cheo

CHEO is a pediatric health-care and research centre located in Ottawa, Ontario, Canada. CHEO is also a tertiary trauma centre for children in Eastern Ontario, Nunavut, Northern Ontario and the Outaouais region of Quebec and one of only seven Level I trauma centres for children in Canada (others being The Hospital for Sick Children in Toronto, the Montreal Children's Hospital in Montreal, the Centre hospitalier universitaire Sainte-Justine in Montreal, IWK Health Centre in Halifax, Alberta Children's Hospital in Calgary, Stollery Children's Hospital in Edmonton, and BC Children's Hospital in Vancouver). It is affiliated with The Ottawa Hospital and the University of Ottawa, and is funded by the provincial Government of Ontario. CHEO first opened its doors on May 17, 1974, and is located at 401 Smyth Road, Ottawa, Ontario.
CHEO includes a hospital, children's treatment centre, school and research institute, with satellite services located throughout Eastern Ontario. CHEO provides complex pediatric care, research and education. CHEO is a founding member of Kids Health Alliance, a network of partners.
In addition to its clinical mandate, CHEO is an academic health science centre. Each year, it provides education to 2,300 future pediatricians, nurses, and other health professionals.

View More On Wikipedia.org
  1. kipara kipya

    Huyu Maria Sarungi anatoa maagizo haya kwa wanachama, yeye ana cheo gani uko CHADEMA?

    Maria Sarungi ni nani ndani ya Chadema mpaka awapangie watu
  2. SSH2025_2030

    James Mbowe ana cheo gani huko CHADEMA?

    1. Mambo mengine CHADEMA mnajichanganya aisee. 2. Huyu mtu hata kujieleza hawezi ana cheo huko CHADEMA? 3. Kiwango chake cha juu cha Elimu? Usikute ngumbaru mwenzetu!!
  3. Juuchini

    Wasira ana cheo gani serikalini?

    Niko hapa namwona anatoa ufafanuzi kuhusu masuala ya umeme. Kwani mkurugenzi wa wa umeme hayupo? Source tbc
  4. Desierto

    Naomba mwenye wimbo wa Machenje= cheo anitumie

    Au hata link nipakue maana nimetafutia bila mafanikio
  5. OMOYOGWANE

    Ujumbe Kwa vijana mnaojipanga kusoma masters ili muwe ma boss : Ili upande cheo hauhitaji masters unahitaji mganga mzuri.

    Habari wakuu, Kwanza niweke wazi mimi Omoyogwane nipo Gamboshi bariadi nafanya research huku, kama kuna mtu anataka kuja PM sitamjibu Lengo la huu uzi ni kushare kile nilichokiona na kukijua, kama una swali uliza hapa hapa . Kupanda cheo kuna mambo mengi nyuma ya pazia tena ya kutisha na...
  6. CRICKET

    Kadinali huchaguliwa na nani na vigezo vyake ni vipi?

    Kadinali huchaguliwa na nani na vigezo vyake ni vipi?
  7. econonist

    Ni muda Cheo cha Makamu wa Rais kifutwe Tanzania

    Kwa Sasa Katiba ya Jamhuri ya Tanzania inatakiwa kupitiwa upya, na kuondoa cheo Cha Makamu wa Rais. Cheo hili hakina tija kinaongeza tu mlundikano wa vyeo visivyokuwa na maana. Makamu wa Rais Hana mamlaka Kama aliyonayo Waziri Mkuu, ndio maana Waziri Mkuu anaweza kumfukuza au kumsimamisha kazi...
  8. Meja Jenerali Isamuhyo

    Rais Samia mpandishe cheo Kanali Benard Paul Mlunga

    Aliyekuwa mpambe wa wa Rais Magufuli, Kanali Benard Paul Mlunga akimsikiliza Brigedia Jenerali Ibuge (hayupo pichani) ambaye ni Mkuu wa Chuo cha Ulinzi wa Taifa. Kanali Mlunga alijipatia umaarufu enzi ya hayati Magufuli kea uchapaji wake kazi uliotukuka. Nilijua alishapanda cheo kumbe amebakia...
  9. Royal Son

    Kama haujaoa au kuolewa njoo uone cheo chako

    Kwa Sasa hivi mimi ni Principal Bachelor
  10. Trainee

    Je, Askari wa Cheo cha Juu anaruhusiwa kumuonya Wa Chini yake kwa kumpiga?

    Swali hili nauliza kwa sababu kuna jamaa anasema hivi, nitanukuu ila baadhi ya sehemu za majina nitaficha "Tulipokuwa JKT Afisa mmoja wa jeshi ambaye ni moja ya viongozi wakuu wa kambi ile alitembelea na kigari chake akatusalimia kisha muda wa kuondoka akamwambia yule mwalimu wetu anayetupa...
  11. J

    Balile: Mzee Butiku aache uwoga atutajie majina ya Wauwaji wa Kibao aone kama hatutachapisha, aache kututukana Waandishi!

    Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Mh Balile amepinga Kauli ya Mzee Butiku kwamba Waandishi wa habari wa Tanzania ni Waoga sana Balile amesema yeye Mzee Butiku ndiye Mwoga kwani kama ana Majina ya Watekaji na Wauwaji wa Ally Mohamed Kibao ayapeleke kwa Waandishi wa habari aone kama...
  12. proff g

    Kiusalama Marehemu Mchungaji Mtikila alikuwa na cheo gani??

    Ukiisikiliza sauti katika video Kuna maneno mchungaji anayasema, Kwa cheo chako huna mamlaka ya kunikamata, akisisitiza Kwani we hujui?
  13. L

    Puuzeni taarifa za uteuzi wangu. Mimi ni Mwanachama wa kawaida na wala sina cheo ndani ya CCM

    Ndugu zangu Watanzania, Nimesikitika sana ,kuumia sana,kuhuzunika sana na kusononeshwa sana na taarifa za uongo,uzushi, uchonganishi na ufitini zilizoletwa humu jukwaani na mwana jukwaa zinazosema ya kuwa Mimi nimeteuliwa au kupewa nafasi ndani ya CCM. Niseme ya kuwa taarifa hizo ni za uongo...
  14. BUMIJA

    Hakuna mtoto wa tajiri au mwenye cheo anasomea ualimu

    Wasalaam,hakuna mtoto wa mwanasiasa au tajiri anayesomea ualimu hapa Tanzania. Education ni kazi isiyo na marupurupu na posho. Huwezi kuta mtoto wa mtu anayejiweza anasomea ualimu. Ukitaka ufe kwa pressure somea coz hizi zenye posho na mianya ya ulaji. Kaka yangu kasomea PSPA toka 2010...
  15. Greatest Of All Time

    Rais Samia ampandisha cheo mpambe wake (ADC) sasa ni Brigedia Jenerali

    Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amempandisha CHEO Mpambe wake (ADC) Kanali Nyamburi Mashauri nakuwa BRIGEDIA JENERALI. Kutokana na Brigedia Mashauri kupanda cheo, kwa taratibu za kijeshi hatokuwa tena...
  16. Dr Salla

    Kupandishwa Cheo Kazini baada ya kutokutwa na Jinai kwenye Utumishi wa Umma

    Wadau ninaomba kufahamishwa kuwa ni kifungu gani cha sheria katika Sheria ya Utumishi wa Umma ambacho kinatamka kwamba mtumishi wa umma aliyetuhumiwa kwa makosa ya jinai akikutwa hana hatia arejeshwe kazini na apewe stahiki zaje zote ikiwemo na kupandishwa cheo?
  17. T

    Njia rahisi ya kupata nafasi (cheo) ndani ya CCM au Serikalini kupitia siasa.

    Kwa Tanzania kama unataka kuendesha maisha yako kupitia siasa unatakiwa uwe ndani ya CCM kwani ndio chama kilichoshika dola. Ukiwa ndani ya CCM ni rahisi kupata nafasi (cheo) ndani ya chama au Serikalini. Lakini tatizo CCM ina watu wengi sana kuliko nafasi za uongozi au vyeo vya kuwapa wanachama...
  18. T

    Msigwa kafuata ulaji CCM, ni lazima apewe cheo

    Msigwa sio wa kwanza kuondoka CHADEMA kuhamia CCM. Wapo waliotangulia kabla yake, kwa hiyo tunasema amefuata nyayo za wenzake akina Waitara, Silinde na wengine wengi. Kwa upande wa CHADEMA hili ni pigo kwa namna yoyote ambavyo watalichukulia, lakini kwa CCM ni mtaji. Na mitaji kama hii huwa CCM...
  19. T

    Ukiwa mkuu wa mkoa ukijishusha haiondoi cheo chako.

    Ukiwa Mkuu wa mkoa ukijishusha, cheo hakiondoki Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mohamed Mchengerwa amesema hapendezwi na wakuu wa Mikoa nchini wanaojitutumua badala ya kujishusha kwa wananchi wao ili wawatatulie kero zao. “Ukijishusha kwa wananchi...
  20. J

    Watatezi wa makahaba, ndio mnataka Tanzania yetu iendelee kuwa hivi? Rais Samia mpandishe Bomboko cheo

    Ni picha imepigwa mitaa ya Sinza, baadhi ya wanawake wamekuwa wapo radhi kutoka nje almost uchi kabisa kwenda kujiuza Ukikutana na mdada anayejielewa na anayefanya kazi atakuambia watu hawa wanadhalilisha wanawake, Wanafanya wanawake kunekana kama bidhaa za nyanya au parachichi sokoni, ambapo...
Back
Top Bottom