chawa

Chawa is a very old village in Bhera near the town of Bhera, Sargodha District, Pakistan. It is located at 30°59'0N 72°54'0E with an altitude of 153 metres (502 ft).The Bhalwana and Sipra are the main families of this village..
The first district Nazim of Sargodha Malik Amjad Ali Noon was from a village named Ali Pur Noon.
Chawa produces a specific kind of plant that is used in the manufacture of colour paints.

View More On Wikipedia.org
  1. Abtali Mwerevu

    JamiiForums Tanzania Chawa wa Mama Abdul

    Na: Mwalimu Makoba Tazama nikamuita mwanangu mpendwa, naye nikamtuma aende mjini akalete vitumbua ili tupate kushtua matumbo. Nilimwelekeza aende kwa Mama Abdul, mama muungwana, mtenda haki na kamwe hakupunja katika kipimo chake. Nami nikapanda juu ya mlima ili niweze kujionea yanayoendelea...
  2. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hadi wazee sasa nao wamekuwa chawa, waunga mkono 'mitano tena' kwa Rais Samia

    Baraza la Wazee wa Jiji la Arusha limeunga mkono uamuzi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wa kumteua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kugombea tena nafasi ya urais katika uchaguzi ujao. Wazee hao walionyesha uungwaji mkono wao kwa kauli ya “Mitano tena” mbele...
  3. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwijaku wa Kenya asema yeye sio chawa tena bali ni Balozi wa Rais Samia. Uchawa unaenda kuwa anguko la Samia!

    Wakuu, Kwa jinsi mambo yanavyoenda uchawa unaenda kuwa anguko la CCM. Rais Samia unaweza usiwe na ufahamu mkubwa kupambana na mavitu complex, lakini hata hili dogo la uchawa unaacha mpaka linakuwa out of hand namna hii? Anayekushauri anakupotosha, hawa machawa ndio watakuja kutumika dhidi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Lissu anasema hataki chawa, Mbona anao

    Katika siasa, neno "chawa" hutumiwa kama matusi au dhihaka kumwelezea mtu anayemuunga mkono au kumtetea kiongozi fulani kwa upofu, bila kuuliza maswali au kuzingatia ukweli. Tujiulize Lissu na Heche hawana machawa? Jibu wapo wengi 1. Nani anahoji hivi sasa? 2. Hawamsifu Lissu? 3. Hawapogi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania John Heche Chawa wa Tundu Lissu amebakia kichwa tu

    We kweli wa kusema Wassira hana kitu? We unamjua Wassira au unamsikia, hivi wewe Heche ukae na Wassira muongee habari za kidunia utamweza Wassira wewe? Au huyo bosi wako akae na Wassira waongee kuhusu world order atatoka kweli huyo Lissu au mnajichekesha tu na kupewa forum na JamiiForums humu basi.
  6. sanalii

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chawa wanasema 2025 wanaenda na mama, ingawa hawajui wanaenda wapi

    Wakishapewa mikopo na bahasha wanaongea tu none stop. Kila mtanzania anaepata nafasi ya ulaji anabadilika moja kwa moja. Kila mmoja anaangalia tumbo lake hata kama litakost wengine. Pesa ya kuwapeleka wasanii dodoma ipo ila kuweka gloves za wazazi kunifungulia hakuna. Chawa wamekua kirusi...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Bure kwa Mbowe, Lissu, na wanaCHADEMA wote wakiwamo Chawa na hata wabangaizaji. "Mbowe aachiwe uenyekiti hadi atakapojichokea!"

    Hii sasa ni 20/1/2025 siku moja kuelekea uchaguzi mkuu. Kwamba mwamba angali kakomaa, hasikii wala haoni miito yote iliyotolewa. Kwamba imekuwa ni kumpigia mbuzi gitaa. Kwamba alipo ni heri chama kife ila hang'oki hata iweje! Looh! Roho za namna gani hizi? Kwamba ni kwa sababu anajitolea mno...
  8. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kosa kama lile la Wajumbe ( Chawa) kumtaka JPM aongoze milele, tena linajirudia kwa Rais Samia japo wanajua ni Kinyume cha Katiba yao

    Kwa bahati mbaya sana, Ma Rais wote Hayati, na Sasa Rais Samia, Kwa pamoja na Kila Mmoja Kwa wakati wake anaonekana ni mwenye kulifurahiaaa. Kama ni Rais, una najiona Kwa kazi zangu nilizofanya ni za kutukuka, ningeacha Mchakato ufanyike. Mwenyekiti alitakiwa kua Mfano, alitakiwa kukemea...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kuna chawa mmoja wa mwamba aliyepewa mgao wa asali alinunua alphadi pamoja na ahadi aliyopewa ya kugombea ubunge kigamboni

    Mnamo mwishoni mwa mwaka 2024; Kijana mmoja timu mwamba, aliitwa ili kupewa maelekezo ya kuratibu harakati za mwamba ili abakie kwenye kiti. Kijana huyo anayejiita mwandishi nguli alipokea asali hiyo kupitia kwa mtoto wa mwamba. Moja ya matumizi ya kwanza kabisa ya asali ile kijana huyo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hapa Mbowe Lissu umemuweza sana

    Mbowe kasema uchaguzi utakuwa live TV zote za duniani zinazotaka kuja zitaingia ukumbi wa uchaguzi 1. Wajumbe kuhakikiwa live 2. Kura kupigwa live 3. Matokeo kuhesabiwa live 4. Mshindi kutangazwa live 5. Mshindi kuhutubia live 6. Mshindwa kuhutubia live Haya yote watashudia wanachama wa chadema...
  11. KHM 1995

    JamiiForums Tanzania Je Erythrocyte ni chawa au mwanaharakati?

