chawa

Chawa is a very old village in Bhera near the town of Bhera, Sargodha District, Pakistan. It is located at 30°59'0N 72°54'0E with an altitude of 153 metres (502 ft).The Bhalwana and Sipra are the main families of this village..
The first district Nazim of Sargodha Malik Amjad Ali Noon was from a village named Ali Pur Noon.
Chawa produces a specific kind of plant that is used in the manufacture of colour paints.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia azidi kutapanya pesa za umma, amwagia mamilioni ya shilling chawa wa Ruto, Cassypool anayetarajia kuwasili Tanzania kumnadi kwenye uchaguzi

    Wakati umma wa Watanzania ukiendelea kushuhudia huduma mbovu za kijamii kama ukosefu wa madawa hospitalini, miundombinu mibovu ya barabara, huduma mbovu za maji e.t.c, Samia ameendelea kuhonga pesa za umma kama njugu kwa chawa wake na awamu hii ametanua mipaka mpaka Kenya. Tanzania imepatwa na...
  2. JamiiForums Tanzania Export Rate ya Uganda huko EU imefika 60% je, ya Chawa Country imefikia Kiwango gani? Njoo mtudanganye sasa

    Na vitu vilivyowapaisha Uganda ni kama vifuatavyo ... 1. Coffee 2.Fish 3. flowers 4. Vegetables
  3. JamiiForums Tanzania Kutoa siri za familia ya mwenzako mitandaoni je kisheria ni sawa?. Nawazungumzia Baba Levo na Mwijaku chawa Promax

    Huwa sipendelei kuchunguza maisha ya watu lakini hapa kuna kitu cha kujifunza kidogo hasa kisheria hii ni kutokana na hawa jamaa wawili walio jitoa fahamu. Kwangu huwa nawaona kama moja ya wanaume wapumbavu kuwahi kutokea chini ya jua! Nikianza na baba levo amewahi kuwa diwani kabisa akiongoza...
  4. JamiiForums Tanzania Chawa mwandamizi wa Ibrah Traore apewa passport mpya ya Burkina Faso

    Ni kijana Wode Maya kutoka Ghana ambaye amekuwa mstari wa mbele kuimba nyimbo na mapambio ya sifa kwa Ibra Traore, mtawala wa Burkina Faso. Hivi kwa nini wanaompamba sana Traore wengi wao kama sio wote wanatoka nchi za nje na sio raia wa ndani ya Burkina Faso?
  5. JamiiForums Tanzania Katoka hija juzi tu Leo kanaswa kashfa ya uzinzi alienda hija kusaka views au ibada

    Kwa yaliyotrend ni doa sana kwa alichokiendea hija ni ibada kila muumini utamani kabla hajaondoka duniani angalau aipate nafasi hio. Kupata kashfa kubwa kama ile si jambo la kusudio la kwenda kule. Ukiamua kufanya ibada achana na maasi na sio huku unataka kule unataka. Alienda kutrend views...
  6. JamiiForums Tanzania Ni muhimu sana Watanzania waelewe kuwa: MADARAKA HAYANA KINGA YA MILELE, NA MADHARA YA MFUMO MBOVU HUMRUDIA KILA MMOJA — HATA HAO 'CHAWA' WANAUTETEA.

    UJINGA UNAOPEWA JINA: PROPAGANDA YA KISIASA MTANDAONI Katika zama hizi za kidijitali, mitandao ya kijamii imegeuzwa kuwa uwanja wa vita vya fikra. Lakini vita hivi si vya kuikomboa nchi bali vya kuilinda dhulma na kuzuia hoja za msingi kwa kutumia matusi, kejeli, na uongo. Kila siku...
  7. JamiiForums Tanzania Dhehebu ya kupeleka Sadaka ni Romani Catolik pekee yake, mengine ni Chawa Pro.

    Huwa nashangaa wanao wapelekea wakina Mwaposa Sadaka na Manabii wengine type yake kama yule tapeli wa Arusha Geo David. Hawa ili waendeleze injili za kitapeli lazima pia wawe chawa. Au wanao peleka Sadaka KKKT, SDA, EAGT, TAG, Angalican, Pentecost, AIC, na wengineo wengi sana. Hawa ni chawa pro...
  8. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Busega umetumwa au umejigeuza CHAWA wa Waziri Mkuu Majaliwa ???

    Wana JF , Heshima kwenu!! Moja kwa moja kwenye mada, Leo katika Bunge alipokuwa anachangia hoja juu ya bajeti ya ofisi ya Waziri Mkuu ,Ndugu Simon Songe,umetumia muda mwingi kumsifia waziri Mkuu, huku ukiwataka wakazi wa Lindi mintarafu Ruangwa kumwamini Waziri Mkuu,ukirejea kuwa kaleta...
  9. JamiiForums Tanzania Chawa wa wawekezaji ni wasaliti kwa wazawa!

    Kuna Kampuni ya Mawasiliano ya simu imejenga MNARA kwenye eneo langu lililopimwa, mjini,Bandari Salama,Wanatumia eneo la 500 Sqm, Kwa malipo ya laki tatu, mkataba ulisainiwa miaka nane ya nyuma, Kimefika kipindi Cha kuhuisha Mkataba,Waswahili wanahakikisha huonani na Mzungu mwenye Kampuni...
  10. JamiiForums Tanzania Ijuwe tofauti ya kundi ukombozi vs kundi maslahi vs kundi chawa katika siasa za kidemokrasia Africa.

