chawa

Chawa is a very old village in Bhera near the town of Bhera, Sargodha District, Pakistan. It is located at 30°59'0N 72°54'0E with an altitude of 153 metres (502 ft).The Bhalwana and Sipra are the main families of this village..
The first district Nazim of Sargodha Malik Amjad Ali Noon was from a village named Ali Pur Noon.
Chawa produces a specific kind of plant that is used in the manufacture of colour paints.

View More On Wikipedia.org
  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Chawa huwa hawashangilii wakisikia ukweli

    Basi bwana kwenye siku ya uhuru wa habari duniani, hapa ambapo mgeni rasmi ni Kassim Majaliwa, kipo kikundi cha Hamasa cha Mama Samia, ambao kifupi ni chawa. Sasa Mrisho Mpoto yupo hapa anatumbuiza. Cha kushangaza mwanzo wale chawa walikuwa wanashangilia sana kila wakisikia kitu kizuri...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Vikundi vya Hamasa vina tofauti gani na Chawa wa mama?

    Hivi karibuni kumekuwa na mjadala kuhusu watu wengi kujiita chawa wa mama, ambapo baadae Rais aliongea maneno ambaye nadhani yaliwarudisha nyuma kidogo. Leo, nipo Dodoma kama kawaida, kwenye one and two, tupo na waziri Mkuu hapa, kwa hiyo wamekuja wamama wengi wamevaa t-shirt zenye picha ya...
  3. D

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Huku chawa, kule wadudu

    Nchi hii Kuna mambo ya ajabu sana yanayoratibiwa na CCM. Tumewahi kuambiwa Kuna chawa wa CCM. Leo hapa Arusha waendesha boda-boda wanaitwa wadudu wa Rais Samia Suluhu Hassan nao wanashangilia kuitwa wadudu, dah! Tutafika tumechoka sana. Huku chawa kule wadudu.
  4. Tareq20

    JamiiForums Tanzania Anayegawa hizo tisheti za chawa wa mama akumbuke kuwapatia viatu vizuri pia

    Anaegawa hizo tisheti za chawa wa mama akumbuke kuwapatia viatu vizuri pia hawa chawa tafadhali
  5. funaku

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa haki za binadamu na ukimya wa matusi dhidi ya viongozi

    Kwa uzoefu wangu viongozi wengi ni watu waliopitia mateso makali nyakati za utotoni.yaani ukifuatilia utakuta waliwahi kunyanyaswa na wazazi au walezi kwa namna flani lakini kwa baraka za Mungu waliweza kuvumilia mateso hayo na hatimaye wakaibuka kuwa wasemaji na watetezi wa hali zisizo na usawa...
  6. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Namsikitikia mama Samia, kumbe amezungukwa na viongozi wanaomdharau na kumtukana!

    Mama yetu hajui ashike lipi na aache lipi, kila kona wamejaa machawa, ambao wako kumtumia tu, wakiwa gizani wanamdharau, wanamtukana, kumhujumu na kumchafua. Kwa sasa hajui nani ni rafiki na nani ni adui, ni vurugu tupu. Mama Samia pamoja na kuwapa vyeo vya dezo bado watu wale wamekosa shukrani...
  7. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Namsikitia mama Samia, kumbe amezungukwa na viongozi wanaomdharau na kumtukana!

    Mama yetu hajui ashike lipi na aache lipi, kila kona wamejaa machawa, ambao wako kumtumia tu, wakiwa gizani wanamdharau, wanamtukana, kumhujumu na kumchafua. Kwa sasa hajui nani ni rafiki na nani ni adui, ni vurugu tupu. Mama Samia pamoja na kuwapa vyeo vya dezo bado watu wale wamekosa shukrani...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Chawa ni nani?

    Nimekaa natafakari kwa nini baadhi ya watu wanajiita chawa. Leo nimepata jibu kuwa ni WANYONYAJI. Ningeomba serikali ipige marufuku watu kujiita chawa. Kwa wale tunaounga mkono uongozi wa rais Samia basi tuitwe tu WAPAMBE coz tupo naye bega kwa bega. Mimi ni mpambe pia.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Makundi saba ya chawa kindaki ndaki yanayotatiza mabadiliko

    1. Chawa bila kujali sekta ni janga lisilokuwa na tija. 2. Chawa huwa hawaoni wala kusikia dosari kuwahusu. 3. Kaulii hizi: "barabara ndefu haikosi kona" au "mwanamke mrembo hakosi kasoro," hazina maana yoyote kwao. Makundi haya yanahusika: a) Chawa wa mama: Hawa huwaambii kitu kumhusu bi...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Askofu Daniel Ouma ageuka chawa wa CCM kwenye msiba wa mke wa Gachuma Bukenye, amsifia Rais Samia mwanzo mwisho

    Tazama jinsi Askofu Askofu Mkuu wa Kanisa la New Life Gospel Community Church (NLGCC), Dk. Daniel Ouma alivyogeuka kuwa 'Chawa wa CCM' kwenye ibada ya mazishi ya mke wa Gachuma Bukenye, mama Fransisca Gachuma.
  11. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Upinzani Senegal kuelekea ushindi, tunayo ya kujifunza?

