Tarehe 25 Machi 2013, baada ya Rais Xi Jinping kuchukua wadhifa wa Urais wa China, alitembelea Afrika kwa mara ya kwanza. Alipohutubia katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwl. Nyerere nchini Tanzania, alitoa mara ya kwanza wazo la sera ya China kwa Afrika ya “Ukweli, Matokeo Halisi...
China’s Vice President Han Zheng is in Kenya for an official state visit aimed at deepening diplomatic and economic relations between Nairobi and Beijing.
The high-level visit underscores the growing partnership between the two countries, with discussions expected to focus on trade...
Hivi karibuni, Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed, Rais wa Djibouti Ismail Omar Guelleh, na Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud walihudhuria hafla ya uzinduzi wa mradi wa umeme wa upepo wa Aysha, uliojengwa na kampuni ya China katika Mkoa wa Somali, mashariki mwa Ethiopia.
Kwa muda mrefu...
Mjini Mogadishu, mji mkuu wa Somalia, bidhaa za China hazijadhibitiwi tu kwenye maduka halisi, kwani zinaonekana kwa wingi katika skrini za simu za mkononi, zikijaza vikapu vya manunuzi, na kupelekwa moja kwa moja mlangoni kwa wateja kupitia mtandao unaoendelea kupanuka wa maduka ya mtandaoni...
Mabadiliko ya Tanzania kuelekea magari ya nishati safi yamepata kasi mpya baada ya kuwasili kwa magari ya kwanza ya umeme aina ya pickup, yanayoendeshwa kwa ushirikiano wa teknolojia na usambazaji wa China.
Jenga Taifa Pamoja Auto Limited (JTP Auto), kampuni ya magari ya umeme Tanzania...
Kwa Li Qiaoyang, kijana shabiki wa kutalii kutoka mkoa wa Shandong, mashariki mwa China, ndoto ya likizo si kutembelea majumba ya makumbusho katika nchi za Ulaya ama fukwe za Asia Kusini Mashariki. Badala yake, anaota ndoto ya kwenda kutembelea uwanda mpana wa mbuga za Afrika.
Li, aliyezaliwa...
Kadiri miaka inavyoenda ndivyo umuhimu wa China unazidi kuonekana duniani, Mchina ana soft power moja inayokua kwa kasi sana.
China haihitaji kuanzisha unnecessary wars and conflicts duniani kama Marekani to prove how powerful it is.
Chinese strategy; do nothing and win game theory.
Tangu...
KWA Maduro Venezuela tukasema MMH hakuwa na makubaliano ya kumlinda, tukafunika kombe,
Mmmh HATUJA KAA SAWA mara KHAMENEI hatunae, TENA HUYU walimhakikishia kabisa wakajifanya KUSIMAMA kidete, Kiko WAPI, HAWA JAMAA Nina mashaka na UWEZO WAO KWA KWELI Yani hakuna jaribio walio zuia, ni...
Zamani, makombora mengi ya Iran yalitegemea GPS ya Marekani, ambapo Marekani aliweza kuizima au kuivuruga (jamming) wakati wa vita.
Iran sasa imehamishia mifumo yake ya kijeshi kwenye mfumo wa BeiDou-3 wa CChina Mfumo huu unawapa Iran uwezo wa kulenga kitu kwa usahihi wa hadi sentimita chache...
Wiki tatu zilizopita, Ali Hamad Kombo mwenye umri wa miaka 31 aliamini maisha yake ya kazi na kujitafutia riziki kwa ajili ya familia yake yalikuwa ndio basi tena ghafla tu yamefikia mwisho.
Kombo ambaye ni kondakta wa daladala katika wilaya ya Chake Chake Kisiwani Pemba, Zanzibar, anategemea...
Maduro; waliekuwa wanampa matumaini kuwa watamlinda na kumpelekea silaha za kujilinda ambazo hazikufanya kazi alichukuliwa kwa mabavu bila wao kufanya lolote kumlinda.
Khamenei: waliyekuwa wanampa maumaini kuwa watamalinda nakumpelekea silaha za kujilinda ambazo hazikufanya kazi ameuwawa...
Habari wadau? Naomba ushauri kwa wale wenye ufahamu n uzoefu wa hii biashara ya ma-tipper kati ya Howo na Faw zote zikiwa mpya 0km ni ipi bora kuanza nayo kwa mfanyabiashara mpya na ipi pia ukitaka kuuza baada ya kuitumia kwa mwaka mmoja au miwili inakuwa na demand kubwa toka kwa wanunuzi?
Serikali ya Beijing imetoa karipio kali na kuitaka USA na Israel kusitisha kushambulia Iran la sivyo itachukua hatua Kali kwa muda sahihi
Source : msemaji wa serkali ya Beijing
Paper tiger (Mbwa asiye na meno) kaufyata wakati mwenzake anachezea kipigo.
China linapokuja suala la operesheni za kijeshi ni mchumba tu. Wairani walimuomba Trump awasaidie, naye akawaitikia. Xi na China yake yeye siku zote msimamo wake si kwa wananchi wa nchi husika, bali anasimama na...
China imefikiria upya usalama wa moto hasa katika majumba makubwa na kwa kupitia AI imepata muarobaini wa jambo hilo.
Katika jaribio lililodhibitiwa, watafiti waliwasha moto ndani ya jengo kubwa. Ndani ya sekunde chache, mfumo huo unaoendeshwa na AI ulihisi joto joto hilo la moto kwa mbali na...
Kampuni za magari kutoka China zinafanya vizuri kwenye soko la magari SA na imepelekea kampuni ya Cherry kununua kiwanda cha Nissan kilichopo Pretoria kuanzia mwakani kitakua kinazalisha magari ya kutoka China na si Nissan tena.
Pamoja na kuwekewa kodi kubwa kwa gari zinazotoka China ila...
Kwa kipindi cha hivi karibuni, kumekuwepo mijadala kuhusu kasi ya ongezeko la raia wa kigeni kutoka China. Kasi hiyo imeibua mijadala mseto katika jamii, hususan kupitia mitandao ya kijamii.
Kuna kundi linaloona kuwa kasi hiyo inaweza kuchochea mabadiliko ya kiuchumi, hasa katika sekta ya...
“Chun jie kuai le” ni maneno ambayo kwa sasa yanasikika sana masikioni mwa Wachina na wageni waliopo hapa China hasa kwa kuwa sasa tupo katika msimu wa mwaka mpya wa jadi wa China. Maneno haya yanamaanisha “Heri ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China”.
Mimi nikiwa mgeni ambaye ninaishi China kwa karibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.