti (gunpowder) au mifumo ya kawaida. Imeundwa na chuo kikuu cha uhandisi cha Jeshi la PLA, silaha hi8 inategemea betri la lithiamu ioni na koili 20 za...
  11. Myahudi Jr II

    No US (Student) VISA until further notice, China ndio inapige kelele na kulia lia

    Jana na juzi mitandao imepiga kelele ikiongozwa na Serikali ya China baada ya DONALD TRUMP kuagiza balozi zote kusitisha visa appointment zote na kutopanga new appoitnments mpaka maelezo mengine yatakapotolewa CHAKUSHANGAZA China imetoka kimbelembele na kusema ni kinyume na haki na "China...
  12. Just Pray

    Marekani imetangaza kuanza kufuta viza za wanafunzi wa China

    Marekani imetangaza kuwa itaanza kufuta viza za wanafunzi kutoka China, hususan wale wanaohusishwa na Chama cha Kikomunisti cha China au wanaosomea fani zinazotajwa kuwa nyeti kwa usalama wa taifa. Marekani imetangaza kuwa itaanza kufuta viza za wanafunzi kutoka China,hususan wale wanaohusishwa...
  13. Fbn

    Copy and paste ya China ndio kikwazo kwa Marekani kuanza kufuta Viza za masomo vyuo vikuu

    Wachina wamesababisha haya yote kufanya Rais Trump kufuta viza za masomo. Kwa nini na sema haya ?.Nchi ya china elimu kubwa wamepata USA tena upande wa teknolojia inaonesha kuwa ndio hasira za Rais Trump. Jambo lingine ni kwamba wanafunzi wengi ni majasusi wa nchi walizotokea na sasa kuna...
  14. Mshana Jr

    China tayari imezindua 10G

    China tayari Imeanzisha Mtandao wa Broadband wa Kwanza wa "10G" Duniani! 🤯 Kumbuka sio 6 ah 7G ni 10G!... Mshindani wake mkubwa Marekani bado anahangaika na 6G kuitafuta 7G😀 Sisi huku Afrika tuendelee tu kunywa mtorii na kufanyiana figisu za kisiasa, hayo mengine tuyasome Kama simulizi za Alfu...
  15. Rorscharch

    China yafanya mapinduzi katika nguvu za nyuklia kwa kutumia utafiti ulioachwa na marekani — funzo kwa taifa letu

    UTANGULIZI: UTAWALA WA MAARIFA KATIKA KARNE YA 21 Katika karne hii ya 21, nguvu siyo tu silaha, siyo tu fedha – bali maarifa. Taifa linalomiliki maarifa ya kisasa na kuyaendeleza lina nafasi kubwa ya kutawala mustakabali wa dunia. Hivi karibuni, China imeandika sura mpya ya mafanikio ya...
  16. Yoda

    Musukuma afahamishwe tukiwa kama China hawezi kuwa mbunge

    Mbunge Musukuma ameelezea kisa cha kumfurahisha kilichomtokea alipokuwa China ambapo dereva taxi aliwashusha kwenye gari yeye na mkalimani wake baada ya kuanza kumjadili rais wa China. Hilo jambo lilimfurahisha sana Musukuma hadi leo akichangia bungeni akapendekeza na kusisitiza na sisi...
  17. Yoda

    Waziri wa nchi kuvaa magwanda ya red army ya wakomunisti wa China inamaanisha nini katika nchi inayojinasibu ya demokrasia?

  18. Atlast nimempata

    Ni mustakabali wa internet na mitandando ya kijamii kama wenye mamlaka wanaweza kuizuia na kuruhusu tuone au kusikia wanachokitaka? Case China/Korea

    Mustakabali wa intaneti unapokuwa chini ya mamlaka yenye uwezo wa kuzuia mitandao ya kijamii na kuwaruhusu wananchi kuona au kusikiliza kile tu wanachotaka—kama ilivyo kwa China na Korea Kaskazini—huenda ukawa na sifa zifuatazo: 1. Intaneti ya Kitaifa, Siyo ya Dunia Kutengwa na Dunia...
  19. Fbn

    Kumbe ndio maana uraisi ni mtamu sana yani mshahara wa raisi wa tanzania ni mkubwa kuliko raisi wa china.

    Kuna orodha nimepata hapa ikionesha dunia nzima maraisi na mishahara yao.Samahani hizi sio benk statemnt za CRDB ni zadunia. raisi wa china mshahara wa mwezi ni USD 20000 na wa raisi wa tz ni usd 47300. Na hapo kumbuka ni mwakajana ukisikiwa watumishi na walimu mumeongezewa mshahara mkaanza...
  20. N

    China ilipeleka msaada Gaza ikiusindikiza na ndege 6 za kijeshi

    Kwanini hizi taarifa hazitangazwi kwenye vyombo vya habari vya mataifa ya magharibi? Check video ina maelezo ya kiswahili
Back
Top Bottom