    Kuna aina tatu za Viongozi wa kisiasa Barani Afrika, ikiwemo Tanzania. 1. #KUNDI_UKOMBOZI: Aina ya kwanza ni viongozi watetezi wa nchi, ambapo kwenye kundi hili ndipo utawakuta watetezi wa rasilimali za kiuchumi za nchi, utawakuta watetezi wa utawala wa demokrasia, utawakuta watetezi wa haki na...
  11. JamiiForums Tanzania Inakuwaje mtu mzima kukubali kuitwa chawa, kondoo?

    Baada ya kukoloniwa na kutumikishwa, tuligeuzwa mazwazwa wasiotaka kusikia neno mabadiliko au ukombozi. Huwa inaniwia vigumu kwa mtu mzima tena mwingine msomi kukubali kuitwa chawa, kondoo au maamuma kana kwamba hawezi kujielimisha na kujikomboa akaukataa uchawa, ukondoo, na umamaamuma...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuelekea Uchaguzi Mkuu; Sasa ni Wakati wa Muafaka wa Kuwatofautisha CHAWA n VIRUS

    Toka Maza ameinhia madarakani kumeibuka Wapambe na Washabiki wakubwa wa Mama pamoja na CCM kwa jina Maarufu wanafahakika kama CHAWA. Lakini ukiangalia kwa jicho la pili siyo kuwa hawa wote ni chawa wa kweli. Chawa wa kweli wapo kwa kazi moja tu, kuhakikisha kuwa Maza anaendelea kuongoza. Design...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nani chawa zaidi

    Tlaatlaah na ChoiceVariable Piga kura yako
  14. JamiiForums Tanzania Salim Kikeke mbona umelambishwa Asali na 'Mama Fulani' mapema sana? Nilijua ukiwa Ulaya na kurudi Bongo huwezi kuwa Chawa au Muoga wa Maisha mapya!!

    Halafu acha Kutudanganya kuwa umerejea Nyumbani kwakuwa Mama fulani Kakushawishi na kwamba sijui Baridi Kali la Uingereza pia ni sababu, bali ukweli ni kwamba kwa ilivyokuwa BBC na kwa Umri wako (huku ukiwa huna jipya tena) waliamua Kukumwaga mapema. Wewe ni mwana Simba SC Mwenzangu na nilikuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi kunaweza kuwapo chawa bila damu na uchafu?

    Kila anayefuga chawa ni mchafu. Pia, chawa ni wachafu. Kila mfuga chawa ni dhaifu. Chawa ni dhaifu. Ili kufuga chawa, lazima uwe mchafu na mwenye damu ya kutosha. Unaipata wapi damu ya kuwanyonyesha chawa bila kunyonya? Kuna kipindi mnyonywaji anaweza kuwa mnyonyaji. Chawa na mfuga chawa, wote...
  16. JamiiForums Tanzania Chawa kwa kiingereza jaman

    MSAADA anaejua neno chaw akwa kiingereza maana tunakorlekea hii ndio kazi inayoheshimikaa
  17. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia hawa chawa wa nini?

    Mama, Labda pengine wengine wanakuogopa. Au tuseme wanashindwa kukufikishia ujumbe. Lakini mimi, kwa unyenyekevu kabisa, nimeona kupitia safu hii niwe nakupenyezea yale ambayo yanasemwa huku mtaani lakini wasaidizi wako hawakufikishii ipasavyo. Mama, kabla sijatiririka mengi kwanza nianze na...
  18. JamiiForums Tanzania Force Account: Darasa laporomoka Same, lajeruhi 30

    Wanafunzi 30 pamoja na Mwalimu mmoja wa Shule ya Sekondari, Tumaini Jema, iliyopo Wilayani Same Mkoani Kilimanjaro, wamenusurika kifo baada ya jengo moja la darasa walilokuwa wakisomea kuanguka kutokana na upepo mkali. Wanafunzi hao pamoja na Mwalimu wanaendelea kupatiwa matibabu katika...
  19. JamiiForums Tanzania Chawa mwanadamizi Mwijaku atoa povu baada ya TRA kumtaka alipe kodi

    Nikajua ukiwa chawa, haubugudhiwi.🤣🤣 TRA wamefatilia makampuni ambayo Mwijaku anayotangaza biashara nao, na kutaka makampuni hayo yalipe kodi kwa mamlaka hiyo. Mwijaku baada ya kupata taarifa hiyo akatoa povu. Hajaamini macho yake. TRA nyoosheni hivyohivyo, hakuna kucheka na wowote
  20. JamiiForums Tanzania Suala la msanii AY kutoka kuwa wa Kimataifa mpaka kugeuka “Chawa mwandamizi” linahitaji mjadala fikirishi

    Huyu jamaa alijijengea heshima kubwa sana katika bongo fleva na kuonekana ni mmoja ya wasanii wa bongo wanaopush mziki huo kimataifa. Kuna kipindi akawa yupo mamtoni huko anapiga mitkasi yake! Sasa hivi tunae hapahapa kwa Nyerere, amegeuka chawa mwandamizi wa mama Samia. Kichaa Dotto Magari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…