    Erythrocyte ni red blood cell inayohusika na usafirishaji wa oxygen kutoka kwenye lung kwenda kwenye tissue za mwili vilevile inahusika na usafirishaji dioksidi kaboni(carbon dioxide) kutoka kwenye tissue za mwili kwenda kwenye lung Mr. Erythrocyte unathamani kubwa sana kwa sisi kingdom...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Propaganda ni Sayansi. Chawa wa CCM mjifunze

    Katika siasa unapofanya propaganda hakikisha hiyo propaganda yako haiwezi kukurudia kinyume nyume na kuwa mwiba kwako. Hivyo proaganda ni lazima zihaririwe vizuri na kuangaliwa katika long term effect yake kwako au kwa wapinzani. Swala la Mbowe kukaa muda mrefu lilianza kama propaganda za ma...
  13. COARTEM

    JamiiForums Tanzania Neno CHAWA linavyowatafuna CHADEMA

    Sasa hivi wanachama wa CHADEMA wamegawanyika makundi mawili, kundi la Mbowe na Kundi la Tundu Lissu. Kundi la Mbowe wanaitwa CHAWA wa Mbowe. Nakumbuka neno hili lilitumika sana kuwatusi wafuasi wa CCM wanao muunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan. Sasa ni zamu ya waasisi wa neno CHAWA kunywa...
  14. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kwa heri Chadema, sitakuwa siwezi kuwa chawa wa kumsafishia njia Samia

    Habari zote kuhusu Mbowe kung'ang'ania madaraka zipo humu, kwa hiyo hakuna haja ya kurudia. Nimekuja hapa kutoa taarifa tu kwamba nimeshtukia hii deal ya Mbowe na CCM. Sisi sio wajinga wa kufanywa kama CUF ya Lipumba. Sisi tuna akili, nenda peke yako bwana Mbowe kulamba viatu vya Samia. Kama...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ukifuatilia, Chawa karibu wote hata darasani walikuwa vilaza, yaani uwezo mdogo, Low battery!

    Mpo wazima! Awe Chawa wa CHADEMA! Awe Chawa wa CCM au chama chochote. Awe Chawa wa mtu yeyote Yule. Karibu wote ukiwafuatilia ni Low battery. Huwezi ukawa Chawa kama kichwa chako kinachaji ya kutosha. Hiyo haiwezekani. Fuatilia machawa wote alafu waambie wakupe matokeo Yao ya shuleni...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Chawa hakai kwa mtu msafi

    Habari wakuu, bila kupoteza muda niende kwenye lengo la kuandika makala hii,kwanini watu wanapenda kuwamiliki chawa Kwanini nini chawa,chawa ni mdudu anaependa kukaa maeneo machafu, kwenye nywele,nguo chafu. Chawa husababisha upele, kujikuna na hata magonjwa. Mtu msafi hana chawa, chawa...
  17. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Hivi uliwahi kujiuliza Tanzania bila chawa na CCM itakuwaje?

    Nchi za jirani kama Kenya, Malawi na Zambia hata zisizo jirani kama vile Botswana wameangusha vyama tawalaa. Soon, Afrika ya Kusini na Msumbiji wanaweza kujikomboa na vyama hivi manyang'au. Je umewahi kujiuliza itakavyokuwa Tanzania bila ya CCM? Je ungetaka mafisadi wa CCM washughulikiwe vipi?
  18. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Vijana kama hawana msaada kwa maendeleo ya taifa, anasema Jaji Warioba alipewa uwaziri mkuu kwasababu alikuwa chawa wa Nyerere hivyo asikosoe uchaguzi

    Wanajamvi salaam Vijana kama hawana msaada kwa maendeleo ya taifa, Huyu kijana anayezeeka vibaya aliyejitambulisha kwa jina la Joseph Yona mkazi wa Chalinze anasema Jaji Warioba alikuwa Chawa ndo maana akapewa uwaziri mkuu hivyo hana haki ya kukosoa uchaguzi wa serikali za mitaa kwa sababu...
  19. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Samia anajua madhara ya chawa na uchawa alivyokumbatia bila kujua?

    Chawa wana sifa kuu mbili. Kwanza, ni wanyonya damu. Na pili, hawawezi kuishi bila kuwapo uchafu .Je, Rais Samia alipotangazia dunia kuwa 'waaacha machawa wangu' alijua madhara yake? Je, hakujua na hadi leo hajui? Je, uchawa umegeuka sera ya CCM? Je CCM inafaidikaje na uchawa na machawa...
  20. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Unaionaje na kuitafsiri falsafa ya Rais Samia Suluhu Hassan ya 'hawa ni chawa wangu?

    Chawa ni viumbe wachafu na wanyonyaji damu. Awafugaye lazima awe mchafu. Je, nini busara ya falsafa Rais Samia kusema hawa ni chawa wangu hasa ikizingatiwa kuwa ni mbeba maono?
Back
Top Bottom