cheo

CHEO is a pediatric health-care and research centre located in Ottawa, Ontario, Canada. CHEO is also a tertiary trauma centre for children in Eastern Ontario, Nunavut, Northern Ontario and the Outaouais region of Quebec and one of only seven Level I trauma centres for children in Canada (others being The Hospital for Sick Children in Toronto, the Montreal Children's Hospital in Montreal, the Centre hospitalier universitaire Sainte-Justine in Montreal, IWK Health Centre in Halifax, Alberta Children's Hospital in Calgary, Stollery Children's Hospital in Edmonton, and BC Children's Hospital in Vancouver). It is affiliated with The Ottawa Hospital and the University of Ottawa, and is funded by the provincial Government of Ontario. CHEO first opened its doors on May 17, 1974, and is located at 401 Smyth Road, Ottawa, Ontario.
CHEO includes a hospital, children's treatment centre, school and research institute, with satellite services located throughout Eastern Ontario. CHEO provides complex pediatric care, research and education. CHEO is a founding member of Kids Health Alliance, a network of partners.
In addition to its clinical mandate, CHEO is an academic health science centre. Each year, it provides education to 2,300 future pediatricians, nurses, and other health professionals.

View More On Wikipedia.org
  1. Missile ya Mullahs wa irani inafika Bongo!

    huo ndio mzingo ambao irbm ya islamic republic of iran inaweza ku-hit, ni 4500km from tehran, hawa mullahs siyo wa mchezo mchezo aisee ...
  2. Tundu Lissu hawezi kuhongeka kwa cheo feki cha "Makamu wa Rais"

    Kuna chaka ambalo linataka kutumika katika maridhiano la kumuahidi Umakamu wa Rais au Uwaziri Mkuu Tundu Lissu kama sehemu ya kumpoza na kurudisha imani ya Jumuiya ya Kimataifa ambayo kwa kika siku inayokwenda wanazidi kukaza kamba. Hili chaka ka kuzawadia watu Umakamu wa Rais au Uwaziri Mkuu...
  3. H

    Afisa wa Cheo cha juu wa Jeshi la Polisi Auawa Iran, Kulipiza Kisasi cha Mauaji ya Polisi kwa Waandamanaji

    Taarifa za karibuni ni kwamba waandamanaji wamefanikiwa kumwua afisa wa juu wa jeshi la polisi, mmoja wa watoa amri kwa maafisa wa chini. Afisa wa polisi aliyeuawa ni Luteni Shahin Dehghan. Naonawananchi wa Iran wameamua kupambana na mzizi wa fitina badala ya polisi wa kawaida. Na hakika, kama...
  4. M

    Default settings za mwafrika ni wizi, akipata cheo, lori likianguka, n.k. anachowaza ni kuiba

    Hata kama wizi upo kote ila kwa waafrika ni default settings Lori likipiga mzinga default settings za waafrika huwa ni Baraka imeshuka, watu wanajsevia hawajali hasara wanayotengeneza Mwajiriwa anaelipwa kwa kodi za wananchi bado anahitaji mlungula au ya soda ili afanye kazi yake, bila hivyo...
  5. M

    Cheo na Amani kipi bora?

    Nimeuliza hili swali sababu dalili zilishaonekana kama mama alikuwa hapendwi na baadhi ya watu ingawa idadi imeongezeka mara dufu Hivi angeamua kujikalia pembeni kama Majariwa angepungukiwa na nini tofauti anavyoishi kwa kukosa amani ya moyo na kusakamwa na kila mtu?
  6. M

    Mtanganyika akishapata Ajira, Cheo au biashara hana habari na mambo ya haki, mali, wala shida za Tanganyika

    Mpe mtanganyika ajira, cheo, tenda au awe na biashara yake, atajiona wa tofauti sana,
  7. Kosa ni pale tuliporuhusu Ubunge kiwe ni cheo cha kupewa kama zawadi

    Rest in Heaven ndugu zetu,Damu zenu zikalie masikioni mwa Mwenyezi Mungu. Kama taifa tulishakosea kitambo sana, kuna mambo yalianza Kama utani ila kwa sasa ndo tunavuna matendo yake na litakuchukua muda kwisha mpaka waje viongozi wenye uchungu na nchi hii. Kitendo cha kuanza kuwapa watu cheo...
  8. WAJUZI: Huyu Dada ana Cheo Gani Hapa?

  9. K

    Haya ndiyo matumizi ya Tsh 600B za uchaguzi!!! Tusishangae vijana kuchoma nchi

    Wakati vijana wanamaliza vyuo na mikopo, nchi nayo inakopa sio kwa kuwasaidia vijana wetu bali inakopo na kutumia pesa kununua ma range rover , VX na chaguzi kama hizi. Serikali imetumia Tsh Billion 600 kwenye huu uchaguzi ambao tumeona waziwazi kura zinaibiwa, kura hata hazijahesabiwa, vurugu...
  10. M

    Aliyejiriwa ni mtumwa aliyefungwa mdomo na mshahara au cheo, ni ajabu kuona mtu asiye na ajira wala uhakika wa kipato akiogopa kujitetea