    Sonko, Faye na wengi wengine wametokea magerezani vitani dhidi ya watawala: Vita dhidi ya watawala haviwezi kuwa vya maelewano. CCM yupi ataridhiana na nani ili kwamba atoke madarakani? Labda tu ili ajisimike madarakani kisawa sawa! ---- Opposition leader Bassirou Diomaye Faye has emerged...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Je, Hayati Mkapa hakuwa na Chawa? Sioni wanaomkumbuka

    Ndio maana tunawashauri viongozi wa Nchi yetu wajikite kutimiza malengo na uzalendo kwa Taifa lao waachane na vipaumbele vya vyama vyao. Chawa huwa wanakuzunguka na kukupigia makofi pale tu unapokuwa Madarakani. Ukiondoka wanakutupa wanahamia kwa mwingine mwenye uwezo wa kuwapa vyeo, fursa na...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awakana machawa, asema yeye hana makundi

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa yeye hana kundi, bali anafanya kazi na kuwaongoza wotanzania wote kwa usawa na ndivyo alivyowataka wakuu wa mikoa wakafanye kazi kwa usawa kama yeye anavyofanya. Rais Samia ameyasema hayo leo Machi 13, 2024 katika halfa ya kuwaapisha baadhi ya viongozi...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Kuna kipindi wasanii, viongozi wa dini na CHAWA wamewahi kuingia mara nyingi Ikulu kama sasa hivi?

    Ikulu ya Magogoni imewakarimu sana viongozi wa dini na wasanii wakiambatana na CHAWA. Nadhani hiki ni kipindi ambacho kila mwezi hata makundi lazima yawe Ikulu. Je, huu ni ukarimu? Na ukarimu huu unamchango wowote kwa wananchi maskini? Lengo la huu ukarimu ni nini kitaifa? Maskini waliopo...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ni ngumu kushika nafasi za juu ukishakuwa chawa

    Kwema Wakuu, Ukishakuwa Chawa katika siasa jihesabie upo kundi la wanyonge. Utawala unaanzia kwenye nafsi ya mtu. Ukifuatilia watawala wakubwa wa ngazi za juu hasa ufalme au Urais wanafanana tabia moja, kutokuwa Chawa. Ni rahisi sana mtu asiyechawa kuingia katika nafasi ya Urais au nafasi...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Chawa wa mwafulani mnanufaika nini na huo uchawa?

    Nadhani ingekuwa vema kama mngekuwa chawa wa nchi badala ya mtu. Kwasabb mtu anapita tu ktk hiyo nafasi, lkn nchi ikiharibika hatuna pa kukimbilia. Si mnaiona mifano ya Ukraine na Palestine (pale Gaza)? Tusimame imara ktk kutete nchi yetu kwa kuwakosoa viongozi wenye mwenendo mbaya ktk madaraka...
  17. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Video: Manara na Chawa wake wakimshambulia Dulla Makabila

    Haji Manara ameamua kuungana na Dotto Magari kumshambulia aliekuwa Ex wa Mke wake Dulla Makabila. Angalia video hapa Nini maoni yako? Written by Mjanja M1
  18. Mmawia

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Malasusa hakuanza leo kuwa mwana CCM, alishajitenga na dini akabakia kwenye siasa

    Hakuna anayeshangaa kwa matamshi ya Askofu Malasusa leo hii Tulikuwa tunamuona Malasusa anashiriki vikao na Jiwe na anapewa airtime ya kutosha kuwasema wapinzani hadharani. Hivyo Leo ulikuwa ni kuhitimisha na kwaeleza wafuasi wake kuwa yupo pale kuhubiri mambo ya ccm. Kwa hizi tabia Romani...
  19. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lema awashukia Chawa wa CCM

    Mjumbe wa Kamati kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Godbles Lema, ameonyesha kuchukizwa na maneno ya Wanachama wa CCM mitandaoni kuhusu Huruma ya Rais Samia kwa Chadema. Kupitia mtandao wake wa X Lema ameandika, "Kuna haya maneno mnasema , Mh Rais SSH amewafutia kesi,mlikimbia...
  20. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Kosa lako ni kutokuwa Chawa Joti

    Machawa wanaendelea kuneemeka kutoka kwa Matajiri nchini, angalia hapa jinsi Mwijaku na Babalevo wanavyopata pesa kiulaini. Joti kosa lako ni kutokuwa Chawa, kama ungekuwa chawa basi nawewe ungepata mtonyo wa Silent Ocean.
Back
Top Bottom