cheo

CHEO is a pediatric health-care and research centre located in Ottawa, Ontario, Canada. CHEO is also a tertiary trauma centre for children in Eastern Ontario, Nunavut, Northern Ontario and the Outaouais region of Quebec and one of only seven Level I trauma centres for children in Canada (others being The Hospital for Sick Children in Toronto, the Montreal Children's Hospital in Montreal, the Centre hospitalier universitaire Sainte-Justine in Montreal, IWK Health Centre in Halifax, Alberta Children's Hospital in Calgary, Stollery Children's Hospital in Edmonton, and BC Children's Hospital in Vancouver). It is affiliated with The Ottawa Hospital and the University of Ottawa, and is funded by the provincial Government of Ontario. CHEO first opened its doors on May 17, 1974, and is located at 401 Smyth Road, Ottawa, Ontario.
CHEO includes a hospital, children's treatment centre, school and research institute, with satellite services located throughout Eastern Ontario. CHEO provides complex pediatric care, research and education. CHEO is a founding member of Kids Health Alliance, a network of partners.
In addition to its clinical mandate, CHEO is an academic health science centre. Each year, it provides education to 2,300 future pediatricians, nurses, and other health professionals.

View More On Wikipedia.org
  1. kyagata

    JamiiForums Tanzania Mke wa Mrisho Mpoto alikua na cheo gani mpaka mwili wake ubebwe na bus la jeshi?

    Nimeona mitandaoni huko,mwili wa mke wa mrisho mpoto umebebwa kwenye bus la jwtz. Je huyo marehemu alikua ni Askari wa jwtz?
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Maisha Kitendawili: Ni sahihi IGP mstaafu kuwa mkuu wa mkoa, kama ilivyo sasa kwa Sirro?

    Ni kweli kwamba Kazi ni Kazi tu ili mradi mkono uende kinywani, lakini Je inawezekanaje aliyekuwa IGP akawe RC? Soma Pia: UTEUZI: Balozi Simon Sirro ateuliwa kuwa RC wa Kigoma, Kenan Kihongosi kuwa RC wa Arusha. TRC yapata Mkurugenzi Mpya Katika uteuzi ulifanyika Usiku huu Balozi Simon Sirro...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ukiteuliwa kuwa Balozi (Diplomat) kisha ukateuliwa tena kuwa Mkuu wa Mkoa unapokea Mishahara ya Vyeo vyote (Teuzi zote) au wa Cheo kimoja tu?

    Wajuvi wa mambo nasubiria majibu yenu tafadhali ili nijue jinsi gani Pesa za walipa Kodi Masikini (kutoka duniani) zinavyochezewa na Raia wa Oman.
  4. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Alloyce PR: Uongozi wa Kweli Hauanzi na Cheo

    "Mwanasiasa anayesubiri kuwa Diwani, Mbunge, au Rais ndipo aanze kufikiria kuwasaidia wananchi, hana tofauti na kijana anayeoa kwa sababu umri umefika au ili kuficha madhaifu yake kwa mwanamke. Wapimeni wanaopiga kelele majukwaani kuhusu shida za wananchi, waulizeni, wamewahi kufanya nini katika...
  5. Doto12

    JamiiForums Tanzania Ni kada gani unastaafu ukiwa na cheo Cha juu kiinua mgongo mil 80-100?

    SoMo hapo juu husika. Kuna hizi kada 1. Ualimu prim and secondary 2. Nurse and or Dr medicine 3. Police or Jw ? Msaada kwa wale waliostaafu? Tupeni experience. Ni kada gani unastaafu ukiwa na cheo Cha juu kiinua mgongo mil 80-100?
  6. funaku

    JamiiForums Tanzania Cheo hiki kikubwa lazima kiheshimiwe sio kila aliyeshiba maharage tu awe anakitaja ovyo ovyo!

    Mamlaka hutoka kwa Mungu hayaji kiutaniutani tu. Sio wote tunaweza kuwa marais au mawaziri au viongozi. Hii ni karama yenye utukufu na kamwe haiwezi kubezwa tu. Ni kweli ipo mifano toka karne na karne inayoonesha baadhi ya Viongozi au watawala waliwahi kuabuse nafasi hizo. Uzoefu huo...
  7. figganigga

    JamiiForums Tanzania Reginald Munisi akataa uteuzi wa CHAUMMA

    "Nashukuru kwa heshima ya kuteuliwa kuwa mtaalamu CHAUMMA. Ingawa nathamini sana imani yenu, majukumu yangu ya sasa yananilazimu kuchukua "Back Seat" kisiasa kwa wakati huu. Nawatakia Sekretarieti mpya na Chaumma utendaji uliotukuka!" Awali John Mrema alitangaza kuteuliwa kwake
  8. Kichaka12

    JamiiForums Tanzania Kupanda cheo kwa walimu kwa kigezo cha PEPMIS

    Wasalaam ndugu zangu jukwaa la elimu Kumekuwa na taarifa kuwa waalimu watakaopanda vyeo KIGEZO CHA asilimia za ujazaji wa e utendaji. Hiki KIGEZO kitawanyima walimu wengi haki Yao ya msingi kwasababu zifuatazo. 1. Uelewa mdogo wa mfumo Tangu serikali iunde mfumo huu ni watumishi wachache...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa "Kima Cha Chini Cha Mishahara". Ni cheo cha hovyo kabisa kuwahi kukisikia

    Wakati PM akitambua uwepo wa viongozi mbalimbali waliohudhuria kwenye sherehe za Mei Mosi ametambua uwepo wa "mkurugenzi wa Kima Cha Chini Cha Mishahara". Nchi Ina vyeo vya hovyo hii! Yaani huyu mtu ni mkurugenzi wa kusimamia na kudhibiti mishahara ya Kima cha chini tu? Kima Cha juu yeye hataki!.
  10. F