    Ni tangu enzi za ukoloni ajira iliweza kutumika kama kifaa cha kuogopesha watu wasifungue mdomo. Mkoloni alifungua mashamba, viwanda, na miradi mingi sana, watu walilipwa mshahara waweze kujihudumia hata kama walipata kidogo, ambao hawakuwa na ajira nao waliweza kusurvive, enzi hizo mambo...
  11. Kwamba jeshi likiwaunga waandamanaji ndio mishahara yao au cheo kitapanda? Wee form four utabaki na cheo hikoko abadan

    Halula! Yadunia yanachosha.. wewe darasa la saba, yule mwingine forum four faliya. Wadhani kuunga maandamano ndio mishahara utaongezwa sio! Hata ungekuja utawala wa Mansa au yule sultan bado ungepokea kidogo pengine kufurushwa kabisa. Na bado!
  12. Huyu mkuu wa mkoa wa Ruvuma alipandishwa cheo kwa kufuata seniority au ni zawadi ili aendelee kulinda maslahi ya boss wake kwenye makaa ya mawe?

    Siku chache baada ya Rais Samia kufanya ziara mkoani Ruvuma ikiwemo kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo na kutembelea migodi ya makaa ya mawe ambayo kwa sasa inasemekana na yeye ni mmbia ,Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma alipandishwa cheo ghafla kutoka kuwa kanali mpaka kuwa Brigedia General. Swali...
  13. Tuige mfano wa Ethiopia kuhusu matumizi ya cheo cha Daktari

    Ethiopia imepiga marufuku watu wasiosomea udaktari kuitwa au kujiita madaktari ima kwa sababu ya udaktari wa. heshima kama ule wa Jakaya Kikwete na Samia au wa kununa kama ule wa Gwajima na Msukuma. Nasi, kama taifa lenye watu wanaoona mbele hata kama tupo wachache, tupige marufuku ukilaza huu...
  14. Ethiopia Wanasiasa Marafuku PhD Za Heshima

    Wizara ya Elimu nchini Ethiopia imetoa Mwongozo mpya unaopiga marufuku Viongozi wa Serikali na viongozi wa Kisiasa nchini humo kutunukiwa Shahada za Heshima (Honorary Doctorate). Agizo hilo ambalo limetiwa saini na Waziri wa Elimu Nchini Ethiopia Profesa Berhanu Nega kuwasilishwa kwa Vyuo vikuu...
  15. M

    Tungejua ugumu wa cheo, wengi tungekaa pembeni

    katika Uislamu cheo na madaraka si kitu cha kung’ang’ania au kukipigania kwa hila. Mtume Muhammad ﷺ alitufundisha kuwa cheo ni amanah (uaminifu) na mzigo mkubwa kwa mwenye kupewa. 🔹 Dalili kutoka Hadith: Mtume ﷺ alimwambia Abdurrahman bin Samura: (Hadith Sahih Bukhari na Muslim) Mtume ﷺ...
  16. Mke wa Mrisho Mpoto alikua na cheo gani mpaka mwili wake ubebwe na bus la jeshi?

    Nimeona mitandaoni huko,mwili wa mke wa mrisho mpoto umebebwa kwenye bus la jwtz. Je huyo marehemu alikua ni Askari wa jwtz?
  17. Maisha Kitendawili: Ni sahihi IGP mstaafu kuwa mkuu wa mkoa, kama ilivyo sasa kwa Sirro?

    Ni kweli kwamba Kazi ni Kazi tu ili mradi mkono uende kinywani, lakini Je inawezekanaje aliyekuwa IGP akawe RC? Soma Pia: UTEUZI: Balozi Simon Sirro ateuliwa kuwa RC wa Kigoma, Kenan Kihongosi kuwa RC wa Arusha. TRC yapata Mkurugenzi Mpya Katika uteuzi ulifanyika Usiku huu Balozi Simon Sirro...
  18. Ukiteuliwa kuwa Balozi (Diplomat) kisha ukateuliwa tena kuwa Mkuu wa Mkoa unapokea Mishahara ya Vyeo vyote (Teuzi zote) au wa Cheo kimoja tu?

    Wajuvi wa mambo nasubiria majibu yenu tafadhali ili nijue jinsi gani Pesa za walipa Kodi Masikini (kutoka duniani) zinavyochezewa na Raia wa Oman.
  19. Alloyce PR: Uongozi wa Kweli Hauanzi na Cheo

    "Mwanasiasa anayesubiri kuwa Diwani, Mbunge, au Rais ndipo aanze kufikiria kuwasaidia wananchi, hana tofauti na kijana anayeoa kwa sababu umri umefika au ili kuficha madhaifu yake kwa mwanamke. Wapimeni wanaopiga kelele majukwaani kuhusu shida za wananchi, waulizeni, wamewahi kufanya nini katika...
  20. Ni kada gani unastaafu ukiwa na cheo Cha juu kiinua mgongo mil 80-100?

    SoMo hapo juu husika. Kuna hizi kada 1. Ualimu prim and secondary 2. Nurse and or Dr medicine 3. Police or Jw ? Msaada kwa wale waliostaafu? Tupeni experience. Ni kada gani unastaafu ukiwa na cheo Cha juu kiinua mgongo mil 80-100?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…