chawa

Chawa is a very old village in Bhera near the town of Bhera, Sargodha District, Pakistan. It is located at 30°59'0N 72°54'0E with an altitude of 153 metres (502 ft).The Bhalwana and Sipra are the main families of this village..
The first district Nazim of Sargodha Malik Amjad Ali Noon was from a village named Ali Pur Noon.
Chawa produces a specific kind of plant that is used in the manufacture of colour paints.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Steve Nyerere Dubai, muendelezo wa Chawa wa Mama kujipanga kutetea DP World?

    Steve Nyerere ameshea katika ukarasa wake wa mtandao wa Kijamii matukio mbalimbali, akiwa Dubai, na nyingine akiandika kuwa "Tunarudi uwanja wa vita." Ndio kumaanisha wanarudi kuendeleza mapigano ya kutuaminisha Mkataba na DP World mambo mazuri, tufunge midomo?
  2. R

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya Chawa wa Mama ni sahihi, ila ya kupinga huduma mbovu nchini ni kupigwa virungu!

    Maandamano yanayounga juhudi za mama yameenda vizuri kabisa, hakuna virungu, matamko ya kukataza maandamano kabla, wala askari kuwa standby kukamata watu! Inakuaje kinyume watu wakitaka kuandamana ikiwa hawajaridhika na utendaji wa serikali? Kwanini waandamanaji wanachukuliwa kama wahalifu na...
  3. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Aibu kubwa Rais kutembea na 'chawa' wake na kuwalipa kutetea anapokosolewa anapofanya makosa

    Aibu kubwa sana, yaani kumbe wanagombea posho na UVCCM? This is a misuse of public funds.
  4. ChawaWaMama

    JamiiForums Tanzania Sisi Chawa wa Rais Dkt Samia tunasema aachwe afanye kazi!

    GTs, Kwenye mambo ya mikataba Rais Dkt Samia siyo mwanasheria ana wasaidizi wake na tena kuna Professor wa Sheria Professor Kabudi alimteua ndiyo kigogo wa mikataba yote. Hata huu wa Bandari alaumiwe Professor Kabudi mwenye kazi yake. Maana tumewavumilia tumechoka na ngonjera zenu mara ohh...
  5. ChrisantD44

    JamiiForums Tanzania SoC03 Chawa wa nafsi yangu

    “Zungu la wazungu nyayo zako uvungu wangu, usikanyage vumbi baba simama begani kwangu kichwa kiguse mawingu, baba hauna baya, baba ukifa hauozi, mbinguni njia yako ni ya lami na dhambi zako nachukua mimi, hata ukimtaka mke wang…..” Ayaa”,ninalalama kwa sauti nikiusoma ujumbe unaonitaarifu juu ya...
  6. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Tuliposema na wao wanafuata kabla ya 2025 chawa walibisha. Alluta continua

    Mungu wa mbinguni ni wa wote tumisifu na kumtukuza tupendane sisi sote wapitaji ndivyo kauli za utu na ucha Mungu. Kwa wale wasioamini waendelee na Imani zao ukiombea baya kwa pretence yoyote basi nawe au nanyi njia ni hio hio. Leo hii huko nchi Sudan walioua kwa Mapinduzi wanaendelea...
  7. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Chawa hakai kwa maiti, binadamu akifa chawa huamia kwa mwingine

    Watawala hawajui hiki kitu. Wanawakumbatia sana Chawa pasipo kugundua siku wakifa wale Chawa huangalia binadamu mwingine mwenye hali ya kuwakaribisha anahamia huko. Kama huamini Rais wa sasa ajidai amekufa kwa mwezi mmoja tu aone hawa alio nao sasa watasemaje akiwa amekufa. Wasiwasi wangu ni...
  8. Robot la Matope

    JamiiForums Tanzania Spika Dkt. Tulia aomba jimbo la Mbeya Mjini kugawanywa

    Picha: Spika Dkt. Tulia Akson Spika wa Bunge, Tulia Ackson ni miongoni wa wabunge waliowasilisha maombi ya kugawa majimbo yao ili kuwa mawili kutokana na ukubwa na wingi wa watu. Taarifa hiyo imetolewa leo bungeni na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu Ummy...
  9. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Huyu chawa yeye alimkabidhi nani akili?

    Kuna wakati aliwaambia mashabiki wa Yanga kwamba kati ya wingi wao wenye akili ni wawili tu. Baba yake na Rais Kikwete. Muulizeni baada ya kuhamia Yanga yeye akili zake alimkabidhi nani
  10. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna CHADEMA kama chama cha siasa au ni chawa wa chama kilichopo madarakani?

