Mwaipopo anadhalilisha cheo cha Usheikhe.

Robert Heriel Mtibeli

Platinum Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
39,507
Reaction score
91,675
Hamjambo!

Zamani tulizoea kuona huku Ukristoni pakitokea watu wanaodhalilisha vyeo kama uchungaji, ukuhani, unabii na utume.
Ilifikia hatua mpaka Waislam wakawa wanasema Wakristo ni mazuzu kwani inawezekanaje mtu ajiitaye mchungaji au nabii awe hana sifa hizo na bado akawa na wafuasi na wanatoa hela.

Lakini muda umefika. Uislam nao umeingia katika mtihani. Pamezuka watu wajiitao waislam ambao wanaudhalilisha uislam na waislam. Masheikhe ubwabwa.

Mwaipopo nafikiri ni bora asitumie hilo jina la kwanza kama kweli anaheshimu dini yake hiyo na kuheshimu waislam wenzake. Kwani anaivunjia heshima na kuchafua hadhi ya usheikhe.

Mtu wa dini yoyote mwenye uchaji Mungu hawezi kumwombea mtu mwingine kunyongwa. Achilia mbali kushawishi watu waombee mtu mwingine anyongwe.

Mwaipopo acha kabisa hizo. Usitumie siasa kuwapa sababu wasioupenda uislam kupata reference ya kudharau dini yako.

Nimemaliza
 
Kiongozi umegundua tatizo gani kwa huyu Mwaipopo? Makanjanja wengi upande wa pili wamegunuda kuna upigaji kwenye dini na wao wameamua kuingia kwenye biashara. Alianza Mkenya anaitwa Deya kama televangalical sasa kuna Waislamu nao wamekua nazo TV kama Deya
 
Hamjambo!

Zamani tulizoea kuona huku Ukristoni pakitokea watu wanaodhalilisha vyeo kama uchungaji, ukuhani, unabii na utume.
Ilifikia hatua mpaka Waislam wakawa wanasema Wakristo ni mazuzu kwani inawezekanaje mtu ajiitaye mchungaji au nabii awe hana sifa hizo na bado akawa na wafuasi na wanatoa hela.

Lakini muda umefika. Uislam nao umeingia katika mtihani. Pamezuka watu wajiitao waislam ambao wanaudhalilisha uislam na waislam. Masheikhe ubwabwa.

Mwaipopo nafikiri ni bora asitumie hilo jina la kwanza kama kweli anaheshimu dini yake hiyo na kuheshimu waislam wenzake. Kwani anaivunjia heshima na kuchafua hadhi ya usheikhe.

Mtu wa dini yoyote mwenye uchaji Mungu hawezi kumwombea mtu mwingine kunyongwa. Achilia mbali kushawishi watu waombee mtu mwingine anyongwe.

Mwaipopo acha kabisa hizo. Usitumie siasa kuwapa sababu wasioupenda uislam kupata reference ya kudharau dini yako.

Nimemaliza
ok.🐒
 
Kabla ya kumuita Mwaipopo Sheikh ni vyema aje hapa kwa hekima kabisa mwanazuoni wa Kiislamu aeleze step by step mpaka mtu kuwa na tittle ya Sheikh anapitia ngazi zipi?

Pili tuje kwa huyu ndugu Mwaipopo tuwekewe Cv yake kama tunavyoonaga Cv za Kiteolojia za wanaparokia hapo ndio tunaweza kufanya mjadala.

N:B, Hasije mtu na tittle za Kiarabu Sheikh ni Mzee tunahitaji kidini in Islam faith.

Hii itasaidia kumjuwa Mwaipopo ni nani kabla ya kupoteza muda kumbe ni Nabii Tito tu aliyechangamka.
 
Ngoja wanazuoni wa kiislam watakuja hapa na ufafanuzi
 
Huyo anawakilisha wapuuzi wengi walio nyuma yake na wanamtuma. Bahati mbaya sana wana madaraka makubwa yanayowapwaya
 
Kabla ya kumuita Mwaipopo Sheikh ni vyema aje hapa kwa hekima kabisa mwanazuoni wa Kiislamu aeleze step by step mpaka mtu kuwa na tittle ya Sheikh anapitia ngazi zipi?

Pili tuje kwa huyu ndugu Mwaipopo tuwekewe Cv yake kama tunavyoonaga Cv za Kiteolojia za wanaparokia hapo ndio tunaweza kufanya mjadala.

N:B, Hasije mtu na tittle za Kiarabu Sheikh ni Mzee tunahitaji kidini in Islam faith.

Hii itasaidia kumjuwa Mwaipopo ni nani kabla ya kupoteza muda kumbe ni Nabii Tito tu aliyechangamka.
Sheikh ni jina la kuonesha tu heshima kwa mtu. Hata mimi Mkatoliki nina jamaa yangu Muislam huwa tunaitana Sheikh!

Kwa hiyo Mwaipopo kuitwa Sheikh haimaanishi ni mtu mwenye hadhi ya Imam anayeongoza Swala Msikitini. Ni jina tu atakuwa amejipachika.
 
KIPOOZEO ndiyo sheikh wa taifa
Kuwa Sheikh au kiongozi wa kiroho siyo tu kujua lugha karama ya usemaji au kutafsiri maandiko kwani uongozi wa kweli wa kidini unahitaji ukomavu wa elimu ya kina ya itikadi au theolojia na adabu ya ulinganizi
Ukiangalia kwa umakini hakuna tofauti kati ya Sheikh Kipoozeo na Sheikh Mwaipopo upande wa Uislamu na Mchungaji Masanja Mkandamizaji na Nabii Mwamposa upande wa Ukristo kwani wote hawa wanaangukia kwenye kundi la wahubiri wa jukwaani na burudani kuliko kuwa wanasayansi au wanachuoni wa dini
Kipoozeo na Masanja Mkandamizaji wanatumia sana mbinu za uchekeshaji dhihaka na lugha za mitaani ili kuvuta hisia za hadhira jambo linaloshusha hadhi na utakatifu wa mimbari wakati Mwaipopo na Mwamposa wamejikita zaidi kwenye ushindani miujiza kashfa au kushambulia madhehebu na imani za watu wengine badala ya kujenga misingi thabiti ya kiroho
Hali hii ni tofauti kabisa na viongozi waliopitia mifumo thabiti ya elimu kama vile Mashehe waliobobea kwenye Elimu ya Tawhid au Mapadre wa Kikatoliki na Wachungaji wa taasisi kubwa waliosomea Falsafa na Theolojia kwani viongozi hawa waliosoma kwa kina hawajihusishi na kashfa wala ushindani wa kidini bali kazi yao kubwa ni kuwafundisha waumini uwepo wa Mungu upendo na ukomavu wa kiroho
Kwa muktadha huo Kipoozeo hawezi kuwa Sheikh wa Taifa na Mwaipopo anadhalilisha usheikhe kwa sababu wote wawili wanakosa hikma na msingi wa kitheolojia unaotofautisha mwanachuoni wa dini na mhamasishaji wa kawaida tu.
 
..Mwaipopo anauza dawa lakini anatumia jina la Lissu kunasa wateja ktk mtandao wake.

..ukimsikiliza Mwaipopo huwa anaanza kwa kumshambulia Lissu lakini mwishoni utasikia tangazo la dawa.
 
Back
Top Bottom