    JamiiForums Tanzania Cheo cha Ubunge ni kizuri sana Tanzania

    Wanajukwaa hiki cheo ni kizuri sana, kikubwa sana au kitamu sana hapa nchini kwetu? Unajiuliza kinachotokea jijini Arusha mnyukano wa mkuu wa mkoa na Mbunge wa sasa unahusishwa na mbio za Ubunge. Yaani mtu hataki kuongoza mkoa anataka majimbo ndani ya mkoa tu.Vile vile Mzee Masatu Wasira...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Wa Tanzania tuheshimuni Cheo cha Raisi

    Kila jambo Raisi anaona,raisi utahusika na maneno kibao tu ,Hivi hakuna wakuu wa wilaya mikoa mawaziri wapolisi mpaka Mnathubutu kumvaa Raisi ? Mlipita kwa mkuu wa wilaya,au Mkuu wa Mkoa au vituo vya pilisi na ngazi zake zote hata mnaenda kugonga Ikulu ? Basi ngazi zote zivunjwe abakie Raisi...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua Elimu ya Padiri Mchungaji au Shehe, mpaka kufikia kwenye cheo alichonacho

    Nazani kuna watalamu humu ndani wanaojua elimu za hawa watu mpaka kufikia kupewa jukumu la kuwasemea watu Ili tuepukana na kukubali kusemewa na watu ambao hawana elimu kumbe uwezo wao wa kuchambua mambo ukawa mdogo, Ingawa bado kuna wengine na elimu zao bado wanabaki kuwa machawa wa watu fulani
  13. K

    JamiiForums Tanzania CHEO BILA KITABU

    WATU HAWAITAKI KABISA ELIMU YA VITABU ILA WANATAKA VYEO KWA SABABU GANI !?!? KWA SABABU NI WEZI WALIOVAA NGOZI YA MWANAKONDOO HUKU WAKIWA NI MBWA MWITU. Nilisikika katika Ulimwengu wa kiroho huko Usingizini nikibwata kuwakemea wezi wenye sura za kiutu huku wakiwa Mashetani yaliyovaa miili...
  14. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania John Mrema CCM hatukutaki kimbilia NCCR ukapigwe vumbi

    Kama ulikua Una wazo la kuja Veggies Sisi kwenye list yetu tumeshajaza vijana jobless wenye matarajio ya vyeo vya ulaji. Nakusihi wahi NCCR kama Selasini. ACT usijaribu maana sio mvaa kobazi
  15. K

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kuthaminiwa na kupata cheo ndani ya cha cha CCM serikali

    Kama wewe uko ndani ya CCM na unategemea kupata vyeo au kuwa mkubwa huko mbeleni eti kwa kuwasifia Viongozi wako na kuwatukana Viongozi wa upinzani,basi sahau,maana utakuwa kama Lucas Mwamshamba, Njia rahisi wewe nenda upinzani,hasa Chama Cha Chadema,vumilia kule hata miaka mitano halafu anzisha...
  16. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Malawi: Kupokea shahada ya Heshima hakumfanyi Mtu kustahili Cheo cha "Profesa" au "Daktari."

    Baraza la Taifa la Elimu ya Juu (NCHE) limewaonya vikali wananchi wa Malawi, likifafanua kuwa kupokea shahada ya heshima hakumfanyi mtu kustahili moja kwa moja kutumia cheo cha "Profesa" au "Daktari." Katika taarifa iliyotolewa jana, NCHE ilisisitiza kuwa shahada za heshima ni tuzo za ishara...
  17. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa cheo ni dhamana kaka, jifunze kuheshimu kazi na maamuzi ya wengine

    Kwanza kabisa naomba ufahamu kuwa mimi nimeandika hivi sio kwa lengo la kupinga makatazo yako kuhusu magari mengine (mbali na mabasi ya mwendo kasi) kutumia barabara za BRT. Sifurahii barabara hizo tulizojengwa kwa jasho la kodi zetu zije ziharibiwa kwa muda mfupi tu kabla ya lengo la ujenzi...
  18. Fbn

    JamiiForums Tanzania Najuta sana kuwa na mahusiano mwanamke askari mwenye cheo

    Wanaume wenzangu yani hawa wanawake wakikukosa sehemu ya mapenzi,pesa basi wanatumia vyeo vyao kutusurubisha. Nilipataga mdada mmoja simple na haya yote na mlaumu athumani wangu wa chini kutawala akili kuliko ubongo wangu. Baada ya kuchokana kazi ikaanzia hapo sasa. Kila kukicha naletewa...
  19. The ice breaker

    JamiiForums Tanzania Cheo ni dhamana, IGP Mstaafu Mahitta ajitokeza kuaga mwili wa OCD wa Chanika

    Ule ubabe na kiburi Cha IGP Omarry Mahita , leo nimemuona kwenye msiba wa mtoto wa rafiki yake Chico, akitembelea magongo Kwa Uzee . Asee cheo ni dhamana, na duniani tunapita, tuache kibri na tuishi na watu vizuri .
  20. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Mama Samia umepiga bull: Kamishna wa Ardhi cheo cha rushwa kubwa.

    Mama Samia sasa anaenda kukata mzizi wa fitna kstika rushwa zinazotokana na Ardhi. Kamishna wa Ardhi na Idara yake nxima inalalamikiwa sana katika suala la rushwa ilinkuhudumiwa kupata uhalali wa Ardhi. Wafanyakazi chini ya Idara hii wana ukiritimba wa kutisha, ili kutengeneza mazingiraya...
Back
Top Bottom