    Ukifuatilia nyendo za Viongozi Wakuu wa CHADEMA unaona kabisa ni wazi tena kwa makusudi wameamua wawe chawa wa Samia (wa CCM) wakidhani wanamkomoa Hayati Magufuli kwa kile wao hudhani na kuamini eti aliwanyanyasa kwenye harakati zao wakati yeye alipokuwa na Mamlaka 😄. Binafsi, napatwa na...
  11. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe asema Mbunge Sanga ni ‘Chawa’

    Akizungumza jana kwa simu na Mwananchi, Mbowe alisema Chadema haipo kwa ajili ya kumbeba Rais Samia. "Sipendi sana kucomment in person kuhusu Sanga, lakini Chadema haipo kwa ajili ya kumbeba Rais Samia, atabebwa na chama chake (CCM). Tutapambama na Chadema kitakuwa na wagombea wa urais wazuri...
  12. Logikos

    JamiiForums Tanzania Mwl. Nyerere alisema heri Mjinga kuliko Mpumbavu. Sasa najiuliza huenda Mpumbavu ni bora kuliko Chawa

    Najiuliza Kama kipindi hicho angekuwa na Maono ya Hawa machawa sijui angesemaje - Sababu Kama Mjinga akiambiwa / akijifunza anaelewa; Na Mpumbavu ni Kipaji yeye anabisha tu na akiambiwa haelewi nadhani ni Bora kuliko anayejua lakini anaendelea kufanya anchofanya huku akijua kina walakini...
  13. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Chawa wa mama wajengewe uwezo

    Wasalaam wana JF, Baada ya mama kukiri kuwa ana pita pita humu ni hakika chawa wake wataongezeka na mapambio na kaswida nazo zitaongezeka. Si vibaya mtu kupewa sifa anayo stahili, ila watoa sifa ambao ni machawa na walamba viatu wanapaswa kuongezwa kidogo (building their capacity). Wapige...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Imekuwa siku Mbaya sana kwa chawa wa Rais Samia

    Hii ni Kwa timu nzima ya kina joni au timu sifia sifia. Haupo uhakika leo kama kina mwashambwa usingizi wataupata. Kwa hakika hali zao haziwezi kuwa hali. Haupo uhakika Mama atawachukulia je tena. Kwa maana kilichosemwa let o, ndiyo ulio ukweli wenyewe. Kwamba Hawa ni vijana walio wa hovyo...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Waziri Pindi Chana umeamua rasmi sasa kuwa 'Chawa Gegedu' wa Rais Samia?

    Haiwezekani leo katika Hafla fupi ya Kumkaribisha Naibu Waziri wako Mwana FA Wizarani umetumia dakika 17 zote Kumsifia (tena Kinafiki) Rais Samia huku ukitumia tu dakika 2 Kuelezea Malengo ya Wizara yako ambayo wenye Akili tunajua kuwa huiwezi na hutoiweza sema tu Mama ( Rais ) anaona Aibu...
  16. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Arusha: Kituo kikuu cha Mabasi ya kwenda mikoani chawa kero kwa watumiaji wake, hakilingani na hadhi ya jiji

    Kituo kikuu cha mabasi ya kwenda mikoani kilichopo jijini Arusha kimekuwa kero kwa watumiaji wake kutokana na adha mbalimbali zinazowakabili abiria pamoja na wanaowasindikiza. Kituo hicho kikuu cha mabasi kipo hapo tangu uhuru hadi na sasa kitu ambacho hakiendani na hadhi ya leo hii kutokana...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Hata kama Chawa wa Rais Samia, sio kutete supuuzi. Yaaani ongezeko la Tsh 1,500 ndio iwe sababu?

    Chawa wa mama Samia acheni ujinga
  18. M

    JamiiForums Tanzania 99% ya Viongozi, Mabosi Ofisini, Matajiri na Watu maarufu 'Wanarogwa' sana na mno na 'Chawa' wao

    Hakuna Chawa wa Kiongozi, Bosi, Tajiri au Mtu maarufu yoyote asiyezunguka kwa Waganga wa Kienyeji Kuroga ili asitoswe na awe anapiga Pesa za Bwerere.
  19. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania TUCTA pamoja na nyie kuwa chawa wa CCM, kuwanyamazisha wafanyakazi ni dharau

    Kitendo cha TUCTA kudhani kuwa wanamjibu Heche kuhusu wafanyakazi kuporwa haki yao ya mafao kwa kumuambia eti wamekubaliana na serikali na mjadala umefungwa hiyo ni kuwadharau wafanyakazi. Heche hahusiki na pensheni za wastaafu ila aliongea akiwa na haki ya kutoa maoni dhidi ya wafanyakazi...
  20. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania CCM ifanye vetting ya chawa

    Siku za nyuma kidogo kulikua na tuhuma kwamba kuna watu wameandaliwa na chama tawala kuja kutetea kila kitu kinachofanywa na serikali huku mitandaoni kwa malipo ya shilingi 7000 kwa siku, sina uhakika kama izo tuhuma zilikua za kweli Lakini matokeo tunayaona mitandaoni, kuna wapambe ambao...
Back
Top Bottom