Chawa huwa hawashangilii wakisikia ukweli

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,059
9,986
Basi bwana kwenye siku ya uhuru wa habari duniani, hapa ambapo mgeni rasmi ni Kassim Majaliwa, kipo kikundi cha Hamasa cha Mama Samia, ambao kifupi ni chawa. Sasa Mrisho Mpoto yupo hapa anatumbuiza. Cha kushangaza mwanzo wale chawa walikuwa wanashangilia sana kila wakisikia kitu kizuri kimesemwa.

Mpoto akawa anataja matatizo ya wanahabari, kama kuishi kwa bahasha, kukosa mikataba ya kazi nk. Kwa kweli waandishi na wadau wakawa wanapiga makofi, lakini wale Chawa wa Mama, au Kikundi cha Hamasa kilikuwa kimya sana kwenye maneno hayo ya Mpoto, au ni mwiko wao kusikia ukweli?1714719551688.png


Mrisho Mpoto akifanya yake​
 
Ni shida kweli yaan….sidhani kama kuna mtu anajali shida ya mwingine akishajipata
 
Ila mwanaume akiendekeza sn uchawa hakawii kufumuliwa rinda, kumbuka uchawa na njaa ni sawa na uji na ugonjwa.
 
Back
Top Bottom